·22 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
JINSI YA KUONGEZA INSTAGRAM FOLLOWERS,LIKES NA COMMENTS bure kwa kutumia app
Video link
https://youtu.be/YOudxvSCSfM
Hii app haitaji mambo mengi kama nyingine wala haitaji kulipia
Watch video and share to your friends
Credit
》》VENOM
》》DUDUU_MENDEZJINSI YA KUONGEZA INSTAGRAM FOLLOWERS,LIKES NA COMMENTS bure kwa kutumia app Video link https://youtu.be/YOudxvSCSfM Hii app haitaji mambo mengi kama nyingine wala haitaji kulipia Watch video and share to your friends Credit 》》VENOM 》》DUDUU_MENDEZ·227 Views -
Vladimir Putin,Rais wa Urusi ni moja Kati ya Binadamu wanao zaniwa kuwa ni "Immortal people" yani watu wasio kufa, kupitia nadharia ya Quantum immortality.
Ina semekana watu wa mtindo huo wana weza kukwepa kifo, punde linapotokea tukio la kifo kwa kuweza kutumia 50% ya ubongo wao.
Putin anahusishwa na nadharia iyo kutokana na matendo ,hata ivyo picha kadhaa zina muonyesha kwamba alikuwepo toka mwaka 1920 na alipigana Vita ya pili ya Dunia kama mwanajeshi.
Na hiyo watu inawafanya waamini kwasababu nikweli Putin ni mwanajeshi kabla hajawa Rais.
Hata ivyo katika ualisia Putin amezaliwa 7/10/1952.
👉 Vladimir Putin,Rais wa Urusi ni moja Kati ya Binadamu wanao zaniwa kuwa ni "Immortal people" yani watu wasio kufa, kupitia nadharia ya Quantum immortality. Ina semekana watu wa mtindo huo wana weza kukwepa kifo, punde linapotokea tukio la kifo kwa kuweza kutumia 50% ya ubongo wao. Putin anahusishwa na nadharia iyo kutokana na matendo ,hata ivyo picha kadhaa zina muonyesha kwamba alikuwepo toka mwaka 1920 na alipigana Vita ya pili ya Dunia kama mwanajeshi. Na hiyo watu inawafanya waamini kwasababu nikweli Putin ni mwanajeshi kabla hajawa Rais. Hata ivyo katika ualisia Putin amezaliwa 7/10/1952. ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐·127 Views -
YAJUE MAENEO AMBAYO HURUHUSIWI KUFIKA KAMWE.
Katika ulimwengu wa leo tunaoishi tunaweza kufanya vitu vingi vinavyotufurahisha ikiwemo kusafiri kwenda maeneo mbalimbali ulimwenguni kwa malengo mbalimbali mfano kibiashara,kiutalii na hata kwa lengo la kuburudika tu.lakini hayo yote yanaweza kufanyika isipokuwa kwa baadhi ya maeneo,yafuatayo ni maeneo manne (4) ambayo huruhusiwi kufika.
#01.NORTH SENTINEL ISLAND (KISIWA CHA SENTINEL YA KASKAZINI)
Kisiwa cha NORTH SENTINEL ni sehemu ya visiwa vya ANDAMAN na NICOBAR vilivyopo kwenye bay ya BENGAL kwenye bahari ya hindi kati ya MYANMAR na INDONESIA.Eneo hili ndipo mahali ambapo wakazi wake hawaruhusu mawasiliano kabisa na ulimwengu ulioendelea/mataifa mengine.
Kuna visa kadhaa vya kuthibitisha 'marufuku' ya kuingia kisiwani huko kutoka kwa wakazi wake.
-Mwezi DISEMBA mwaka 2004 tsunami ilipopiga kwenye bahari ya hindi waokoaji walihitaji kusaidia wahanga wa kisiwa hiko lakini haikuwa rahisi kutokana na upinzani waliokutana nao kutoka kwa wakazi wa kisiwa hicho,walijaribu kushusha vyakula wakiwa kwenye helikopta ya jeshi la maji la INDIA kilichotokea ni kwamba moja ya helikopta hizo ilishambuliwa na 'shujaa' mmoja wa kisiwa hiko aliepiga mkuki kwenye helikopta kuonesha kuwa watu hao hawakuhitaji msaada wala mawasiliano na mataifa jirani.
Kimsingi INDIA ndio inayomiliki kisiwa hicho.
-Kisa kingine ni cha mwaka 1896 cha mfungwa mmoja alietoroka kutoka kwenye gereza lililopo katika kisiwa cha ANDAMAN ambae alikimbilia kwenye kisiwa hiki,siku chache baadae mwili wake ulikutwa pembezoni mwa bahari ukiwa na alama za kupigwa na mishale na huku koo lake likiwa limekatwa.
Sijui kama wakazi wa kisiwa hiki wanajua kama kuna nchi inaitwa TANZANIA,shughuli wanazofanya kuendesha maisha yao ni uwindaji,uvuvi pia wanakula matunda na asali.
Huwezi kuamini kuwa maeneo haya hakuna SIMU wala INTANETI.
#02.ROOM 39 (CHUMBA NAMBA 39)
Kwa majina mengine huitwa BUREAU 39 au DIVISION 39 au OFFICE 39,jengo hili lipo nchini KOREA KASKAZINI na linakaliwa na tasisi ya siri ya chama cha KOREA KASKAZINI (KOREAN WORKERS' PARTY) lengo lake ni kuchangia uongezekaji wa fedha za kigeni nchini KOREA KASKAZINI,ROOM 39 inaaminika kuendesha shughuli zote zinazohusiana na uingizwaji wa fedha za kigeni nchini humo na mjini PYONGYANG ikiwa pamoja na mahoteli yaliyopo PYONGYANG na uchimbaji wa madini ya ZINC na DHAHABU. Taasisi ya ROOM 39 inaaminika kumiliki baadhi ya makampuni mafano ZOKWANG TRADING na benki ya TAESONG BANK.
Tasisi hii iliundwa na KIM IL-SUNG miaka ya 1970,kwa mwaka tasisi hii ya siri inasadikika inaiingizia nchi ya KOREA KASKAZINI mapato ya kati ya milioni $500 (dola za kimarekani) mpaka billioni $1 (dola za kimarekani).
Vyanzo kadhaa vya nchi za magharibi vinaeleza kuwa taasisi hii inaingiza fedha hizo kwa kuendesha shughuli za kihalifu,mfano ripoti moja ya WASHINGTON POST ilieleza ubadhilifu uliotokea katika sekta ya BIMA duniani na kudai kuwa ulifanywa na serikali ya KOREA KASKAZINI kwa kutumia taasisi yake ya KOREA NATIONAL INSURANCE CORP (KNIC).
Jengo hili la ROOM 39 hakika huruhusiwi kuingia ndani yake,kutokana na sababu za kiusalama hivyo hutaweza kuwemo ndani yake.
#03.AREA 51
Hili ni eneo linalomilkiwa na JESHI LA ANGA LA MAREKANI lipo NEVADA.
Taarifa nyingi na za uhakika kuhusu mambo yanayofanyika katika eneo hili ni 'highly classified' ila tu kuna nadharia kadhaa zinazoeleza mambo yanayofanyika katika eneo hili baadhi ya nadharia hizo ni;
>Inaaminika kuwa AREA 51 ni mahali wanapofanya tafiti za teknolojia za viumbe wa sayari nyingine (ALLIEN) ambapo jeshi la anga la marekani limehifadhi masalia ya ndege za viumbe hao zilizopata ajali,na pia wanatengeneza ndege kutokana na teknolojia ya ALLIENS.
>Inaaminika wanaendesha program/mpango wa kutengeneza silaha za kujilinda za awali yaani STRATEGIC DEFENSE INITIATIVE (SDI) na program za silaha nyingine.
>Inaaminika kuwa ndani ya eneo hilo wanatengeneza teknolojia itakayoweza ku'control' hali ya hewa.
>Inaaminika kuwa wanafanya program ya kutengeneza teknolojia ya TIME TRAVEL (uwezo wa kumwezesha mtu kurudi wakati uliopita au kwenda wakati ujao,mfano mtu atoke hivi sasa na asafiri kwenda miaka 50 ijayo) na TELEPORTATION (yaani mtu aweze kusafiri kutoka eneo moja hadi jingine pasina usafiri wowote ule na kwa haraka.nadharia hii imeelezwa kwenye filamu/movie/series ya TOMORROW PEOPLE kama ushawahi kuiona basi hivyo ndivyo watu wanavyo teleport).
>Inaaminika kuwa pengine wanaendesha shughuli zitakazochangia kuwepo kwa serikali moja duniani (ONE WORLD GOVERMENT)
Moja ya mambo yanayoweza kutumika kama ushahidi juu ya nadharia inayohusisha uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine yaani ALLIENS ndani ya AREA 51 ni baadhi ya watu waliowahi kukiri kuwa wafanyakazi wa AREA 51
**Mmoja wao ni bwana BOB LAZAR ambae mwaka 1989 alisema kuwa alifanya kazi ndani ya AREA 51 SECTOR FOUR (S-4) ambapo eneo hili lipo chini ya ardhi,bwana BOB LAZAR alisema kuwa alipokuwa ndani ya SECTOR FOUR alifanya kazi na ndege ya anga la juu(spacecraft) ya ALLIENS ambayo inashikiliwa na serikali ya MAREKANI ndani ya AREA 51.
**Documentary moja iitwayo DREAMLAND iliotoka mwaka 1996 ilioongozwa na BRUCE BURGESS ilijumuisha interview aliofanya na mzee wa umri wa miaka 71 ambae ni injinia (mechanical engeneer) aliekiri kuwa alishawahi kuwa muajiriwa aliefanya kazi ndani ya AREA 51 katika miaka ya 1950,alikiri kuwa alifanya kazi kwenye kitu chenye uwezo wa kupaaa angani kilicho mfano wa sahani kiitwacho "FLYING DISK SIMULATOR" alisema kitu hicho mfano wa sahani kubwa kilitokana na ndege ya anga za juu iliopoata ajali na kilitumika kuwafundishia marubani wa jeshi la MAREKANI,pia alikiri kuwa alifanya kazi na kiumbe kutoka sayari nyingine ambae aliitwa "J-ROD".
**Mwaka 2004 DAN BURISCH alikiri kufanya kazi ndani ya AREA 51 pamoja na ALLIEN aliefahamika kwa jina la "J-ROD"
Kuingia katika eneo hili kumezuiwa vikali, na wanajeshi wanaolinda eneo hilo wamepewa mamlaka ya kumfyatulia risasi yeyote atakaeingia ambae hana ruhusa ya kuwepo eneo hilo,Hivyo basi katika eneo hili hautaweza kufika labda uwe mfanyikazi wa humu.
(KWA WALE WANAOCHEZA SANA VIDEO GAMES AU WALE WALIOWAHI KUCHEZA "GTA SAN ANDREAS" WANAJUA UKIFIKA SEHEMU MOJA INAYOITWA AREA 51 UNASHAMBULIWA KULIKO KAWAIDA)
#04.ILHA DE QUEIMEDA/SNAKE ISLAND (KISIWA NA NYOKA)
Kisiwa cha ILHA DE QUEIMEDA kipo umbali wa maili kadhaa kutoka katika pwani ya mji wa SAO PAOLO nchini BRAZIL.
Kisiwa hiki ni makazi ya nyoka hatari zaidi duniani tena wenye sumu ilio kali kabisa,idadi ya kukadiria ya nyoka waliopo kisiwani humo ni takriban nyoka 4000,nyoka aina ya 'lancehead vipers' wapatikanao kisiwani humo wanakua kwa wastani wa urefu wa SENTIMITA 70 (70 CM) pia wanaweza kufikia hata urefu wa SENTIMITA 118 mpaka 120,vifo vingi vinavyotokea amerika ya kusini miongoni mwao husababishwa na nyoka hawa.
> Chakula chao cha kawaida mara nyingi ni ndege na imeripotiwa kuwa huwa wanakula mijusi na kula hata nyoka wengine.
> Nyoka wa aina hii akimng'ata/akimgonga binadamu mara moja basi binadamu anakuwa kwenye hatari ya kufa kwa aslimia 7 (7%) yaani anakuwa na uwezekano wa kufa kwa asilimia 7.
Moja ya kisa kilichoripitiwa kutokea kisiwani huko ni cha mvuvi mmoja aliekuwa akivua samaki na mara boti yake ikapata tatizo la injini akaamua kuweka makazi kwa muda katika kisiwa hicho pasina kujua hatari iliopo ndani yake, baada ya boti kuonekana ndipo alipopatikana akiwa amekufa huku akiwa na alama za kung'atwa na nyoka.
Kwa miaka 15 iliopita idadi ya nyoka kisiwani humo imepungua kwa asilimia 15 (15%) kutokana na magonjwa na kupungua kwa uoto ndani ya kisiwa,lakini hii leo bado maelfu ya nyoka bado ndio makazi yao ndani ya kisiwa.Serikali ya BRAZIL imezuia utembeleaji na shughuli za kitalii ndani ya kisiwa hicho isipokuwa kwa wanasayansi na wanajeshi wa majini wa BRAZIL.YAJUE MAENEO AMBAYO HURUHUSIWI KUFIKA KAMWE. Katika ulimwengu wa leo tunaoishi tunaweza kufanya vitu vingi vinavyotufurahisha ikiwemo kusafiri kwenda maeneo mbalimbali ulimwenguni kwa malengo mbalimbali mfano kibiashara,kiutalii na hata kwa lengo la kuburudika tu.lakini hayo yote yanaweza kufanyika isipokuwa kwa baadhi ya maeneo,yafuatayo ni maeneo manne (4) ambayo huruhusiwi kufika. #01.NORTH SENTINEL ISLAND (KISIWA CHA SENTINEL YA KASKAZINI) Kisiwa cha NORTH SENTINEL ni sehemu ya visiwa vya ANDAMAN na NICOBAR vilivyopo kwenye bay ya BENGAL kwenye bahari ya hindi kati ya MYANMAR na INDONESIA.Eneo hili ndipo mahali ambapo wakazi wake hawaruhusu mawasiliano kabisa na ulimwengu ulioendelea/mataifa mengine. Kuna visa kadhaa vya kuthibitisha 'marufuku' ya kuingia kisiwani huko kutoka kwa wakazi wake. -Mwezi DISEMBA mwaka 2004 tsunami ilipopiga kwenye bahari ya hindi waokoaji walihitaji kusaidia wahanga wa kisiwa hiko lakini haikuwa rahisi kutokana na upinzani waliokutana nao kutoka kwa wakazi wa kisiwa hicho,walijaribu kushusha vyakula wakiwa kwenye helikopta ya jeshi la maji la INDIA kilichotokea ni kwamba moja ya helikopta hizo ilishambuliwa na 'shujaa' mmoja wa kisiwa hiko aliepiga mkuki kwenye helikopta kuonesha kuwa watu hao hawakuhitaji msaada wala mawasiliano na mataifa jirani. Kimsingi INDIA ndio inayomiliki kisiwa hicho. -Kisa kingine ni cha mwaka 1896 cha mfungwa mmoja alietoroka kutoka kwenye gereza lililopo katika kisiwa cha ANDAMAN ambae alikimbilia kwenye kisiwa hiki,siku chache baadae mwili wake ulikutwa pembezoni mwa bahari ukiwa na alama za kupigwa na mishale na huku koo lake likiwa limekatwa. Sijui kama wakazi wa kisiwa hiki wanajua kama kuna nchi inaitwa TANZANIA,shughuli wanazofanya kuendesha maisha yao ni uwindaji,uvuvi pia wanakula matunda na asali. Huwezi kuamini kuwa maeneo haya hakuna SIMU wala INTANETI. #02.ROOM 39 (CHUMBA NAMBA 39) Kwa majina mengine huitwa BUREAU 39 au DIVISION 39 au OFFICE 39,jengo hili lipo nchini KOREA KASKAZINI na linakaliwa na tasisi ya siri ya chama cha KOREA KASKAZINI (KOREAN WORKERS' PARTY) lengo lake ni kuchangia uongezekaji wa fedha za kigeni nchini KOREA KASKAZINI,ROOM 39 inaaminika kuendesha shughuli zote zinazohusiana na uingizwaji wa fedha za kigeni nchini humo na mjini PYONGYANG ikiwa pamoja na mahoteli yaliyopo PYONGYANG na uchimbaji wa madini ya ZINC na DHAHABU. Taasisi ya ROOM 39 inaaminika kumiliki baadhi ya makampuni mafano ZOKWANG TRADING na benki ya TAESONG BANK. Tasisi hii iliundwa na KIM IL-SUNG miaka ya 1970,kwa mwaka tasisi hii ya siri inasadikika inaiingizia nchi ya KOREA KASKAZINI mapato ya kati ya milioni $500 (dola za kimarekani) mpaka billioni $1 (dola za kimarekani). Vyanzo kadhaa vya nchi za magharibi vinaeleza kuwa taasisi hii inaingiza fedha hizo kwa kuendesha shughuli za kihalifu,mfano ripoti moja ya WASHINGTON POST ilieleza ubadhilifu uliotokea katika sekta ya BIMA duniani na kudai kuwa ulifanywa na serikali ya KOREA KASKAZINI kwa kutumia taasisi yake ya KOREA NATIONAL INSURANCE CORP (KNIC). Jengo hili la ROOM 39 hakika huruhusiwi kuingia ndani yake,kutokana na sababu za kiusalama hivyo hutaweza kuwemo ndani yake. #03.AREA 51 Hili ni eneo linalomilkiwa na JESHI LA ANGA LA MAREKANI lipo NEVADA. Taarifa nyingi na za uhakika kuhusu mambo yanayofanyika katika eneo hili ni 'highly classified' ila tu kuna nadharia kadhaa zinazoeleza mambo yanayofanyika katika eneo hili baadhi ya nadharia hizo ni; >Inaaminika kuwa AREA 51 ni mahali wanapofanya tafiti za teknolojia za viumbe wa sayari nyingine (ALLIEN) ambapo jeshi la anga la marekani limehifadhi masalia ya ndege za viumbe hao zilizopata ajali,na pia wanatengeneza ndege kutokana na teknolojia ya ALLIENS. >Inaaminika wanaendesha program/mpango wa kutengeneza silaha za kujilinda za awali yaani STRATEGIC DEFENSE INITIATIVE (SDI) na program za silaha nyingine. >Inaaminika kuwa ndani ya eneo hilo wanatengeneza teknolojia itakayoweza ku'control' hali ya hewa. >Inaaminika kuwa wanafanya program ya kutengeneza teknolojia ya TIME TRAVEL (uwezo wa kumwezesha mtu kurudi wakati uliopita au kwenda wakati ujao,mfano mtu atoke hivi sasa na asafiri kwenda miaka 50 ijayo) na TELEPORTATION (yaani mtu aweze kusafiri kutoka eneo moja hadi jingine pasina usafiri wowote ule na kwa haraka.nadharia hii imeelezwa kwenye filamu/movie/series ya TOMORROW PEOPLE kama ushawahi kuiona basi hivyo ndivyo watu wanavyo teleport). >Inaaminika kuwa pengine wanaendesha shughuli zitakazochangia kuwepo kwa serikali moja duniani (ONE WORLD GOVERMENT) Moja ya mambo yanayoweza kutumika kama ushahidi juu ya nadharia inayohusisha uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine yaani ALLIENS ndani ya AREA 51 ni baadhi ya watu waliowahi kukiri kuwa wafanyakazi wa AREA 51 **Mmoja wao ni bwana BOB LAZAR ambae mwaka 1989 alisema kuwa alifanya kazi ndani ya AREA 51 SECTOR FOUR (S-4) ambapo eneo hili lipo chini ya ardhi,bwana BOB LAZAR alisema kuwa alipokuwa ndani ya SECTOR FOUR alifanya kazi na ndege ya anga la juu(spacecraft) ya ALLIENS ambayo inashikiliwa na serikali ya MAREKANI ndani ya AREA 51. **Documentary moja iitwayo DREAMLAND iliotoka mwaka 1996 ilioongozwa na BRUCE BURGESS ilijumuisha interview aliofanya na mzee wa umri wa miaka 71 ambae ni injinia (mechanical engeneer) aliekiri kuwa alishawahi kuwa muajiriwa aliefanya kazi ndani ya AREA 51 katika miaka ya 1950,alikiri kuwa alifanya kazi kwenye kitu chenye uwezo wa kupaaa angani kilicho mfano wa sahani kiitwacho "FLYING DISK SIMULATOR" alisema kitu hicho mfano wa sahani kubwa kilitokana na ndege ya anga za juu iliopoata ajali na kilitumika kuwafundishia marubani wa jeshi la MAREKANI,pia alikiri kuwa alifanya kazi na kiumbe kutoka sayari nyingine ambae aliitwa "J-ROD". **Mwaka 2004 DAN BURISCH alikiri kufanya kazi ndani ya AREA 51 pamoja na ALLIEN aliefahamika kwa jina la "J-ROD" Kuingia katika eneo hili kumezuiwa vikali, na wanajeshi wanaolinda eneo hilo wamepewa mamlaka ya kumfyatulia risasi yeyote atakaeingia ambae hana ruhusa ya kuwepo eneo hilo,Hivyo basi katika eneo hili hautaweza kufika labda uwe mfanyikazi wa humu. (KWA WALE WANAOCHEZA SANA VIDEO GAMES AU WALE WALIOWAHI KUCHEZA "GTA SAN ANDREAS" WANAJUA UKIFIKA SEHEMU MOJA INAYOITWA AREA 51 UNASHAMBULIWA KULIKO KAWAIDA) #04.ILHA DE QUEIMEDA/SNAKE ISLAND (KISIWA NA NYOKA) Kisiwa cha ILHA DE QUEIMEDA kipo umbali wa maili kadhaa kutoka katika pwani ya mji wa SAO PAOLO nchini BRAZIL. Kisiwa hiki ni makazi ya nyoka hatari zaidi duniani tena wenye sumu ilio kali kabisa,idadi ya kukadiria ya nyoka waliopo kisiwani humo ni takriban nyoka 4000,nyoka aina ya 'lancehead vipers' wapatikanao kisiwani humo wanakua kwa wastani wa urefu wa SENTIMITA 70 (70 CM) pia wanaweza kufikia hata urefu wa SENTIMITA 118 mpaka 120,vifo vingi vinavyotokea amerika ya kusini miongoni mwao husababishwa na nyoka hawa. > Chakula chao cha kawaida mara nyingi ni ndege na imeripotiwa kuwa huwa wanakula mijusi na kula hata nyoka wengine. > Nyoka wa aina hii akimng'ata/akimgonga binadamu mara moja basi binadamu anakuwa kwenye hatari ya kufa kwa aslimia 7 (7%) yaani anakuwa na uwezekano wa kufa kwa asilimia 7. Moja ya kisa kilichoripitiwa kutokea kisiwani huko ni cha mvuvi mmoja aliekuwa akivua samaki na mara boti yake ikapata tatizo la injini akaamua kuweka makazi kwa muda katika kisiwa hicho pasina kujua hatari iliopo ndani yake, baada ya boti kuonekana ndipo alipopatikana akiwa amekufa huku akiwa na alama za kung'atwa na nyoka. Kwa miaka 15 iliopita idadi ya nyoka kisiwani humo imepungua kwa asilimia 15 (15%) kutokana na magonjwa na kupungua kwa uoto ndani ya kisiwa,lakini hii leo bado maelfu ya nyoka bado ndio makazi yao ndani ya kisiwa.Serikali ya BRAZIL imezuia utembeleaji na shughuli za kitalii ndani ya kisiwa hicho isipokuwa kwa wanasayansi na wanajeshi wa majini wa BRAZIL.·550 Views -
SAKATA LA JASUSI SERGEI SKRIPAL NA MWANAE NI UTEKELEZAJI WA OPERATION SARLISBURY ILIYOTEKELEZWA NA RUSSIA, KIMSIMGI NI VITA KATI YA URUSI NA NATO KUJIBU MAPIGO YA UCHAGUZI WA MAREKANI MWAKA 2016.
Na mhariri wako Comred Mbwana Allyamtu
Sakata la jaribio la mauaji ya jasusi au mpelelezi, ndumilakuwili wa Urusi na Uingereza, Sergei Skripal na binti yake Yulia katika kitongoji cha Salisbury jijini London nchini Uingereza linachukua sura mpya kila siku.
Wawili hao walipatikana wakiwa hawajitambui katika eneo la maduka liitwalo Maltings mwanzoni mwa Machi.
Taarifa kutoka kwa polisi wa Uingereza ambao hushughulikia matukio ya kigaidi wanaamini kuwa jasusi huyo na mwanaye, walivuta hewa iliyokuwa na kemikali yenye sumu iitwayo novichok.
Kemikali hii hushambulia mfumo wa mfahamu na inasemekana ilitengenezwa katika maabara moja huko Urusi na ilitumika wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1935 hadi 1945. Kemikali hiyo iliachwa mlangoni mwa nyumba ambayo amekuwa akiishi jasusi huyo na mwanaye katika eneo hilo la Salisbury.
Mashirika makubwa ya habari nchini Uingereza yameipa umuhimu habari hii ambapo Machi 30, yalitangaza kuwa binti wa Skripal, Yulia hakuwa katika hali tete kiafya.
Kufuatia tukio hilo Serikali ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu, Theresa May iliitupia lawama Serikali ya Urusi kwa kuhusika na uovu huo na ili kuonyesha kuwa imechukia iliamua kuwafukuza wanadiplomasia wa Urusi wapatao 23.
Urusi imekanusha kuhusika na uovu huo na ikaahidi kuwa kwa kila hukumu itakayotolewa nayo itajibu kwa ukubwa huohuo au zaidi ya hapo, na ikajibu kwa kutoa hukumu ya kisasi kwa kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa Uingereza na kufunga kituo cha Lugha na Utamaduni cha Uingereza, British Council na imeitaka Uingereza kuwaondoa wanadiplomasia wake wengine wapatao 50 katika kipindi cha mwezi mmoja.
Ili kuonyesha mshikamano na Uingereza nchi nyingine za Ulaya Magharibi na Australia zimewafukuza wanadiplomasia wa Urusi wanaofikia 150 huku Marekani ikiongoza kwa kufunga ubalozi mdogo wa Urusi katika Jiji la Seattle na kuwafukuza wanadiplomasia 60 kutoka nchi hiyo.
Urusi nayo haikubaki kimya, Waziri wa Mambo ya Nje, Sergei Lavrov ametangaza kuwafukuza wanadiplomasia 60 wa Marekani na vilevile kufunga ubalozi wa Marekani katika mji wa Saint Petersburg na kuahidi kuwa kila nchi iliyohusika na kufukuza wanadiplomasia wake itaadhibiwa vilivyo.
Kwa ujumla nchi karibu 23 na Umoja wa Kujihami wa nchi za Ulaya Magharibi (Nato) kote ulimwenguni zimeonyesha kukerwa na vitendo vya Urusi kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi tofautitofauti, kama vile kuvamia Ukraine na kulichukua jimbo la Krimea, kuitungua ndege ya Malaysia na kuingilia uchaguzi Mkuu wa Marekani mwaka 2016.
Siyo mara ya kwanza nchi hizi kuingia katika mzozo wa kidiplomasia kwani mwaka 1986 Ronald Reagan aliyekuwa Rais wa Marekani, aliamuru wanadiplomasia 80 wa Shirikisho la Urusi (USSR) wafukuzwe nchini humo na mwaka 2016, Rais Barak Obama aliwatimua wanadiplomasia 35 kutoka nchi hiyo kwa tuhuma za kudukua kompyuta za chama cha Democratic kwa nia ya kumhujumu mgombea wake wa Rais, Hillary Clinton.
Mwaka 2006 Skripal alihukumiwa kifungo cha miaka 13, nchini Urusi katika kesi ambayo iliendeshwa katika mahakama ya siri, alipewa haki ya ukimbizi na ukazi nchini Uingereza mwaka 2010 baada ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa katika mtindo ambao ulitumika enzi za vita baridi kuhusiana na shughuli za kijasusi.
Kulingana na nyaraka za kumbukumbu ambazo vyombo vya habari vya Uingereza vilizipata kutoka makumbusho ya taifa ya Uingereza mwaka 2015, zinaonyesha kuwa Serikali ya Urusi imekuwa ikiichunguza Uingereza muda mrefu lakini kisa kinachojulikana sana ni kile kilichopewa jina la Cambridge Four, ambapo kitengo cha ujasusi cha shirikisho la Urusi (USSR), KGB, katika miaka ya 1930 kabla ya vita vya pili vya dunia kiligundua kuwa Serikali ya Uingereza ilikuwa ikitumia Chuo Kikuu cha Cambridge kama sehemu maalumu ya kuwapata majasusi wachanga wakiwa masomoni. KGB waliwafuata wanafunzi wanne wa wakati huo ambao ni Anthony Blunt, Donald Duart Maclean, Kim Phillby na Guy Burgess.
Wasomi hao ambao kwa bahati nzuri kwao KGB walipomaliza masomo yao waliingia kufanya kazi katika Mashirika ya Ujasusi ya Uingereza, MI5 na MI6, na wakawa ni majasusi ndumilakuwili.
Walifanya kazi yao hadi mwaka 1964 ambapo Anthony Blunt ambaye alikuwa akifanya kazi katika Shirika la Ujasusi wa ndani, MI5, alikiri kuwa jasusi ndumilakuwili ili asishtakiwe na habari hiyo ilikuja kutolewa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza wakati huo, Magreth Thatcher alipokuwa akihutubia Bunge mwaka 1979. Donald Duart Maclean, Kim Phillby na Guy Burgess wao walitimkia Urusi na Serikali ya Uingereza ikawa imekubali yaiishe.
Kwa hiyo Urusi imekuwa hailali usingizi wakati wote wa miaka ya vita baridi kati ya nchi za Ulaya Mashariki na Magharibi miaka ya 1945 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1990, imekuwa ikiingiza wapelelezi wake maeneo mbalimbali katika nchi hizo ili kupata habari nyeti kuhusiana na masuala mbalimbali katika nyanja za uchumi, biashara hasa ya silaha na teknolojia yake na hivi karibuni kuingilia mambo ya siasa za uchaguzi huko Marekani.
Ukiangalia kisa cha safari hii hakina tofauti sana kile alichofanyiwa Jasusi mwingine wa Urusi Novemba 2006, Alexander Litvinenko ambaye aliwekewa kemikali iitwayo Polonium 210 katika kikombe cha chai katika mgahawa mmoja jijini London.
Litvinenko alitoroka Urusi baada ya kutofautiana na wenzake katika shirika la kijasusi la nchi hiyo FSB, ambapo aliutuhumu uongozi wa juu wa nchi hiyo kuigeuza nchi hiyo kuwa Taifa la kimafia. akiwa nchini Uingereza, alifanya kazi kama mwandishi wa habari, vitabu na mshauri wa mambo ya usalama.
Akiwa Uingereza aliandika vitabu viwili, Blowing up Russia: Terror from within na Lubyanka Criminal Group ambapo aliituhumu idara hiyo ya kijasusi kwa vitendo vya mauaji na matumizi ya mabomu na mauaji ya mwandishi wa habari, Anna Politkovskaya kwa amri kutoka kwa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
Litvinenko akiwa mahututi kitandani hospitalini jijini London aliwatamkia ndugu zake kuwa alikuwa na uhakika kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin ndiye aliyeamuru auawe.
Serikali ya Uingereza ya wakati huo chini ya Waziri Mkuu, Tony Blair ilifanya upelelezi na kugundua kuwa jasusi huyo siku chache kabla ya kupata mkasa huo alikuwa ametembelewa na jasusi mwingine mstaafu wa FSB ambaye kwa sasa ni mfanyabiashara, Andrey Lugovoy.
Serikali ya Uingereza iliitaka Urusi imsalimishe kwake ili afanyiwe mahojiano lakini Urusi ilikataa kwa maelezo kuwa Katiba ya nchi hiyo inakataza raia wake kupelekwa nchi nyingine kufanyiwa mashtaka ya jinai. Uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulififia kwa muda.
Serikali ya Uingereza kwa matukio yote haya imekuwa ikiituhumu serikali ya Urusi kwa kile inachoeleza kuwa kemikali hizo haziwezi kuwa mikononi mwa mtu binafsi bila kuwa na kibari cha mamlaka za juu za nchi hiyo.
Wakati Kim Phillby alipokimbilia Urusi baada ya kushtukia kuwa wenzake walikuwa wanaelekea kumgundua kuwa ni ndumilakuwili, Ofisa mmoja wa ngazi ya juu ndani ya KGB wakati huo alimsifu kuwa alikuwa jasusi mwenye thamani kubwa wa karne iliyopita.
Urusi imekuwa ikitoa ulinzi wa kiwango cha juu kwa majasusi ndumilakuwili ambao wamefanikiwa kuingia nchini humo baada ya mambo kwenda kombo huko kwao.
Marekani nayo haikuwahi kupona kwa taasisi zake za kijasusi kuingiliwa na wenzao wa Urusi. Mwaka 2001 Shirika la Ujasusi wa Ndani, FBI, lilimkamata Robert Hanssen ambaye alikuwa mtumishi wake kwa kupeleka taarifa za siri za nchi hiyo kwa Urusi tangu mwaka 1979 kwa kulipwa fedha na almasi.
Kwa sehemu kubwa shughuli za ujasusi zimekuwa zikifanywa kwa njia ya teknolojia (Artificial Intelligence) ambapo mitambo ya kompyuta na setelaiti na kamera zenye nguvu za kunasa picha hutumika na pale ambapo haiwezekani, inabidi kutumia binadamu (human intelligence) ili kupata habari ambazo ni siri na mataifa karibu yote duniani yameuweka ujasusi kama ni kosa la uhaini kwa yeyote atakayejihusisha nao.SAKATA LA JASUSI SERGEI SKRIPAL NA MWANAE NI UTEKELEZAJI WA OPERATION SARLISBURY ILIYOTEKELEZWA NA RUSSIA, KIMSIMGI NI VITA KATI YA URUSI NA NATO KUJIBU MAPIGO YA UCHAGUZI WA MAREKANI MWAKA 2016. Na mhariri wako Comred Mbwana Allyamtu Sakata la jaribio la mauaji ya jasusi au mpelelezi, ndumilakuwili wa Urusi na Uingereza, Sergei Skripal na binti yake Yulia katika kitongoji cha Salisbury jijini London nchini Uingereza linachukua sura mpya kila siku. Wawili hao walipatikana wakiwa hawajitambui katika eneo la maduka liitwalo Maltings mwanzoni mwa Machi. Taarifa kutoka kwa polisi wa Uingereza ambao hushughulikia matukio ya kigaidi wanaamini kuwa jasusi huyo na mwanaye, walivuta hewa iliyokuwa na kemikali yenye sumu iitwayo novichok. Kemikali hii hushambulia mfumo wa mfahamu na inasemekana ilitengenezwa katika maabara moja huko Urusi na ilitumika wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1935 hadi 1945. Kemikali hiyo iliachwa mlangoni mwa nyumba ambayo amekuwa akiishi jasusi huyo na mwanaye katika eneo hilo la Salisbury. Mashirika makubwa ya habari nchini Uingereza yameipa umuhimu habari hii ambapo Machi 30, yalitangaza kuwa binti wa Skripal, Yulia hakuwa katika hali tete kiafya. Kufuatia tukio hilo Serikali ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu, Theresa May iliitupia lawama Serikali ya Urusi kwa kuhusika na uovu huo na ili kuonyesha kuwa imechukia iliamua kuwafukuza wanadiplomasia wa Urusi wapatao 23. Urusi imekanusha kuhusika na uovu huo na ikaahidi kuwa kwa kila hukumu itakayotolewa nayo itajibu kwa ukubwa huohuo au zaidi ya hapo, na ikajibu kwa kutoa hukumu ya kisasi kwa kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa Uingereza na kufunga kituo cha Lugha na Utamaduni cha Uingereza, British Council na imeitaka Uingereza kuwaondoa wanadiplomasia wake wengine wapatao 50 katika kipindi cha mwezi mmoja. Ili kuonyesha mshikamano na Uingereza nchi nyingine za Ulaya Magharibi na Australia zimewafukuza wanadiplomasia wa Urusi wanaofikia 150 huku Marekani ikiongoza kwa kufunga ubalozi mdogo wa Urusi katika Jiji la Seattle na kuwafukuza wanadiplomasia 60 kutoka nchi hiyo. Urusi nayo haikubaki kimya, Waziri wa Mambo ya Nje, Sergei Lavrov ametangaza kuwafukuza wanadiplomasia 60 wa Marekani na vilevile kufunga ubalozi wa Marekani katika mji wa Saint Petersburg na kuahidi kuwa kila nchi iliyohusika na kufukuza wanadiplomasia wake itaadhibiwa vilivyo. Kwa ujumla nchi karibu 23 na Umoja wa Kujihami wa nchi za Ulaya Magharibi (Nato) kote ulimwenguni zimeonyesha kukerwa na vitendo vya Urusi kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi tofautitofauti, kama vile kuvamia Ukraine na kulichukua jimbo la Krimea, kuitungua ndege ya Malaysia na kuingilia uchaguzi Mkuu wa Marekani mwaka 2016. Siyo mara ya kwanza nchi hizi kuingia katika mzozo wa kidiplomasia kwani mwaka 1986 Ronald Reagan aliyekuwa Rais wa Marekani, aliamuru wanadiplomasia 80 wa Shirikisho la Urusi (USSR) wafukuzwe nchini humo na mwaka 2016, Rais Barak Obama aliwatimua wanadiplomasia 35 kutoka nchi hiyo kwa tuhuma za kudukua kompyuta za chama cha Democratic kwa nia ya kumhujumu mgombea wake wa Rais, Hillary Clinton. Mwaka 2006 Skripal alihukumiwa kifungo cha miaka 13, nchini Urusi katika kesi ambayo iliendeshwa katika mahakama ya siri, alipewa haki ya ukimbizi na ukazi nchini Uingereza mwaka 2010 baada ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa katika mtindo ambao ulitumika enzi za vita baridi kuhusiana na shughuli za kijasusi. Kulingana na nyaraka za kumbukumbu ambazo vyombo vya habari vya Uingereza vilizipata kutoka makumbusho ya taifa ya Uingereza mwaka 2015, zinaonyesha kuwa Serikali ya Urusi imekuwa ikiichunguza Uingereza muda mrefu lakini kisa kinachojulikana sana ni kile kilichopewa jina la Cambridge Four, ambapo kitengo cha ujasusi cha shirikisho la Urusi (USSR), KGB, katika miaka ya 1930 kabla ya vita vya pili vya dunia kiligundua kuwa Serikali ya Uingereza ilikuwa ikitumia Chuo Kikuu cha Cambridge kama sehemu maalumu ya kuwapata majasusi wachanga wakiwa masomoni. KGB waliwafuata wanafunzi wanne wa wakati huo ambao ni Anthony Blunt, Donald Duart Maclean, Kim Phillby na Guy Burgess. Wasomi hao ambao kwa bahati nzuri kwao KGB walipomaliza masomo yao waliingia kufanya kazi katika Mashirika ya Ujasusi ya Uingereza, MI5 na MI6, na wakawa ni majasusi ndumilakuwili. Walifanya kazi yao hadi mwaka 1964 ambapo Anthony Blunt ambaye alikuwa akifanya kazi katika Shirika la Ujasusi wa ndani, MI5, alikiri kuwa jasusi ndumilakuwili ili asishtakiwe na habari hiyo ilikuja kutolewa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza wakati huo, Magreth Thatcher alipokuwa akihutubia Bunge mwaka 1979. Donald Duart Maclean, Kim Phillby na Guy Burgess wao walitimkia Urusi na Serikali ya Uingereza ikawa imekubali yaiishe. Kwa hiyo Urusi imekuwa hailali usingizi wakati wote wa miaka ya vita baridi kati ya nchi za Ulaya Mashariki na Magharibi miaka ya 1945 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1990, imekuwa ikiingiza wapelelezi wake maeneo mbalimbali katika nchi hizo ili kupata habari nyeti kuhusiana na masuala mbalimbali katika nyanja za uchumi, biashara hasa ya silaha na teknolojia yake na hivi karibuni kuingilia mambo ya siasa za uchaguzi huko Marekani. Ukiangalia kisa cha safari hii hakina tofauti sana kile alichofanyiwa Jasusi mwingine wa Urusi Novemba 2006, Alexander Litvinenko ambaye aliwekewa kemikali iitwayo Polonium 210 katika kikombe cha chai katika mgahawa mmoja jijini London. Litvinenko alitoroka Urusi baada ya kutofautiana na wenzake katika shirika la kijasusi la nchi hiyo FSB, ambapo aliutuhumu uongozi wa juu wa nchi hiyo kuigeuza nchi hiyo kuwa Taifa la kimafia. akiwa nchini Uingereza, alifanya kazi kama mwandishi wa habari, vitabu na mshauri wa mambo ya usalama. Akiwa Uingereza aliandika vitabu viwili, Blowing up Russia: Terror from within na Lubyanka Criminal Group ambapo aliituhumu idara hiyo ya kijasusi kwa vitendo vya mauaji na matumizi ya mabomu na mauaji ya mwandishi wa habari, Anna Politkovskaya kwa amri kutoka kwa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin. Litvinenko akiwa mahututi kitandani hospitalini jijini London aliwatamkia ndugu zake kuwa alikuwa na uhakika kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin ndiye aliyeamuru auawe. Serikali ya Uingereza ya wakati huo chini ya Waziri Mkuu, Tony Blair ilifanya upelelezi na kugundua kuwa jasusi huyo siku chache kabla ya kupata mkasa huo alikuwa ametembelewa na jasusi mwingine mstaafu wa FSB ambaye kwa sasa ni mfanyabiashara, Andrey Lugovoy. Serikali ya Uingereza iliitaka Urusi imsalimishe kwake ili afanyiwe mahojiano lakini Urusi ilikataa kwa maelezo kuwa Katiba ya nchi hiyo inakataza raia wake kupelekwa nchi nyingine kufanyiwa mashtaka ya jinai. Uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulififia kwa muda. Serikali ya Uingereza kwa matukio yote haya imekuwa ikiituhumu serikali ya Urusi kwa kile inachoeleza kuwa kemikali hizo haziwezi kuwa mikononi mwa mtu binafsi bila kuwa na kibari cha mamlaka za juu za nchi hiyo. Wakati Kim Phillby alipokimbilia Urusi baada ya kushtukia kuwa wenzake walikuwa wanaelekea kumgundua kuwa ni ndumilakuwili, Ofisa mmoja wa ngazi ya juu ndani ya KGB wakati huo alimsifu kuwa alikuwa jasusi mwenye thamani kubwa wa karne iliyopita. Urusi imekuwa ikitoa ulinzi wa kiwango cha juu kwa majasusi ndumilakuwili ambao wamefanikiwa kuingia nchini humo baada ya mambo kwenda kombo huko kwao. Marekani nayo haikuwahi kupona kwa taasisi zake za kijasusi kuingiliwa na wenzao wa Urusi. Mwaka 2001 Shirika la Ujasusi wa Ndani, FBI, lilimkamata Robert Hanssen ambaye alikuwa mtumishi wake kwa kupeleka taarifa za siri za nchi hiyo kwa Urusi tangu mwaka 1979 kwa kulipwa fedha na almasi. Kwa sehemu kubwa shughuli za ujasusi zimekuwa zikifanywa kwa njia ya teknolojia (Artificial Intelligence) ambapo mitambo ya kompyuta na setelaiti na kamera zenye nguvu za kunasa picha hutumika na pale ambapo haiwezekani, inabidi kutumia binadamu (human intelligence) ili kupata habari ambazo ni siri na mataifa karibu yote duniani yameuweka ujasusi kama ni kosa la uhaini kwa yeyote atakayejihusisha nao.·590 Views