Atualize para o Pro

WAKALI WA MOVIE 🎬
WAKALI WA MOVIE 🎬

WAKALI WA MOVIE 🎬

Grupo Público 262 membros 304 Publicações Movies and Animation
0 Anterior

1 ZINGATIA HAYA KABLA YA KUPOST:
1.POST ZA NGONO,KUHUSU NGONO
HAZIRUHUSIWI


2.BILA JINA LA MOVIE POST YAKO
HAITA RUHUSIWA

3.UKITAKA KUTANGAZA
BIASHARA YAKO YOYOTE
WASILIANA NA ADMINI
2 MATAMSHI MACHAFU NA
UDHALILISHAJI:
ZINGATIA KUTOKASHFU
POST YA MTU YOYOTE
AU COMMENT YA MTU
YOYOTE.MAONI YA KILA
MTU YAHESHIMIWE.

  • Like
    2
    1 Comentários ·13 Visualizações
  • Kazi ya mazombie ya wakorea , inaitwa ALIVE

    Story inamuhusu mwamba mmoja mcheza game za online , ambaye mwenyewe kutwa nzima anashinda ndani anacheza game tu ktk apartment ya wazazi wake .
    Ukatokea mlipuko wa mazombie wakati yeye akiwa ndani na kushuhudia yote yaliyotokea nje , kwa uwoga akaamua kubaki humo ndani kajifungia akiendelea kucheza game , akiamini atasurvive kwa mtindo huo .
    Shida ss binadamu anahitaji maji na chakula kuweza kuishi , kwa hiyo kwa namna yoyote ile kama anataka kuendelea kuishi lazima atoke nje .

    Uzuri anagundua gorofa ya pili kuna mtu mwingine pia aliyesurvive , anaanza kuwasiliana na mtu huyo na kuona kama kuna namna wanaweza kukutana , wakawa pamoja kuweza kujiokoa ktk mazingira hayo hatari .
    Shida ss ni kuweza kutoka nje kupata chakula , pili kuweza kukutana na huyo survivor mwingine lakini tatu pia ni kuweza kuokoka mazingira hayo yenye mazombie wenye njaa kali waliotapakaa kote .

    Enjoy
    Kazi ya mazombie ya wakorea , inaitwa ALIVE Story inamuhusu mwamba mmoja mcheza game za online , ambaye mwenyewe kutwa nzima anashinda ndani anacheza game tu ktk apartment ya wazazi wake . Ukatokea mlipuko wa mazombie wakati yeye akiwa ndani na kushuhudia yote yaliyotokea nje , kwa uwoga akaamua kubaki humo ndani kajifungia akiendelea kucheza game , akiamini atasurvive kwa mtindo huo . Shida ss binadamu anahitaji maji na chakula kuweza kuishi , kwa hiyo kwa namna yoyote ile kama anataka kuendelea kuishi lazima atoke nje . Uzuri anagundua gorofa ya pili kuna mtu mwingine pia aliyesurvive , anaanza kuwasiliana na mtu huyo na kuona kama kuna namna wanaweza kukutana , wakawa pamoja kuweza kujiokoa ktk mazingira hayo hatari . Shida ss ni kuweza kutoka nje kupata chakula , pili kuweza kukutana na huyo survivor mwingine lakini tatu pia ni kuweza kuokoka mazingira hayo yenye mazombie wenye njaa kali waliotapakaa kote . Enjoy 🙏
    ·13 Visualizações
  • Wazee wa horror

    Story ni kwamba truth or dare ni mchezo wa kuchagua , ambapo ukichagua truth utatakiwa kusema ukweli wako wa maisha ambao hujawahi kuusema mfano labda ulibaka/ulibakwa/uliiba/ulienda kwa mganga n.k , lakini ukichagua "dare" bas unayecheza nae huo mchezo anakuamulisha ufanye jambo ambalo linaweza kuwa gumu mfano utembee uchi , utupe simu yako n.k

    Tukirudi ktk muvi yetu hii ni kwamba kulikua na vijana marafiki , walienda mexico kula bata ambako huko wakajikuta wanarudi na laana ya mapepo inayotishia uhai wa maisha yao .
    Walipokua huko kuna kijana mmoja walimkuta huko , kijana huyo aliwachukua na kuwapeleka sehemu moja kucheza huo mchezo wa truth or dare .
    Kumbe kijana huyo aliwapeleka makusudi eneo lenye hiyo laana kusudi na yeye akatoe hiyo laana maana na yeye aliucheza huo mchezo , na ili kutoa laana lazima awachezeshe wengine .
    Hao vijana bila kujua wakacheza ktk hilo eneo , lakini kumbe wanaweka maagano na hayo mapepo wa huo mchezo .

    Shida ss wamerudi nchini kwao , mapepo yanaanza kuwaletea huo mchezo kupitia watu ambapo hatari yake inafikia steji ya wao kujidhalilisha maana truth inawafanya waseme ukweli wao wa maisha , lakini pia kuhatarisha maisha maana dare inawafanya wafanye mambo ya hatari kwa uhai wao .

    Enjoy
    Wazee wa horror 👇 Story ni kwamba truth or dare ni mchezo wa kuchagua , ambapo ukichagua truth utatakiwa kusema ukweli wako wa maisha ambao hujawahi kuusema mfano labda ulibaka/ulibakwa/uliiba/ulienda kwa mganga n.k , lakini ukichagua "dare" bas unayecheza nae huo mchezo anakuamulisha ufanye jambo ambalo linaweza kuwa gumu mfano utembee uchi , utupe simu yako n.k Tukirudi ktk muvi yetu hii 👇ni kwamba kulikua na vijana marafiki , walienda mexico kula bata ambako huko wakajikuta wanarudi na laana ya mapepo inayotishia uhai wa maisha yao . Walipokua huko kuna kijana mmoja walimkuta huko , kijana huyo aliwachukua na kuwapeleka sehemu moja kucheza huo mchezo wa truth or dare . Kumbe kijana huyo aliwapeleka makusudi eneo lenye hiyo laana kusudi na yeye akatoe hiyo laana maana na yeye aliucheza huo mchezo , na ili kutoa laana lazima awachezeshe wengine . Hao vijana bila kujua wakacheza ktk hilo eneo , lakini kumbe wanaweka maagano na hayo mapepo wa huo mchezo . Shida ss wamerudi nchini kwao , mapepo yanaanza kuwaletea huo mchezo kupitia watu ambapo hatari yake inafikia steji ya wao kujidhalilisha maana truth inawafanya waseme ukweli wao wa maisha , lakini pia kuhatarisha maisha maana dare inawafanya wafanye mambo ya hatari kwa uhai wao . Enjoy 🙏
    ·12 Visualizações
  • Kama hujatazama hii movie na unauchungu na bando lako Wala usijisumbue kuitafuta maskini bando langu

    Na hivi starling wa awamu hii ni mwanamke,nikajua kabisa kwisha habari yetu,mzigo tumeusubiri kwa hamu kuanzia 2019 halafu wanatuletea matango pori

    Baada ya quiet place day one hii pia ni muvi mbovu ndani ya mwaka huu ambayo ukimaliza kuitazama unaifuta hapo hapo huku unasonya na kutukana matusi kimya kimya
    👉Kama hujatazama hii movie na unauchungu na bando lako Wala usijisumbue kuitafuta 🥺 maskini bando langu 😭 Na hivi starling wa awamu hii ni mwanamke,nikajua kabisa kwisha habari yetu,mzigo tumeusubiri kwa hamu kuanzia 2019 halafu wanatuletea matango pori Baada ya quiet place day one hii pia ni muvi mbovu ndani ya mwaka huu ambayo ukimaliza kuitazama unaifuta hapo hapo huku unasonya na kutukana matusi kimya kimya✍️
    ·12 Visualizações
  • Kuna hili tambara apa awo machalii ni ma supernatural
    #GIFTED
    HALIUMIZI KICHWA ANGALIA ATA UKIWA UMELEWA KALI SANA
    Kuna hili tambara apa awo machalii ni ma supernatural #GIFTED HALIUMIZI KICHWA ANGALIA ATA UKIWA UMELEWA KALI SANA🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    ·12 Visualizações
  • ·12 Visualizações
  • Love
    1
    ·12 Visualizações
  • Moja kati ya movie Kali za kutulia..
    Vijana wanajikuta katika hilo eneo wakiwa awana kumbukumbu yoyote kichwan ata majina yao awajui.........
    Likiwa na ukuta mkubwa..eneo hilo ni mithiri kama gemu lakini ni hatari pia...huku wengine wakipoteza uhai wao
    Moja kati ya movie Kali za kutulia.. Vijana wanajikuta katika hilo eneo wakiwa awana kumbukumbu yoyote kichwan ata majina yao awajui......... Likiwa na ukuta mkubwa..eneo hilo ni mithiri kama gemu lakini ni hatari pia...huku wengine wakipoteza uhai wao
    ·13 Visualizações
  • ·13 Visualizações
  • 𝐅𝐈𝐋𝐀𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐅𝐔𝐏𝐈
    𝐓𝐡𝐞 𝐓𝐑𝐔𝐌𝐀𝐍 𝐬𝐡𝐨𝐰
    Hutojutia kuitizama
    𝗨𝘇𝗶 𝘁𝘂𝗹𝗶𝘃𝘂 𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗼👇🏾
    𝐅𝐈𝐋𝐀𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐅𝐔𝐏𝐈🎬 𝐓𝐡𝐞 𝐓𝐑𝐔𝐌𝐀𝐍 𝐬𝐡𝐨𝐰 📌Hutojutia kuitizama 𝗨𝘇𝗶 𝘁𝘂𝗹𝗶𝘃𝘂 𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗼🧵👇🏾
    Like
    2
    8 Comentários ·25 Visualizações
  • 𝐅𝐈𝐋𝐀𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐅𝐔𝐏𝐈
    𝐓𝐇𝐄 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐎𝐅 𝐔𝐒
    𝗨𝘇𝗶 𝘁𝘂𝗹𝗶𝘃𝘂 𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗼👇🏾
    𝐅𝐈𝐋𝐀𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐅𝐔𝐏𝐈🎬 𝐓𝐇𝐄 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐎𝐅 𝐔𝐒 𝗨𝘇𝗶 𝘁𝘂𝗹𝗶𝘃𝘂 𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗼🧵👇🏾
    Like
    1
    5 Comentários ·24 Visualizações
  • 1/ Alice in the Borderlands ni mfululizo wa filamu kutoka Japani, uliotolewa na Netflix. Unafuata hadithi ya kijana anayeitwa Arisu, ambaye ghafla anakutana na ulimwengu tofauti unaotishia maisha. Watu wanalazimika kushiriki michezo hatari ili kuishi
    2/ Arisu, kijana asiyefanya kazi wala masomo, anajikuta kwenye ulimwengu mpya usio na watu isipokuwa wachache walioachwa. Kila mtu aliye kwenye ulimwengu huu lazima ashinde michezo yenye vizuizi na hatari kali, vinginevyo anakutana na kifo.
    3/ Michezo ya "Alice in the Borderlands" ni kama mtihani wa uhai na kifo. Michezo hii imejaa mikakati, mbinu na mara nyingi inahitaji kujitolea kwa kiasi kikubwa. Hii inawafanya wachezaji kuangalia mipaka yao ya kiakili na kimaadili.
    4/ Kila mchezo una viwango tofauti vya ugumu, na unahusishwa na alama za karata za kucheza. Kwa mfano, karata ya moyo inawakilisha michezo inayojaribu akili na hisia za kiroho, wakati karata za spade ni za kimwili. Wachezaji hawana chaguo ila kushiriki ili kuendelea kuishi
    5/ Alice in the Borderlands sio tu kuhusu michezo na vifo, bali ni hadithi ya kuangalia watu wanavyopambana na hofu, urafiki, na matumaini ya kuishi. Ni filamu inayokushika na kuacha ukijiuliza – ungefanya nini kama ungekuwa kwenye hali hiyo?
    1/ 🎬 Alice in the Borderlands ni mfululizo wa filamu kutoka Japani, uliotolewa na Netflix. Unafuata hadithi ya kijana anayeitwa Arisu, ambaye ghafla anakutana na ulimwengu tofauti unaotishia maisha. Watu wanalazimika kushiriki michezo hatari ili kuishi 2/ 🕹️ Arisu, kijana asiyefanya kazi wala masomo, anajikuta kwenye ulimwengu mpya usio na watu isipokuwa wachache walioachwa. Kila mtu aliye kwenye ulimwengu huu lazima ashinde michezo yenye vizuizi na hatari kali, vinginevyo anakutana na kifo. 3/ 🔥 Michezo ya "Alice in the Borderlands" ni kama mtihani wa uhai na kifo. Michezo hii imejaa mikakati, mbinu na mara nyingi inahitaji kujitolea kwa kiasi kikubwa. Hii inawafanya wachezaji kuangalia mipaka yao ya kiakili na kimaadili. 4/ 😱 Kila mchezo una viwango tofauti vya ugumu, na unahusishwa na alama za karata za kucheza. Kwa mfano, karata ya moyo inawakilisha michezo inayojaribu akili na hisia za kiroho, wakati karata za spade ni za kimwili. Wachezaji hawana chaguo ila kushiriki ili kuendelea kuishi 5/ 💥 Alice in the Borderlands sio tu kuhusu michezo na vifo, bali ni hadithi ya kuangalia watu wanavyopambana na hofu, urafiki, na matumaini ya kuishi. Ni filamu inayokushika na kuacha ukijiuliza – ungefanya nini kama ungekuwa kwenye hali hiyo?
    ·24 Visualizações
  • 1/6 Source Code ni filamu ya kisayansi na upelelezi iliyoongozwa na Duncan Jones, iliyotoka mwaka 2011. Inamhusu Captain Colter Stevens (Jake Gyllenhaal), rubani wa jeshi ambaye anajikuta amenaswa kwenye mpango wa siri wa kijeshi.
    2/6 Captain Colter Stevens anapewa jukumu la kipekee ndani ya "source code," teknolojia inayomwezesha kurudi kwenye dakika 8 kabla ya mlipuko wa bomu kwenye treni jijini Chicago. Lengo ni kutambua na kumkamata mhusika wa shambulio hilo.
    3/6 "Source Code" inampa Stevens uwezo wa kurudia tukio hilo mara kwa mara. Kila anaporudi kwenye dakika hizo 8, anapata nyayo mpya za ushahidi zinazoelekea kwa mshambuliaji. Lakini kuna changamoto - kila tukio linakua na matokeo tofauti.
    4/6 Stevens anagundua kuwa kila mara anarudi katika mwili wa abiria fulani, Sean Fentress. Kwa hiyo, yeye hawezi kuonekana kama Stevens mwenyewe, ila ni kama Fentress. Hii inamfanya ashindane na wakati na ukweli wake.
    5/6 Akiendelea kurudia tukio, Stevens anapata hisia kwa Christina (Michelle Monaghan), abiria aliyeko karibu naye. Hii inamwongezea msukumo wa kutaka kubadilisha hatima ya tukio hilo ili kumwokoa yeye na wengine.
    6/6 Kama unapenda filamu za kisayansi zenye mvuto wa akili, Source Code ni ya kukufaa!
    1/6 🎬 Source Code ni filamu ya kisayansi na upelelezi iliyoongozwa na Duncan Jones, iliyotoka mwaka 2011. Inamhusu Captain Colter Stevens (Jake Gyllenhaal), rubani wa jeshi ambaye anajikuta amenaswa kwenye mpango wa siri wa kijeshi. 2/6 🔍 Captain Colter Stevens anapewa jukumu la kipekee ndani ya "source code," teknolojia inayomwezesha kurudi kwenye dakika 8 kabla ya mlipuko wa bomu kwenye treni jijini Chicago. Lengo ni kutambua na kumkamata mhusika wa shambulio hilo. 3/6 ⏳ "Source Code" inampa Stevens uwezo wa kurudia tukio hilo mara kwa mara. Kila anaporudi kwenye dakika hizo 8, anapata nyayo mpya za ushahidi zinazoelekea kwa mshambuliaji. Lakini kuna changamoto - kila tukio linakua na matokeo tofauti. 4/6 💥 Stevens anagundua kuwa kila mara anarudi katika mwili wa abiria fulani, Sean Fentress. Kwa hiyo, yeye hawezi kuonekana kama Stevens mwenyewe, ila ni kama Fentress. Hii inamfanya ashindane na wakati na ukweli wake. 5/6 💔 Akiendelea kurudia tukio, Stevens anapata hisia kwa Christina (Michelle Monaghan), abiria aliyeko karibu naye. Hii inamwongezea msukumo wa kutaka kubadilisha hatima ya tukio hilo ili kumwokoa yeye na wengine. 6/6 ✨ Kama unapenda filamu za kisayansi zenye mvuto wa akili, Source Code ni ya kukufaa!
    ·23 Visualizações
  • ·23 Visualizações
  • ·24 Visualizações
  • ONE OF THE G.O.A.TED MOVIES
    ONE OF THE G.O.A.TED MOVIES
    ·23 Visualizações
  • ·23 Visualizações
  • 1/ Thread: Hadithi ya Kuvutia ya Stranger Things inaanza na kutoweka kwa kijana mdogo aitwaye Will Byers . Rafiki zake wanamtafuta kwa bidii huku wakigundua ulimwengu wa ajabu na wa kutisha unaoitwa Upside Down .
    𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗼👇🏾

    2/ Katika harakati za kumtafuta Will, wanakutana na msichana wa ajabu mwenye nguvu za kipekee anayeitwa Eleven . Anaweza kuhamisha vitu bila kuvigusa na anaweza kuona mambo ya ulimwengu mwingine. Kusema kweli, ni wa kipekee kabisa!

    3/ Upside Down ni ulimwengu wa kivuli na cha kutisha sana . Viumbe kama Demogorgon na Mind Flayer vinaishi huko na vina lengo la kuleta giza na hofu kwenye mji wa Hawkins.

    4/ Rafiki hawa wa Will wanajua thamani ya urafiki na umoja . Wakiwa na Eleven, wanakutana na changamoto nyingi lakini hawakomi kupambana! Huu ni mfano mzuri wa kushinda hofu na kuwa na ujasiri.

    5/ Kila msimu una msisimko mpya , na tunajifunza mengi kuhusu Eleven na asili yake .

    6/ Kwa kifupi: Kama unapenda hadithi za fumbo na zakutisha Stranger Things ni lazima uiangalie! Itakufanya usisimuke, kuogopa na kuvutiwa!

    1/ Thread: Hadithi ya Kuvutia ya Stranger Things inaanza na kutoweka kwa kijana mdogo aitwaye Will Byers 🧒🚲. Rafiki zake wanamtafuta kwa bidii huku wakigundua ulimwengu wa ajabu na wa kutisha unaoitwa Upside Down 🌌. 𝘀𝗵𝘂𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗼🧵👇🏾 2/ Katika harakati za kumtafuta Will, wanakutana na msichana wa ajabu mwenye nguvu za kipekee anayeitwa Eleven 👧🔮. Anaweza kuhamisha vitu bila kuvigusa na anaweza kuona mambo ya ulimwengu mwingine. Kusema kweli, ni wa kipekee kabisa! 💥✨ 3/ Upside Down ni ulimwengu wa kivuli na cha kutisha sana 😱👽. Viumbe kama Demogorgon na Mind Flayer vinaishi huko na vina lengo la kuleta giza na hofu kwenye mji wa Hawkins. 4/ Rafiki hawa wa Will wanajua thamani ya urafiki na umoja 🤝💪. Wakiwa na Eleven, wanakutana na changamoto nyingi lakini hawakomi kupambana! Huu ni mfano mzuri wa kushinda hofu na kuwa na ujasiri. 🦸‍♂️🦸‍♀️ 5/ Kila msimu una msisimko mpya 🎬, na tunajifunza mengi kuhusu Eleven na asili yake 🧬. 6/ Kwa kifupi: Kama unapenda hadithi za fumbo na zakutisha Stranger Things ni lazima uiangalie! 👀💯 Itakufanya usisimuke, kuogopa na kuvutiwa!
    1 Comentários ·33 Visualizações
  • Achana na hizo zingine kwanza 10/10
    Achana na hizo zingine kwanza 10/10🔥🔥🔥
    Like
    Love
    3
    2 Comentários ·33 Visualizações
  • Movies za horror zenye Rates kubwa duniani Kwa mujibu wa IMDb

    1.Smile (2022)
    2.The Haunting of Hill House (series 1) (2018)
    3.Autopsy of Jane Doe (2016)
    4.The Forest (2016)
    5.The Shining (1980)
    6.Evil Dead (2013)
    7.Evil Dead Rise (2023)
    8. It Follows (2015)
    9.Annabelle (2014)
    10.Ouija (2014)
    Movies za horror zenye Rates kubwa duniani Kwa mujibu wa IMDb 🎬 1.Smile (2022) 2.The Haunting of Hill House (series 1) (2018) 3.Autopsy of Jane Doe (2016) 4.The Forest (2016) 5.The Shining (1980) 6.Evil Dead (2013) 7.Evil Dead Rise (2023) 8. It Follows (2015) 9.Annabelle (2014) 10.Ouija (2014)
    Like
    Haha
    3
    1 Comentários ·33 Visualizações
  • Kizuri kula na nduguyo inaitwa BLADE OF FURY 2024 aloo kwa sasa ndio best kwangu kwa kichapo mwaka 2024.
    Kizuri kula na nduguyo inaitwa BLADE OF FURY 2024 aloo kwa sasa ndio best kwangu kwa kichapo mwaka 2024.
    Love
    Like
    3
    1 Comentários ·32 Visualizações
  • Watu wanalalamika kwamba BLACK PANTHER WAKANDA FOREVER ni miongoni mwa movie mbaya kutoka kampuni ya MARVEL

    Ukiwauliza kwanini hawakupi sababu za msingi kwanini wanasema WAKANDA FOREVER ni movie mbaya ??

    Zaidi ni kwamba watakalamika na kuponda uhusika na majukumu makubwa aliyopewa SHURI kucheza kama BKACK PANTHER baada ya kifo Cha KING T CHALA

    Ilikuwa lazima iwe hivyo maana KING T CHALA hakuwa na ndugu wa kiume zaidi ya Kuwa na mdogo wake wakike SHURI

    Movie ni nzuri na ina story nzuri,ila ndo hivyo wengi wetu hatupendi kuona movie za action ambazo starling ni mwanamke.
    👉Watu wanalalamika kwamba BLACK PANTHER WAKANDA FOREVER ni miongoni mwa movie mbaya kutoka kampuni ya MARVEL Ukiwauliza kwanini hawakupi sababu za msingi kwanini wanasema WAKANDA FOREVER ni movie mbaya ?? Zaidi ni kwamba watakalamika na kuponda uhusika na majukumu makubwa aliyopewa SHURI kucheza kama BKACK PANTHER baada ya kifo Cha KING T CHALA Ilikuwa lazima iwe hivyo maana KING T CHALA hakuwa na ndugu wa kiume zaidi ya Kuwa na mdogo wake wakike SHURI Movie ni nzuri na ina story nzuri,ila ndo hivyo wengi wetu hatupendi kuona movie za action ambazo starling ni mwanamke.✍️
    Like
    2
    1 Comentários ·33 Visualizações
  • *PAZIA LA FILAMU* 📽

    *`LIFE IN A YEAR`* (2020)

    Walikutana wawili,
    Katika mazingira ya kutatanisha.
    Mvulana aliyekulia kwenye familia ya nasaba bora kiuchumi na kielimu.
    Pamoja na msichana aliyekulia mitaani, kwenye vichochoro vya mji.

    Wakafunguliana madirisha ya urafiki.
    Wakawa marafiki!
    Walipozoeana sana,
    Nyota zao zikawa kwenye mstari mmoja!
    Wakaamua kufunguliana milango ya upendo.
    Wakapendana!

    Mvulana akamuhaidi msichana,
    Kuwa atampenda kwa moyo wake wote, kwa roho yake yote na kwa nguvu zake zote...
    Hakujali maisha ya mtaani aliyoyaishi huyu binti....hakujali juu ya kiwango chake kidogo cha elimu.
    Mapenzi yakatunisha misuli yake,
    Akampenda kama alivyo!

    Msichana naye alivutiwa na mvulana.
    Akampenda!
    Lakini hakutaka kumpa ahadi yoyote ile.
    Ni kweli alipenda kumwambia kuwa atampenda daima, lakini afya yake ilimdhihaki.
    Alikuwa na mwaka mmoja tu wa kuishi.
    Alikuwa mgonjwa wa kansa!

    Mvulana akahaidi kumpenda msichana ndani ya huohuo mwaka mmoja!
    Akamwambia kuwa yuko tayari kumtengenezea pepo ndogo hapahapa duniani ndani ya huo mwaka mmoja aliobakiza kuliona hili jua.

    Kuonesha kuwa ameamua kupenda kwelikweli.
    Akatengeneza mpaka ratiba ya mwaka mzima,
    Kuenjoy yeye na msichana.
    Kijana alienda mbali,
    Akawa siriasi sana.
    Akatambulisha mpaka nyumbani kwa baba na mama.

    Ikaibuka vita baridi pale nyumbani,
    "Unatuleteaje binti asiye na dira ya maisha na hana elimu?"
    Lakini kijana n'do amependa kamaliza. Kasheshe!
    Vuta n'kuvute!
    Sukuma n'kusukume!
    Mvulana akakosana na wazazi wake, akataka kuachana na elimu kabisa.

    Wazee wamemtusi na kumkataa mpenzi wake...na yeye kamuhaidi kumpa faraja tupu ndani ya mwaka mmoja alio nao hapa kwenye sayari ya tatu.
    Filamu nzuri sana kuitazama,
    Love story yenye drama za kuvutia.
    Ni Jaden Smith nyuma ya kamera
    Imetoka 2020.
    LIFE IN A YEAR
    *PAZIA LA FILAMU* 📽🎬 *`LIFE IN A YEAR`* (2020) Walikutana wawili, Katika mazingira ya kutatanisha. Mvulana aliyekulia kwenye familia ya nasaba bora kiuchumi na kielimu. Pamoja na msichana aliyekulia mitaani, kwenye vichochoro vya mji. Wakafunguliana madirisha ya urafiki. Wakawa marafiki! Walipozoeana sana, Nyota zao zikawa kwenye mstari mmoja! Wakaamua kufunguliana milango ya upendo. Wakapendana! Mvulana akamuhaidi msichana, Kuwa atampenda kwa moyo wake wote, kwa roho yake yote na kwa nguvu zake zote... Hakujali maisha ya mtaani aliyoyaishi huyu binti....hakujali juu ya kiwango chake kidogo cha elimu. Mapenzi yakatunisha misuli yake, Akampenda kama alivyo! Msichana naye alivutiwa na mvulana. Akampenda! Lakini hakutaka kumpa ahadi yoyote ile. Ni kweli alipenda kumwambia kuwa atampenda daima, lakini afya yake ilimdhihaki. Alikuwa na mwaka mmoja tu wa kuishi. Alikuwa mgonjwa wa kansa! Mvulana akahaidi kumpenda msichana ndani ya huohuo mwaka mmoja! Akamwambia kuwa yuko tayari kumtengenezea pepo ndogo hapahapa duniani ndani ya huo mwaka mmoja aliobakiza kuliona hili jua. Kuonesha kuwa ameamua kupenda kwelikweli. Akatengeneza mpaka ratiba ya mwaka mzima, Kuenjoy yeye na msichana. Kijana alienda mbali, Akawa siriasi sana. Akatambulisha mpaka nyumbani kwa baba na mama. Ikaibuka vita baridi pale nyumbani, "Unatuleteaje binti asiye na dira ya maisha na hana elimu?" Lakini kijana n'do amependa kamaliza. Kasheshe! Vuta n'kuvute! Sukuma n'kusukume! Mvulana akakosana na wazazi wake, akataka kuachana na elimu kabisa. Wazee wamemtusi na kumkataa mpenzi wake...na yeye kamuhaidi kumpa faraja tupu ndani ya mwaka mmoja alio nao hapa kwenye sayari ya tatu. Filamu nzuri sana kuitazama, Love story yenye drama za kuvutia. Ni Jaden Smith nyuma ya kamera 🎥 Imetoka 2020. LIFE IN A YEAR
    Like
    1
    2 Comentários ·31 Visualizações
  • inabidi ukaze kichwa aswa kama ujasoma Cuba dawati la mbele utalaumu watu bure
    inabidi ukaze kichwa aswa kama ujasoma Cuba dawati la mbele utalaumu watu bure
    Like
    2
    1 Comentários ·31 Visualizações
  • Like
    Love
    2
    1 Comentários ·31 Visualizações
Mais Stories