Passa a Pro

  • AZAM FC; Hivi nyie azam alo wadanganya kuwa kinacho sababisha GUSA ACHIA TWENDE KWAO ni PACOME ZOUZOUA ninani!!!?
    Yaaani mmeona bora mkatafute walau ata zuzu(zouzou) yaweza kufaana poleni sana acheni kuigaiga msiyo yaweza this is DAR YOUNG AFRICANS .
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    AZAM FC; Hivi nyie azam alo wadanganya kuwa kinacho sababisha GUSA ACHIA TWENDE KWAO ni PACOME ZOUZOUA ninani!!!?🤣 Yaaani mmeona bora mkatafute walau ata zuzu(zouzou) yaweza kufaana🤣🤣 poleni sana acheni kuigaiga msiyo yaweza this is DAR YOUNG AFRICANS 🖐️💚💛💚💛. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Wow
    8
    1 Commenti ·336 Views
  • GUSA ACHIA TWENDE KWA MWAARABU: Congratulations yanga, mimi binafsi nasema Alger atakufa goli 3:1 Kwa mkapa Kwa bori nililo shuhudia katika mchezo wa ugenini Al hilal Yanga, aisee!!!! yanga BINGWA CAF CHAMPIONS 2025.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    #shortsvideos
    🇹🇿GUSA ACHIA TWENDE KWA MWAARABU🤝: Congratulations yanga, mimi binafsi nasema Alger atakufa goli 3:1 Kwa mkapa Kwa bori nililo shuhudia katika mchezo wa ugenini Al hilal 🆚 Yanga, aisee!!!! yanga BINGWA CAF CHAMPIONS 2025. #sokachampions #soccersportstz #cafchampionsleague2024 #milardayo #shortsvideos
    Like
    Love
    7
    1 Commenti ·390 Views
  • Iko tofauti ya kusikiliza na kusikia. Si kila mwenye uwezo wa kusikia anaweza kusikiliza. Kusikiliza ni kipawa na pia stadi (skill) ambayo mtu hujifunza
    Iko tofauti ya kusikiliza na kusikia. Si kila mwenye uwezo wa kusikia anaweza kusikiliza. Kusikiliza ni kipawa na pia stadi (skill) ambayo mtu hujifunza
    Like
    Love
    2
    1 Commenti ·51 Views
  • Tumbo lenye njaa, mifuko mitupu na moyo ulioumizwa vinaweza kukupa funzo bora la maisha.
    Tumbo lenye njaa, mifuko mitupu na moyo ulioumizwa vinaweza kukupa funzo bora la maisha.
    Like
    3
    293 Commenti ·35 Views
  • Inaonekana mamlaka ya Korea Kaskazini imetoa wito kwa wanajeshi wake kujiua kwa kujilipua ili kukwepa kukamatwa
    https://bbc.in/4fXe6MG
    Inaonekana mamlaka ya Korea Kaskazini imetoa wito kwa wanajeshi wake kujiua kwa kujilipua ili kukwepa kukamatwa https://bbc.in/4fXe6MG
    BBC.IN
    Marekani: Idadi ya waliofariki katika moto wa nyika Los Angeles yaongezeka huku upepo mkali ukitarajiwa - BBC News Swahili
    Upepo mkavu wa Santa Ana unatarajiwa kushika kasi usiku kucha na kuendelea kusababisha maafa hadi Jumatano.
    Like
    Sad
    3
    ·43 Views
  • Love
    1
    ·23 Views
  • Dongo la Ahmed Ally
    Dongo la Ahmed Ally 😂
    Like
    1
    1 Commenti ·24 Views
  • Netanyahu atuma ujumbe wa ngazi ya juu Qatar "kuendeleza" mazungumzo ya kuwarudisha mateka.
    Netanyahu atuma ujumbe wa ngazi ya juu Qatar "kuendeleza" mazungumzo ya kuwarudisha mateka.
    Like
    2
    ·45 Views
  • China na Ethiopia zaadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi
    China na Ethiopia zimeadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi Jumapili mjini Addis Ababa.
    Tukio hilo kubwa lililoandaliwa na Ubalozi wa China na Chama cha Wafanyabiashara Wachina nchini Ethiopia, likiambatana na sherehe za sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina, lilikuwa na shughuli mbalimbali, ikiwemo mnada wa hisani, maonesho ya utamaduni wa China, vyakula vya jadi vya kichina na huduma bure za matibabu.
    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina itaangukia Januari 29 mwaka huu, ikifungua Mwaka wa Nyoka, kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China.
    Akiongea katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa Wachina na wenyeji, Balozi wa China nchini Ethiopia Bw. Chen Hai amesema, China itatumia maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano kama mwanzo mpya, kutelekeza matokeo ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing na makubaliano yaliyofikiwa na wakuu wa nchi hizo mbili, na kufanya juhudi pamoja na marafiki wa Ethiopia kuzijenga nchi hizo mbili kuwa za kisasa.
    Akikumbusha kuwa China na Ethiopia zimeinua uhusiano wao hadi kufikia ngazi ya Uhusiano wa Wenzi wa Kimkakati wa Pande Zote tangu mwezi Oktoba mwaka jana, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Mesganu Arga amesisitiza urafiki mkubwa katika China na Ethiopia, na kusema uhusiano huo wa karibu ni ushahidi wa kile kinachoweza kufikiwa wakati mataifa haya mawili yanaheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja.
    China na Ethiopia zaadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi China na Ethiopia zimeadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kibalozi Jumapili mjini Addis Ababa. Tukio hilo kubwa lililoandaliwa na Ubalozi wa China na Chama cha Wafanyabiashara Wachina nchini Ethiopia, likiambatana na sherehe za sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina, lilikuwa na shughuli mbalimbali, ikiwemo mnada wa hisani, maonesho ya utamaduni wa China, vyakula vya jadi vya kichina na huduma bure za matibabu. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina itaangukia Januari 29 mwaka huu, ikifungua Mwaka wa Nyoka, kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China. Akiongea katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa Wachina na wenyeji, Balozi wa China nchini Ethiopia Bw. Chen Hai amesema, China itatumia maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano kama mwanzo mpya, kutelekeza matokeo ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing na makubaliano yaliyofikiwa na wakuu wa nchi hizo mbili, na kufanya juhudi pamoja na marafiki wa Ethiopia kuzijenga nchi hizo mbili kuwa za kisasa. Akikumbusha kuwa China na Ethiopia zimeinua uhusiano wao hadi kufikia ngazi ya Uhusiano wa Wenzi wa Kimkakati wa Pande Zote tangu mwezi Oktoba mwaka jana, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Mesganu Arga amesisitiza urafiki mkubwa katika China na Ethiopia, na kusema uhusiano huo wa karibu ni ushahidi wa kile kinachoweza kufikiwa wakati mataifa haya mawili yanaheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja.
    Like
    Love
    3
    ·154 Views
  • Watu 20 wauawa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad
    Watu 20 wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad lililotokea jumatano jioni.
    Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini humo imesema, shambulio hilo lilitokea majira ya saa 1:45 jioni kwa saa za huko ambapo kundi la watu 24 waliokuwa na silaha walidai kuharibikiwa na gari na kuwashambulia walinzi katika mlango mkuu wa Ikulu.
    Wakati wa shambulio hilo, washambulizi hao waliwaua askari wawili na kujeruhi vibaya askari wengine watano huku wakijaribu kuingia kwa nguvu ndani ya Ikulu. Hata hivyo vikosi vya usalama vilijibu shambulio hilo haraka na kuwaua washambuliaji 18, huku washambuliaji wengine 6 waliojeruhiwa walikamatwa na kupelekwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
    Watu 20 wauawa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad Watu 20 wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya ikulu ya Chad lililotokea jumatano jioni. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini humo imesema, shambulio hilo lilitokea majira ya saa 1:45 jioni kwa saa za huko ambapo kundi la watu 24 waliokuwa na silaha walidai kuharibikiwa na gari na kuwashambulia walinzi katika mlango mkuu wa Ikulu. Wakati wa shambulio hilo, washambulizi hao waliwaua askari wawili na kujeruhi vibaya askari wengine watano huku wakijaribu kuingia kwa nguvu ndani ya Ikulu. Hata hivyo vikosi vya usalama vilijibu shambulio hilo haraka na kuwaua washambuliaji 18, huku washambuliaji wengine 6 waliojeruhiwa walikamatwa na kupelekwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
    Like
    3
    ·105 Views