Wajue maraisi watano wa Africa waliouwawa baada ya kupinduliwa.
Kama yalivyo maeneo mengine ya dunia, bara la Afrika halijasalimika na mapinduzi ya kirai na kijeshi. Lakini wakati mwingine mapinduzi haya, hupelekea mauaji ya wanaopinduliwa.
Miongoni hao marais wapo ambao walipinduliwa lakini roho zao zikasalimika, wapo ambao waliponea katika tundu la sindano, na wengine bahati hazikuwa za kwao, wakaishi kuuawa.
Makala hii inaangazia orodha ya marais watano waliouawa barani Afrika, baada ya serikali zao kuzindiwa nguvu na kuondolewa madarakani, tangu mataifa ya Afrika yapate uhuru:
Sylvanus Épiphanio Olympio, alizaliwa tarehe 6 Septemba 1902. Familia ya Olympio ilikuwa moja wapo ya familia tajiri nchini Togo mwanzoni mwa miaka ya 1900.
Alisoma na kuhitimu London School of Economics. Baada ya Vita vya Pili vya Dunia, Olympio alipata umaarufu mkubwa katika juhudi za kupigania uhuru wa Togo na chama chake kilishinda uchaguzi wa 1958, na kumfanya kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Nguvu yake iliimarika zaidi pale Togo ilipopata uhuru na akashinda uchaguzi wa 1961, na kumfanya kuwa rais wa kwanza wa Togo.
Tarehe 13 Januari 1963, Olympio na mke wake waliamshwa na wanajeshi waliokuwa wakivunja nyumba yao. Aliuawa 1963, miaka mitatu tu baada ya kuchukua madaraka.
Mwili wa Olympio ulipatikana na Balozi wa Marekani Leon B. Poullada futi tatu kutoka mlango wa Ubalozi wa Marekani. Akawa Rais wa kwanza kuuawa baada ya mapinduzi barani Afrika.
William Richard Tolbert alizaliwa 13 Mei 1913, alikuwa mwanasiasa wa Liberia na rais wa 20 wa Liberia kuanzia 1971 hadi mwaka 1980.
Tolbert aliingia katika Baraza la Wawakilishi mwaka 1943 kupitia chama cha True Whig, kikiwa chama pekee kilichoanzishwa nchini Liberia wakati huo. Tolbert alichaguliwa kuwa makamu wa rais wa 23 wa Liberia chini ya rais William Tubman mwaka 1952 na alihudumu katika nafasi hiyo hadi alipokuwa rais kufuatia kifo cha Tubman mwaka 1971.
Mapema tarehe 12 Aprili 1980, maofisa 17 wa Jeshi la Liberia wakiongozwa na Sajenti Samuel Doe walianzisha mapinduzi. Kundi hilo liliingia katika Ikulu ya Rais na kumuua Tolbert, na mwili wake ulitupwa kwenye kaburi la pamoja na wahanga wengine 27 wa mapinduzi hayo. Mwili wa Tolbert baadaye ulitolewa na kupelekwa Monrovia kwa mazishi rasmi.

·7 Views