


@paulswai
OFFICIAL #Socialpop ACCOUNT OF @paulswai
1341 Articles
876 Photos
418 Vidéos
-
-
CAF CONFEDERATION CUP
.
STELLENBOSCH SIMBA SC
16:00
Moses Mabhida
.
Jioni ya leo, Tanzania Yote itasimama kwa dakika 90 kuanzia saa 10:00 jioni. Ni mchezo ambao SIMBA SC wanahitaji sare au ushindi ili waweze Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
.
Kila la kheri @SimbaSCTanzania
#paulswaiCAF CONFEDERATION CUP 🏆 . 🇿🇦 STELLENBOSCH 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 16:00 🏟️ Moses Mabhida . Jioni ya leo, Tanzania 🇹🇿 Yote itasimama kwa dakika 90 kuanzia saa 10:00 jioni. Ni mchezo ambao SIMBA SC wanahitaji sare au ushindi ili waweze Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. . Kila la kheri @SimbaSCTanzania 🇹🇿 #paulswai0 Commentaires ·0 Parts ·134 Vue -
-
-
-
MNYAMA ANATINGA 16 BORA FA CUP . FT: SIMBA SC 3-0 TMA #paulswai
-
Kipa wa Simba, MOUSSA CAMARA amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza.
.
Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi aliyekuwa Coastal Union ambaye aliibuka kinara msimu uliopita kwenye mechi zake 25 kati ya 30.
#paulswai🚨 Kipa wa Simba, MOUSSA CAMARA amefikisha clean sheet ya 14 🧤 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza. . Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi aliyekuwa Coastal Union ambaye aliibuka kinara msimu uliopita kwenye mechi zake 25 kati ya 30. #paulswai -
HII KITAALAM INAITWAJE? #paulswai
-
-
Goaaaaaal..! Ateba ⚽ Fountain Gate 0️⃣ 🆚 1️⃣ Simba Sc 🎯 Chasambi #paulswai
-
KIKOSI KITAKACHO ANZA KWENYE MCHEZO WA LEO DHIDI YA FOUNTAIN GATE. #paulswai
-
-
-
-
kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake #paulswai
-
unamjua Azizi mapenzi wewe? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #paulswai
-
HUYU PINPIN CAMARA NI POPO 🦇 Save bora kabisa 🧤 #paulswai
-
"Tumejipanga kubeba ubingwa msimu huu Hatutaki maneno mengi " MCHUNGAJI WA SIMBA #paulswai
-
-
-
"HATA WAKIAHIDIWA PESA HAWATUTOI KWENYE RELI" | ALLY SALIM AFUNGUKA | TABORA UNITED KAZI IPO KESHO.
#paulswai"HATA WAKIAHIDIWA PESA HAWATUTOI KWENYE RELI" | ALLY SALIM AFUNGUKA | TABORA UNITED KAZI IPO KESHO. #paulswai -
"TUTAPAMBANA MPAKA TUPATE MATOKEO KESHO | "HATUTAPUMZIKA, | KOCHA FADLU AFUNGUKA TABORA. #paulswai
-
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu David Pamoja na Mchezaji Ally Salim Akipeana Salama Na Kocha Mkuu wa Tabora United bila Kumsahau Heritie Makambo.
Mechi Kupigwa Kesho Dimba la Al Hassan Mwinyi.
#paulswaiKocha Mkuu wa Simba Fadlu David Pamoja na Mchezaji Ally Salim Akipeana Salama Na Kocha Mkuu wa Tabora United bila Kumsahau Heritie Makambo. Mechi Kupigwa Kesho Dimba la Al Hassan Mwinyi. #paulswai -
David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi.
DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders.
#paulswaiDavid Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi. DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders. #paulswai -
📈 Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake. Hali ipo hivi 😎 #paulswai
Plus de lecture