• WAMISRI WANA WA CHUKULIA MAFARAO KAMA WANAISHI SIO MIZIMU WALA MAREHEMU
    Kesho macho ya ulimwengu yanaelekezwa Afrika hasa Misri
    Kwamara ya kwanza tunaenda kushuhudia tukio kubwa katika maisha yetu.
    Ulimwengu wote unangojea hafla hii ya maandamano makubwa yaliyo ongozana na mummy /wafalme mafarao wakuu na mamalkia wakubwa Duniani kwa pamoja wanahama kutoka Jumba la kumbukumbu la zamani la Misri kwenda Makumbusho mapya ya Ustaarabu huko Cairo Tukio hilo litatangaza njia 400 za raia wa kigeni kutoka nchi zote ulimwenguni.

    Tukio hili kubwa zaidi litafanyika tarehe 3 Aprili.
    Kati ya wafalme na malkia.

    mfalme Ramses wa Pili, Ramses wa Tatu, Mfalme Seqnen Ra, Mfalme Ahmose, Mfalme Tuthmosis III, Malkia Hatshepsut, Malkia Nefertari, Mfalme Amenhotep wa IV na Mfalme Siti wa Kwanza

    Mummies watahamishwa kwa gari zilizojengwa maalum kwa maandamano, yenye nembo na jina la mummy wa kifalme aliyepo kwenye gari kwa Kiarabu, Kiingereza, na hieroglyphs.

    Magari ya vita, pia yaliyoundwa kwa hafla hiyo, na watakuwepo pande zote za barabara wakati wa gwaride, pamoja na farasi.

    Kabla ya kuanza kwa gwaride, zitapigwa saluti 21 za bunduki itafanyika kwa heshima ya watawala wa zamani, na kuanza kutoka kwa gari, moja baada ya nyingine, kutoka lango kuu la makumbusho.
    Hizi gari zitatembea kwa umbo la mviringo katika Mraba wa Tahrir yenyewe, na huzunguka kwenye obelisk ambayo sasa iko katikati ya mraba.

    Wakati huo huo, obelisk na majengo yaliyo karibu nayo yatawashwa kwa hafla hiyo, kabla ya kuona maandamano yakiendeshwa kando ya Mto Nile.
    Njia ya maandamano ni pamoja na alama nane, ambazo muhimu zaidi ni Tahrir Square na Ziwa la Ain Sira.
    Sherehe na gwaride litatangazwa, na kurushwa live kwenye skrini zitakazo wekwa barabarani.

    Maandamano hayo yatashirikisha muziki wa kijeshi, na onyesho la kisanii la kupendeza litaonyeshwa kusherehekea kutoka kifalme katika jumba la kumbukumbu.
    Waigizaji kadhaa watashiriki katika sherehe hiyo, watakua wakiongea kutoka maeneo tofauti ya utalii, pamoja na Sawsan Badr, Hussein Fahmy, Mona Zaki, na wengine.
    WAMISRI WANA WA CHUKULIA MAFARAO KAMA WANAISHI SIO MIZIMU WALA MAREHEMU Kesho macho ya ulimwengu yanaelekezwa Afrika hasa Misri🇪🇬 Kwamara ya kwanza tunaenda kushuhudia tukio kubwa katika maisha yetu. Ulimwengu wote unangojea hafla hii ya maandamano makubwa yaliyo ongozana na mummy /wafalme mafarao wakuu na mamalkia wakubwa Duniani kwa pamoja wanahama kutoka Jumba la kumbukumbu la zamani la Misri kwenda Makumbusho mapya ya Ustaarabu huko Cairo Tukio hilo litatangaza njia 400 za raia wa kigeni kutoka nchi zote ulimwenguni. Tukio hili kubwa zaidi litafanyika tarehe 3 Aprili. Kati ya wafalme na malkia. mfalme Ramses wa Pili, Ramses wa Tatu, Mfalme Seqnen Ra, Mfalme Ahmose, Mfalme Tuthmosis III, Malkia Hatshepsut, Malkia Nefertari, Mfalme Amenhotep wa IV na Mfalme Siti wa Kwanza Mummies watahamishwa kwa gari zilizojengwa maalum kwa maandamano, yenye nembo na jina la mummy wa kifalme aliyepo kwenye gari kwa Kiarabu, Kiingereza, na hieroglyphs. Magari ya vita, pia yaliyoundwa kwa hafla hiyo, na watakuwepo pande zote za barabara wakati wa gwaride, pamoja na farasi. Kabla ya kuanza kwa gwaride, zitapigwa saluti 21 za bunduki itafanyika kwa heshima ya watawala wa zamani, na kuanza kutoka kwa gari, moja baada ya nyingine, kutoka lango kuu la makumbusho. Hizi gari zitatembea kwa umbo la mviringo katika Mraba wa Tahrir yenyewe, na huzunguka kwenye obelisk ambayo sasa iko katikati ya mraba. Wakati huo huo, obelisk na majengo yaliyo karibu nayo yatawashwa kwa hafla hiyo, kabla ya kuona maandamano yakiendeshwa kando ya Mto Nile. Njia ya maandamano ni pamoja na alama nane, ambazo muhimu zaidi ni Tahrir Square na Ziwa la Ain Sira. Sherehe na gwaride litatangazwa, na kurushwa live kwenye skrini zitakazo wekwa barabarani. Maandamano hayo yatashirikisha muziki wa kijeshi, na onyesho la kisanii la kupendeza litaonyeshwa kusherehekea kutoka kifalme katika jumba la kumbukumbu. Waigizaji kadhaa watashiriki katika sherehe hiyo, watakua wakiongea kutoka maeneo tofauti ya utalii, pamoja na Sawsan Badr, Hussein Fahmy, Mona Zaki, na wengine.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·890 Views
  • FAHAMU HAYA KUTOKA KWA MMILIKI WA FACEBOOK.

    Anaitwa #Mark_Zuckerberg

    1.Ana umri wa miaka 30 tu, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu! Mark ndiye anaeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa bilionea mdogo zaidi aliyoiweka akiwa na miaka 23 tu!

    2. Mark Haamini kabisa kuwa kuna Mungu

    3. Hajawahi kumiliki TV! Maisha yake amekuwa akitumia computer tu

    4. Ana Matatizo ya kutambua baadhi ya rangi, rangi yake kuu anayoipenda ni bluu na ndio sababu facebook imetawaliwa na rangi hiyo!

    5 Mara kadhaa amepigiwa kura kuwa mtu maarufu anaevaa vibaya zaidi! Mara nyingi huvaa t-shirt na jeans au kaptura na sandals. wengi huona kama hajijali

    6.Unaweza kumblock mtu yeyote facebook kasoro yeye tu! Ingia kwenye ukurasa wake http://www.facebook.com/zuck na ujaribu uone!

    7.Mwaka 2009 Mark alivaa tai kwa mwaka mzima kuonyesha ni jinsi gani mwaka huo ulikuwa 8 serious. Baada ya hapo mark huonekana mara chache sana akiwa amevaa tai na Suti.

    8.Akiwa na miaka 13 tu mark alitengeneza mtandao ndani ya nyumba yao uliokuwa ukiziwezesha kompyuta kutumiana meseji ndani ya nyumba yao!

    9. Licha ya Twitter kuwa Mshindani namba moja wa facebook, Mark ni mtumiaji wa mtandao huo pia! Ana akaunti twitter akiwa na wafuasi

    10. Mwaka 2011 aliamua kutokula nyama yeyote mpaka awe amechinja mwenyewe! Ni utamaduni wake kujiwekea challenge moja kila mwaka
    FAHAMU HAYA KUTOKA KWA MMILIKI WA FACEBOOK. Anaitwa #Mark_Zuckerberg 1.Ana umri wa miaka 30 tu, alivumbua mtandao wa facebook akiwa na miaka 20 tu! Mark ndiye anaeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa bilionea mdogo zaidi aliyoiweka akiwa na miaka 23 tu! 2. Mark Haamini kabisa kuwa kuna Mungu 3. Hajawahi kumiliki TV! Maisha yake amekuwa akitumia computer tu 4. Ana Matatizo ya kutambua baadhi ya rangi, rangi yake kuu anayoipenda ni bluu na ndio sababu facebook imetawaliwa na rangi hiyo! 5 Mara kadhaa amepigiwa kura kuwa mtu maarufu anaevaa vibaya zaidi! Mara nyingi huvaa t-shirt na jeans au kaptura na sandals. wengi huona kama hajijali 6.Unaweza kumblock mtu yeyote facebook kasoro yeye tu! Ingia kwenye ukurasa wake http://www.facebook.com/zuck na ujaribu uone! 7.Mwaka 2009 Mark alivaa tai kwa mwaka mzima kuonyesha ni jinsi gani mwaka huo ulikuwa 8 serious. Baada ya hapo mark huonekana mara chache sana akiwa amevaa tai na Suti. 8.Akiwa na miaka 13 tu mark alitengeneza mtandao ndani ya nyumba yao uliokuwa ukiziwezesha kompyuta kutumiana meseji ndani ya nyumba yao! 9. Licha ya Twitter kuwa Mshindani namba moja wa facebook, Mark ni mtumiaji wa mtandao huo pia! Ana akaunti twitter akiwa na wafuasi 10. Mwaka 2011 aliamua kutokula nyama yeyote mpaka awe amechinja mwenyewe! Ni utamaduni wake kujiwekea challenge moja kila mwaka
    Like
    1
    · 2 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • IFAHAMU SHULE YA BEI KUBWA ZAIDI DUNIANI.

    Shule ya bei kubwa zaidi Duniani inaitwa Instut Le Rosey ambayo ipo Switzerland, ada ya Mwanafunzi mmoja kwa mwaka sio chini ya USD 117,434 ambayo kwa Tsh. ni kama Milioni 272 Unaambiwa ukiachia mazingira mazuri.

    Shule ipo karibu na Ziwa, ina madarasa 50, Maabara 8 za Sayansi, Theater na kila asubuhi Wanafunzi hupata breki ya kula chocolate

    Ukiacha masomo, Wanafunzi hufundishwa kucheza golf, kutumia farasi, wanacho chumba maalum kwa ajili ya muziki na studio kwa ajili ya sanaa nyingine Wanafunzi wanaweza kujifunza kwa lugha mbili ambazo ni Kiingereza na Kifaransa ambapo pamoja na kwamba ni Shule ya bei ghali lakini wanausambaza upendo mwingi kwa Afrika ambako wamejenga Shule kwenye nchi ya Mali
    IFAHAMU SHULE YA BEI KUBWA ZAIDI DUNIANI. Shule ya bei kubwa zaidi Duniani inaitwa Instut Le Rosey ambayo ipo Switzerland, ada ya Mwanafunzi mmoja kwa mwaka sio chini ya USD 117,434 ambayo kwa Tsh. ni kama Milioni 272 Unaambiwa ukiachia mazingira mazuri. Shule ipo karibu na Ziwa, ina madarasa 50, Maabara 8 za Sayansi, Theater na kila asubuhi Wanafunzi hupata breki ya kula chocolate Ukiacha masomo, Wanafunzi hufundishwa kucheza golf, kutumia farasi, wanacho chumba maalum kwa ajili ya muziki na studio kwa ajili ya sanaa nyingine Wanafunzi wanaweza kujifunza kwa lugha mbili ambazo ni Kiingereza na Kifaransa ambapo pamoja na kwamba ni Shule ya bei ghali lakini wanausambaza upendo mwingi kwa Afrika ambako wamejenga Shule kwenye nchi ya Mali
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·942 Views
  • #FAHAMU Miongoni mwa viumbe hatari zaidi vinavyopatikana kwenye maji ni aina ya samaki anayefahamika kwa jina la (Eel), uhatari mkubwa wa samaki huyu ni kwamba mwili wake una uwezo wa kuzalisha umeme wa mpaka kufikia volti 650.

    Samaki huyu anauwezo wa kuyapa maji shoti ya volti zaidi ya 600 ili tu kufanikiwa kumdhuru kiumbe yeyote ndani ya maji. Kiumbo anaweza kukua kwa urefu mpaka futi 8 au mita 2.5 na awapo kwenye maji hufanana na nyoka.

    Zipo baadhi ya video zinazoonyesha baadhi ya watu tofauti tofauti ulimwenguni wakionekana kupoteza maisha ghafla kwa mtetemesho wawapo ndani ya maji na wengi wao wamethibitishwa kufariki kutokana na shoti ya samaki huyo.
    #FAHAMU Miongoni mwa viumbe hatari zaidi vinavyopatikana kwenye maji ni aina ya samaki anayefahamika kwa jina la (Eel), uhatari mkubwa wa samaki huyu ni kwamba mwili wake una uwezo wa kuzalisha umeme wa mpaka kufikia volti 650. Samaki huyu anauwezo wa kuyapa maji shoti ya volti zaidi ya 600 ili tu kufanikiwa kumdhuru kiumbe yeyote ndani ya maji. Kiumbo anaweza kukua kwa urefu mpaka futi 8 au mita 2.5 na awapo kwenye maji hufanana na nyoka. Zipo baadhi ya video zinazoonyesha baadhi ya watu tofauti tofauti ulimwenguni wakionekana kupoteza maisha ghafla kwa mtetemesho wawapo ndani ya maji na wengi wao wamethibitishwa kufariki kutokana na shoti ya samaki huyo.
    Like
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·774 Views
  • Cassowary anaitwa ,Ni jamii ya Ndege wanaopatikana Australia, ni ndege hatari zaidi Duniani ,muone hapo kama mzembe mzembe tu,

    Sifa za huyu ndege yeye akihisi hatari yaani akikuhisi unataka kumuua, anaruka juu anakuvamia na shambulio lake ni kama umepigwa na silaha hizi za kisasa kama AK47 na majeraha yake lazima ufe , yeye anapokuvamia huvaa mask anayo yake ya asili , Kifupi huyu ndege huitwa Muuaji wa watu.

    Mbaya kuliko zote huyu nyama yake utachemsha mawe yakaiva nyama ya huyu bado haijaiva..

    Share
    Cassowary anaitwa ,Ni jamii ya Ndege wanaopatikana Australia, ni ndege hatari zaidi Duniani ,muone hapo kama mzembe mzembe tu, Sifa za huyu ndege yeye akihisi hatari yaani akikuhisi unataka kumuua, anaruka juu anakuvamia na shambulio lake ni kama umepigwa na silaha hizi za kisasa kama AK47 na majeraha yake lazima ufe , yeye anapokuvamia huvaa mask anayo yake ya asili , Kifupi huyu ndege huitwa Muuaji wa watu. Mbaya kuliko zote huyu nyama yake utachemsha mawe yakaiva nyama ya huyu bado haijaiva.. Share
    Like
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·866 Views
  • #JEWAJUA
    Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 )

    Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga.

    Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
    #JEWAJUA Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 ) Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga. Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·881 Views
  • Yanga African
    Yanga African
    Love
    Sad
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·398 Views ·21
  • 🔥🔥🔥🙏🔥🔥
    Love
    Sad
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·393 Views ·19
  • Kauli gani ulishawahi kuambiwa na mtu unayempenda na ikakuumiza?
    Kauli gani ulishawahi kuambiwa na mtu unayempenda na ikakuumiza?
    Like
    Love
    Wow
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·585 Views
  • 0 Comments ·0 Shares ·316 Views