Upgrade to Pro

WAKALI WA MOVIE 🎬
WAKALI WA MOVIE 🎬

WAKALI WA MOVIE 🎬

Public Group 277 members 483 Posts Movies and Animation
0 Reviews

1 ZINGATIA HAYA KABLA YA KUPOST:
1.POST ZA NGONO,KUHUSU NGONO
HAZIRUHUSIWI


2.BILA JINA LA MOVIE POST YAKO
HAITA RUHUSIWA

3.UKITAKA KUTANGAZA
BIASHARA YAKO YOYOTE
WASILIANA NA ADMINI
2 MATAMSHI MACHAFU NA
UDHALILISHAJI:
ZINGATIA KUTOKASHFU
POST YA MTU YOYOTE
AU COMMENT YA MTU
YOYOTE.MAONI YA KILA
MTU YAHESHIMIWE.
Pinned Post
TUMIA HIZI SITE KU-DOWNNLOAD(PAKUA) MOVIE UNAZOTAKA

UZII……….

BAADA SASA YA KUPATA Wi-Fi FIKA KWENYE HIZO SITE HAPO
TUMIA HIZI SITE KU-DOWNNLOAD(PAKUA) MOVIE UNAZOTAKA UZII🧵🧵🧵……….✍️✍️ BAADA SASA YA KUPATA Wi-Fi FIKA KWENYE HIZO SITE HAPO
·49 Views

  • ·12 Views
  • Kama umeiona hotel rwanda bas nakuletea nyingine hii ambayo nayo ni true story , inazungumzia kipindi hicho hicho cha vita ya kikabila kati ya wahutu na watutsi nchini rwanda .

    Kulikuwepo na shule ya kanisa ambayo ndani yake kulikua na kanisa pamoja na kambi ya jeshi la umoja wa mataifa , wakati wa operation ya wahutu kuchinja chinja watutsi ambao ni wachache kushinda wahutu nchini rwanda , mamia ya watutsi walikimbilia hapo shule .
    Ni eneo salama kwa 7bu ya uwepo wa jeshi la umoja wa mataifa , hata wanamgambo wa wahutu walishindwa kuingia kwa kuheshimu jeshi la umoja wa mataifa .
    Walibaki nje tu ya fensi wakisubiri jeshi liondoke na raia wa kizungu ili wao waende kuwaua watutsi waliopo hapo shule , hata wanajeshi wa umoja wa mataifa walishindwa kufanya kitu zaidi ya kulinda tu 7bu kisiasa inaweza kua jambo lingine kimataifa .

    Kikawaida ktk majanga kama hayo mataifa ya kizungu yana tabia ya kuwaondoa raia wao tu ktk nchi za namna hiyo , kwa hiyo hata hapo pia yalitumwa magari kuwachukua raia wageni kuwaondosha hapo nchini .
    Magari hayo yalisimamiwa na jeshi kuwachukua wazungu tu na kuwaacha waafrica , haijalishi hata kama mtoto mchanga hauchukuliwi maana inaweza kuleta shida .
    Wapo wazungu walioumia kuondoka huku wakiwaacha waafrica waliowazoea , kusubiri kuchinjwa na waafrica wenzao .
    Hawakua na budi maana wakisema wakae na wao watauliwa , hatimae walichukuliwa na hata jeshi nalo liliondoka likiwaacha watutsi wapambane na hali yao wenyewe .
    Kuna padre mmoja wa kizungu ambaye ndo aliyekua akisalisha ktk kanisa la hapo , yeye alikataa kuondoka .
    Aliona abaki tu na kama kufa atakufa nao hao waafrica , kwa kuwa jeshi lilishaondoka bas ikawa fungulia mbwa kwa wahutu .
    Shida ni kwa hao waliobaki kutoka hapo salama

    Ni Moja kati ya muvi kali za africa
    Enjoy
    Kama umeiona hotel rwanda bas nakuletea nyingine hii ambayo nayo ni true story , inazungumzia kipindi hicho hicho cha vita ya kikabila kati ya wahutu na watutsi nchini rwanda . Kulikuwepo na shule ya kanisa ambayo ndani yake kulikua na kanisa pamoja na kambi ya jeshi la umoja wa mataifa , wakati wa operation ya wahutu kuchinja chinja watutsi ambao ni wachache kushinda wahutu nchini rwanda , mamia ya watutsi walikimbilia hapo shule . Ni eneo salama kwa 7bu ya uwepo wa jeshi la umoja wa mataifa , hata wanamgambo wa wahutu walishindwa kuingia kwa kuheshimu jeshi la umoja wa mataifa . Walibaki nje tu ya fensi wakisubiri jeshi liondoke na raia wa kizungu ili wao waende kuwaua watutsi waliopo hapo shule , hata wanajeshi wa umoja wa mataifa walishindwa kufanya kitu zaidi ya kulinda tu 7bu kisiasa inaweza kua jambo lingine kimataifa . Kikawaida ktk majanga kama hayo mataifa ya kizungu yana tabia ya kuwaondoa raia wao tu ktk nchi za namna hiyo , kwa hiyo hata hapo pia yalitumwa magari kuwachukua raia wageni kuwaondosha hapo nchini . Magari hayo yalisimamiwa na jeshi kuwachukua wazungu tu na kuwaacha waafrica , haijalishi hata kama mtoto mchanga hauchukuliwi maana inaweza kuleta shida . Wapo wazungu walioumia kuondoka huku wakiwaacha waafrica waliowazoea , kusubiri kuchinjwa na waafrica wenzao . Hawakua na budi maana wakisema wakae na wao watauliwa , hatimae walichukuliwa na hata jeshi nalo liliondoka likiwaacha watutsi wapambane na hali yao wenyewe . Kuna padre mmoja wa kizungu ambaye ndo aliyekua akisalisha ktk kanisa la hapo , yeye alikataa kuondoka . Aliona abaki tu na kama kufa atakufa nao hao waafrica , kwa kuwa jeshi lilishaondoka bas ikawa fungulia mbwa kwa wahutu . Shida ni kwa hao waliobaki kutoka hapo salama Ni Moja kati ya muvi kali za africa Enjoy 🙏
    ·12 Views
  • ·11 Views
  • Hii usiwatch peke yako
    Hii usiwatch peke yako
    ·10 Views
  • ·10 Views
  • Mama na wanae watatu pamoja na mama yake (bibi) walikua bustanini nje ya nyumba wakipiga story na kuchukuana video , huku watoto wawili wakiwa wanacheza huku na kule wanakimbizana .
    Wakati mama na bibi wakiwa wamezubaa kuchukua video za katoto kachanga ka mwisho , kumbe huku nyuma kuna njembi ilikuja na kumuiba mtoto wa kike bila wao kujua .
    Mama mtu anakuja kushtuka baadae baada ya kuangalia video waliyokua wakichukuana na kuona nyuma yake kulikua na gari ambayo mtoto wake alikua akiifuata , hapo ndo anashtuka kuwa mtoto ameibwa baada ya kutomuona .

    Akapiga simu ya dharula haraka sana ili police waweze kumsaidia , akatuma maelezo ya mtoto wake alivyo , mahali alipo na aina ya gari maana alikua na kale kavideo .
    Wenzetu wana mifumo yao kwa matukio ya aina hiyo , kilichofanyika ile taarifa ilitumwa kwa watu wote ktk mji kupitia smart phone na uwasilishaji mwingine kwamba kuna mtoto katekwa na aina ya gari iliyomteka , ili kama kuna atakayeiona aweze kuwasaidia police .
    Changamoto ni kwamba ile video ilionyesha ubavu wa gari tu na si plate number kwa hiyo ni ngumu kujua 7bu gari zinafanana kimuonekano .
    Pili video haikumuonyesha jamaa hivyo hawaijui sura yake , hivyo ni changamoto nyingine .
    Moja kati ya watu waliopata hiyo taarifa alikua dereva tax na mteja wake huko barabarani , ambao mbele yao ndo kulikua na hiyo gari iliyomteka mtoto .

    Hawakua na uhakika maana gari zinafanana lakini kwa kuwa wamepata taarifa hawana budi kudadisi kwa maana linaweza kuwa ndio hilo gari lenyewe .
    Mteja ndiye amekua akimsisitiza dereva tax kufuatilia hiyo gari lakini dereva wala hakutaka 7bu ana mambo yake na yupo ktk kusaka tonge .
    Mwishoe wakaamua tu kumfuatilia na kuja kugundua yeye ndiye mtekaji mwenyewe baada ya kuona ushahidi kadhaa kama miguu ya mtoto , jamaa kuwa na bunduki , jamaa kuendesha speed isiyo ya kawaida n.k .
    Shida ss ni kumpata huyo binti aliyetekwa

    Jina linasomeka ktk cover , enjoy
    Mama na wanae watatu pamoja na mama yake (bibi) walikua bustanini nje ya nyumba wakipiga story na kuchukuana video , huku watoto wawili wakiwa wanacheza huku na kule wanakimbizana . Wakati mama na bibi wakiwa wamezubaa kuchukua video za katoto kachanga ka mwisho , kumbe huku nyuma kuna njembi ilikuja na kumuiba mtoto wa kike bila wao kujua . Mama mtu anakuja kushtuka baadae baada ya kuangalia video waliyokua wakichukuana na kuona nyuma yake kulikua na gari ambayo mtoto wake alikua akiifuata , hapo ndo anashtuka kuwa mtoto ameibwa baada ya kutomuona . Akapiga simu ya dharula haraka sana ili police waweze kumsaidia , akatuma maelezo ya mtoto wake alivyo , mahali alipo na aina ya gari maana alikua na kale kavideo . Wenzetu wana mifumo yao kwa matukio ya aina hiyo , kilichofanyika ile taarifa ilitumwa kwa watu wote ktk mji kupitia smart phone na uwasilishaji mwingine kwamba kuna mtoto katekwa na aina ya gari iliyomteka , ili kama kuna atakayeiona aweze kuwasaidia police . Changamoto ni kwamba ile video ilionyesha ubavu wa gari tu na si plate number kwa hiyo ni ngumu kujua 7bu gari zinafanana kimuonekano . Pili video haikumuonyesha jamaa hivyo hawaijui sura yake , hivyo ni changamoto nyingine . Moja kati ya watu waliopata hiyo taarifa alikua dereva tax na mteja wake huko barabarani , ambao mbele yao ndo kulikua na hiyo gari iliyomteka mtoto . Hawakua na uhakika maana gari zinafanana lakini kwa kuwa wamepata taarifa hawana budi kudadisi kwa maana linaweza kuwa ndio hilo gari lenyewe . Mteja ndiye amekua akimsisitiza dereva tax kufuatilia hiyo gari lakini dereva wala hakutaka 7bu ana mambo yake na yupo ktk kusaka tonge . Mwishoe wakaamua tu kumfuatilia na kuja kugundua yeye ndiye mtekaji mwenyewe baada ya kuona ushahidi kadhaa kama miguu ya mtoto , jamaa kuwa na bunduki , jamaa kuendesha speed isiyo ya kawaida n.k . Shida ss ni kumpata huyo binti aliyetekwa Jina linasomeka ktk cover , enjoy 🙏
    ·11 Views
  • ·11 Views
  • Kama we ni mpenzi season Kama Dexter au Hannibal yaani mfumo ule basi
    Tafadhali hii sio ya kukosa ...Season. hii inahusiana about Serial killers wanavyouwa watu sasa Agent Holden na Bill Tench wakapewa kazi .. Kazi yenyewe ilikua kwenda Jela kufanya interview na wale ma Serial killers ili wajua vyanzo vya kuwafanya how wanachose target zao how do they do it yaani maswali balaa na kweli walienda wanafanikiwa kujifunza kutokana na interview hizo hivo hivo kuna mauwaji yaliendelea yanatokea mitaani kwao so kutokana Holden na Tench kazi zao ilikua kujua how Serial killer mind works eeh bhana ndo mchezo unaanza ukihusika na kifo cha fulani hata kama uwe msiri kiasi gani ukiwekwa katikati ya hawa majamaa eeeh bhana utajikuta unaanza kuropoka swala baada ya lingine Season imetulia hii Season inaweza kusaidia baadhi kumtambua muongo na mkweli kaicheki ipo Netflix inaitwa Mindhunter zipo Season 2 tu nasikia ya tatu wali cancel kutokana kwamba imeuza sana na ma fans walipenda iendelee kaicheki #Mindhunter
    Kama we ni mpenzi season Kama Dexter au Hannibal yaani mfumo ule basi Tafadhali hii sio ya kukosa ...Season. hii inahusiana about Serial killers wanavyouwa watu sasa Agent Holden na Bill Tench wakapewa kazi .. Kazi yenyewe ilikua kwenda Jela kufanya interview na wale ma Serial killers ili wajua vyanzo vya kuwafanya how wanachose target zao how do they do it yaani maswali balaa na kweli walienda wanafanikiwa kujifunza kutokana na interview hizo hivo hivo kuna mauwaji yaliendelea yanatokea mitaani kwao so kutokana Holden na Tench kazi zao ilikua kujua how Serial killer mind works eeh bhana ndo mchezo unaanza ukihusika na kifo cha fulani hata kama uwe msiri kiasi gani ukiwekwa katikati ya hawa majamaa eeeh bhana utajikuta unaanza kuropoka swala baada ya lingine Season imetulia hii Season inaweza kusaidia baadhi kumtambua muongo na mkweli kaicheki ipo Netflix inaitwa Mindhunter zipo Season 2 tu nasikia ya tatu wali cancel kutokana kwamba imeuza sana na ma fans walipenda iendelee kaicheki #Mindhunter
    Like
    1
    ·11 Views
  • Aisee apoo kilaa unayoo gusaa ni ya moto na zote zikoo ...moviebox
    Aisee apoo kilaa unayoo gusaa ni ya moto na zote zikoo ...moviebox
    Like
    1
    ·11 Views
  • Like
    2
    ·10 Views
  • HIZI MOVIE NI MOTO HUWEZI POTEZA MB BURE
    HIZI MOVIE NI MOTO HUWEZI POTEZA MB BURE ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥💯💯
    Like
    1
    ·10 Views
  • Like
    1
    ·9 Views
  • Natafuta hii movie , niliishia ep 81 zingine nimezikosa

    INAITWA KING SAYU (dj mjukuu) au Baekej 2 ( dj professional mwanambamba)

    Ni moto
    Natafuta hii movie , niliishia ep 81 zingine nimezikosa INAITWA KING SAYU (dj mjukuu) au Baekej 2 ( dj professional mwanambamba) Ni moto
    Like
    1
    ·9 Views
  • Kazi yangu ni ile ile ya kuwasanua vigongo visivyoimbwa sana ila vya moto.
    -Picha linaanza dunia nzima umeme unakata na vifaa vyote vinavyotumia umeme vinazima kama Simu,Magari N.k,Dunia inarudi kuwa kama zamani flani hivi,(Mazingira ya movie “Location”ni kama ya movie ya Into the badlands)
    -Wapo wachache wanaojua siri ya umeme kukata sasa kuna upande wa majambazi wanaotaka kurudisha umeme kwa maslahi yao binafsi ili kuiteka dunia,na Miji inayojilinda dhidi ya upande huo.oyaa ni fire
    ENJOY
    Kazi yangu ni ile ile ya kuwasanua vigongo visivyoimbwa sana ila vya moto. -Picha linaanza dunia nzima umeme unakata na vifaa vyote vinavyotumia umeme vinazima kama Simu,Magari N.k,Dunia inarudi kuwa kama zamani flani hivi,(Mazingira ya movie “Location”ni kama ya movie ya Into the badlands) -Wapo wachache wanaojua siri ya umeme kukata sasa kuna upande wa majambazi wanaotaka kurudisha umeme kwa maslahi yao binafsi ili kuiteka dunia,na Miji inayojilinda dhidi ya upande huo.oyaa ni fire🔥🔥 ENJOY
    Like
    1
    ·9 Views
  • Jamaa mmoja alinyimwa unyumba na mkewe , hivyo akaamua kwenda kutafuta danga/mchepuko huko nje .
    Bahati mbaya sana kulikua na kidubwana mithiri ya yai kilichotoka nje ya dunia na kuangukia kichakani , na bahati mbaya tena jamaa ndo alifika eneo hilo kumaliza haja zake na mchepuko .
    Waliposhtukia kuna hicho kidubwana baada ya kukiona , kile kidubwana kikamrushia kitu yule jamaa na kumuingia tumboni mpaka kichwani .

    Maisha yakaendelea ila mwili wa jamaa ulianza kubadilika na kuwa siyo mtu wa kawaida siku hadi siku , akaanza kuua wanyama mfano paka , mbwa n.k .
    Akaanza kurefuka mikono , kutoka mapele n.k , lakini hayo yote akawa anamficha mkewe asijue .
    Watu wakawa wanashangaa ktk mji wao kupotea kwa wanyama wao (pets) ktk mazingira tata .
    Jamaa alimteka yule mchepuko na kuwa anampandikizia maminyoo(parasites) kumuwekea ktk mwili wake kila siku , hatimae maminyoo yalimjaa mengi na kumtoka huyo mchepuko .
    Minyoo ilianza kusambaa ktk mji na kuwaingia watu , watu wakabadilika akili na kuwa mazombie wakicontroliwa na jamaa .
    Anayecontroo yote ni jamaa kwa hiyo ili kuzibiti tatizo inabidi wamuue jamaa , shida ni ktk kumuua jamaa ukizingatia mji mzima karibu watu wote washaingiwa na minyoo na jamaa ndiye anayewacontroo .

    Tbt moja safi sana , tunaweza kujikumbushia . Kwa wasioijua bas unaweza kuishi nayo pia
    Enjoy
    Jamaa mmoja alinyimwa unyumba na mkewe , hivyo akaamua kwenda kutafuta danga/mchepuko huko nje . Bahati mbaya sana kulikua na kidubwana mithiri ya yai kilichotoka nje ya dunia na kuangukia kichakani , na bahati mbaya tena jamaa ndo alifika eneo hilo kumaliza haja zake na mchepuko . Waliposhtukia kuna hicho kidubwana baada ya kukiona , kile kidubwana kikamrushia kitu yule jamaa na kumuingia tumboni mpaka kichwani . Maisha yakaendelea ila mwili wa jamaa ulianza kubadilika na kuwa siyo mtu wa kawaida siku hadi siku , akaanza kuua wanyama mfano paka , mbwa n.k . Akaanza kurefuka mikono , kutoka mapele n.k , lakini hayo yote akawa anamficha mkewe asijue . Watu wakawa wanashangaa ktk mji wao kupotea kwa wanyama wao (pets) ktk mazingira tata . Jamaa alimteka yule mchepuko na kuwa anampandikizia maminyoo(parasites) kumuwekea ktk mwili wake kila siku , hatimae maminyoo yalimjaa mengi na kumtoka huyo mchepuko . Minyoo ilianza kusambaa ktk mji na kuwaingia watu , watu wakabadilika akili na kuwa mazombie wakicontroliwa na jamaa . Anayecontroo yote ni jamaa kwa hiyo ili kuzibiti tatizo inabidi wamuue jamaa , shida ni ktk kumuua jamaa ukizingatia mji mzima karibu watu wote washaingiwa na minyoo na jamaa ndiye anayewacontroo . Tbt moja safi sana , tunaweza kujikumbushia . Kwa wasioijua bas unaweza kuishi nayo pia Enjoy 🙏
    1 Comments ·9 Views
  • Wapenzi wawili walienda zao matembezi huko jangwani kwenye milima , kwa kuwa walikua hawajui njia hivyo walikua wakiongozwa na tour guide mmoja wakitumia farasi .
    Bahati mbaya njiani yule muongozaji(tour guide) wao anaumwa na nyoka mwenye sumu kali , kwa uwoga hata farasi wanakimbia zao na kuwaacha wao bila kurudi .
    Wanatulia chini kuangalia namna ya kumsaidia , lakini kutokana na ukali wa sumu ya nyoka yule bas yule muongozaji anapoteza maisha hapo hapo mikononi mwao .
    Wanamzika pale pale na kuanza kutafuta njia ya kurudi kwa miguu maana hawana tena farasi , ila wanaishia kupotea tu maana hawajui njia , na mtu aliyekua akiwaongoza kashakufa .

    Network haipatikani kwa hiyo wanashauriana wapande juu ya mlima ili kupata network , na kuweza kuwasiliana na watu wakaweza kuwasaidia .
    Wanafanikiwa kupata network na kuongea kidogo lakini network inapotea tena , kwa bahati mbaya sana kule juu wanateleza na kuanguka chini .
    Mwanamke anaanguka na kuvunja simu ila mwanaume , mguu wake unaangukia katkati ya mfereji wa miamba na kukwama hapo .
    Wanafanya juhudi zote ili kuutoa mguu lakini wanashindwa , usiku mzima wanautumia hapo mpaka asubuhi .
    Mwishowe jamaa anamwambia mwanamke amkate mguu wake ili waendelee na safari , mwanamke anagoma lakini baadae anaona hakuna budi wakate tu ili waondoke .

    Shida ss ni kwamba hilo eneo lina mbwa mwitu , walikuwa wakiwavizia wawatafune .Ulinzi wa pekee ulikua ni moto tu kwa mwanamke , kinyume na hapo wangeshambuliwa .
    Changamoto ni kwamba jangwa ni kubwa , hawajui walipo wala wanapotakiwa kwenda , mwanaume ndo tayari kashapoteza damu hajiwezi , chakula wala maji hawana na mbwa mwitu ndo kama hivyo wamewazunguka kama wote .
    Wanatokaje hapo !!!? , majibu utayapata ukiangalia

    Wazee wa survival movie tuishi nayo kama hujawahi kuiona
    Wapenzi wawili walienda zao matembezi huko jangwani kwenye milima , kwa kuwa walikua hawajui njia hivyo walikua wakiongozwa na tour guide mmoja wakitumia farasi . Bahati mbaya njiani yule muongozaji(tour guide) wao anaumwa na nyoka mwenye sumu kali , kwa uwoga hata farasi wanakimbia zao na kuwaacha wao bila kurudi . Wanatulia chini kuangalia namna ya kumsaidia , lakini kutokana na ukali wa sumu ya nyoka yule bas yule muongozaji anapoteza maisha hapo hapo mikononi mwao . Wanamzika pale pale na kuanza kutafuta njia ya kurudi kwa miguu maana hawana tena farasi , ila wanaishia kupotea tu maana hawajui njia , na mtu aliyekua akiwaongoza kashakufa . Network haipatikani kwa hiyo wanashauriana wapande juu ya mlima ili kupata network , na kuweza kuwasiliana na watu wakaweza kuwasaidia . Wanafanikiwa kupata network na kuongea kidogo lakini network inapotea tena , kwa bahati mbaya sana kule juu wanateleza na kuanguka chini . Mwanamke anaanguka na kuvunja simu ila mwanaume , mguu wake unaangukia katkati ya mfereji wa miamba na kukwama hapo . Wanafanya juhudi zote ili kuutoa mguu lakini wanashindwa , usiku mzima wanautumia hapo mpaka asubuhi . Mwishowe jamaa anamwambia mwanamke amkate mguu wake ili waendelee na safari , mwanamke anagoma lakini baadae anaona hakuna budi wakate tu ili waondoke . Shida ss ni kwamba hilo eneo lina mbwa mwitu , walikuwa wakiwavizia wawatafune .Ulinzi wa pekee ulikua ni moto tu kwa mwanamke , kinyume na hapo wangeshambuliwa . Changamoto ni kwamba jangwa ni kubwa , hawajui walipo wala wanapotakiwa kwenda , mwanaume ndo tayari kashapoteza damu hajiwezi , chakula wala maji hawana na mbwa mwitu ndo kama hivyo wamewazunguka kama wote . Wanatokaje hapo !!!? , majibu utayapata ukiangalia 😁 Wazee wa survival movie tuishi nayo kama hujawahi kuiona 🙏
    Like
    1
    1 Comments ·9 Views
  • Like
    1
    ·9 Views
  • Like
    1
    ·9 Views
  • Kama kawaida yangu,kuwasanua movies zisizoimbwa sana ila ni moto
    -Hili ni jiwe sema ni tamu ukimaliza zote mbili yaani season 1&2.
    Movie aina ya CI-FI yaani uchawi na kufikirika.Kama hauko makini sana usiangalie ya bila kutafsiriwa.
    -KAMA UMESHAIONA COMMENT KITU CHOCHOTE UNACHOKUMBUKA.
    Kama kawaida yangu,kuwasanua movies zisizoimbwa sana ila ni moto🔥 -Hili ni jiwe sema ni tamu ukimaliza zote mbili yaani season 1&2. Movie aina ya CI-FI yaani uchawi na kufikirika.Kama hauko makini sana usiangalie ya bila kutafsiriwa. -KAMA UMESHAIONA COMMENT KITU CHOCHOTE UNACHOKUMBUKA.
    Like
    1
    ·9 Views
  • Wale wazee wa muvi ngumu za kukologa ubongo kiasi mpaka ukimaliza unasonya na kutukana mitusi ya moyoni maana hujaambulia kitu au umeielewa kwa shida sana basi nakupa kitu hiki kimetoka october 2024 .

    Story inahusu ziwa moja liitwalo caddo ambalo kadri maji yanavyopungua alafu ukapita ktk sehemu fulani bas unatokea nyakati nyingine tofauti , yani inaweza kuwa siku nyingine au mwezi mwingine au mwaka mwingine , vile vile inaweza kuwa nyakati za mbele zaidi au za nyuma kabisaa .
    Ktk hii muvi ina nyakati tofauti tofauti ila zaidi ni 2003 na 2022 , na nyakati zote zinamhusisha mtu aitwae Ana .
    2022 Ana ni mdogo , anapotea ktk mazingira tata na dada yake kuanza kumtafuta .
    Ktk kumtafuta kwake ndo atapita hiyo sehemu ya ziwani , na kutokea ktk nyakati za nyuma mpaka 2003 .
    Ajabu ni kwamba 2003 Ana tayari ni mkubwa , ana mtoto wa kiume mkubwa pia .

    Ktk wakati huu 2003 ana pia ametoweka , na mtoto wake wa kiume ndo anatafuta majibu 7bu ya kutoweka kwake .
    Ktk kutafuta majibu na yeye anapita ziwa caddo ktk ile sehemu na kujikuta ametokea mpaka 2022 , wakati ambao Ana yule yule ni mdogo na amepotea pia .
    Ni kama vile wamebadilishana yaani dada wa Ana kaja mwaka 2003 wa mtoto wa Ana , na mtoto wa Ana kaenda mwaka 2022 wa dada wa Ana , mbele kama nyuma na nyuma kama mbele
    Shida ss ni kuweza kugundua Ana alipo , huo mkanganyiko na kuelewa kuhusu mahusiano yao na Ana ktk nyakati tofauti .

    Kama unataka kuchanganyikiwa ruka nayo upate hasira za kula ugali kwa nguvu
    Wale wazee wa muvi ngumu za kukologa ubongo kiasi mpaka ukimaliza unasonya na kutukana mitusi ya moyoni maana hujaambulia kitu au umeielewa kwa shida sana 😁basi nakupa kitu hiki 👇kimetoka october 2024 . Story inahusu ziwa moja liitwalo caddo ambalo kadri maji yanavyopungua alafu ukapita ktk sehemu fulani bas unatokea nyakati nyingine tofauti , yani inaweza kuwa siku nyingine au mwezi mwingine au mwaka mwingine , vile vile inaweza kuwa nyakati za mbele zaidi au za nyuma kabisaa . Ktk hii muvi ina nyakati tofauti tofauti ila zaidi ni 2003 na 2022 , na nyakati zote zinamhusisha mtu aitwae Ana . 2022 Ana ni mdogo , anapotea ktk mazingira tata na dada yake kuanza kumtafuta . Ktk kumtafuta kwake ndo atapita hiyo sehemu ya ziwani , na kutokea ktk nyakati za nyuma mpaka 2003 . Ajabu ni kwamba 2003 Ana tayari ni mkubwa , ana mtoto wa kiume mkubwa pia . Ktk wakati huu 2003 ana pia ametoweka , na mtoto wake wa kiume ndo anatafuta majibu 7bu ya kutoweka kwake . Ktk kutafuta majibu na yeye anapita ziwa caddo ktk ile sehemu na kujikuta ametokea mpaka 2022 , wakati ambao Ana yule yule ni mdogo na amepotea pia . Ni kama vile wamebadilishana yaani dada wa Ana kaja mwaka 2003 wa mtoto wa Ana , na mtoto wa Ana kaenda mwaka 2022 wa dada wa Ana , mbele kama nyuma na nyuma kama mbele 😁 Shida ss ni kuweza kugundua Ana alipo , huo mkanganyiko na kuelewa kuhusu mahusiano yao na Ana ktk nyakati tofauti .😁 Kama unataka kuchanganyikiwa ruka nayo 🤣upate hasira za kula ugali kwa nguvu
    Like
    1
    ·9 Views
  • Like
    1
    ·9 Views
  • Like
    1
    ·9 Views
  • Like
    1
    ·9 Views
  • Embu tupate haka kaanimation kinaitwa 9 , kako poa sana
    Embu tupate haka kaanimation kinaitwa 9 , kako poa sana
    Like
    1
    ·8 Views
  • ·8 Views
More Stories