0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·176 Visualizações
-
-
-
-
#Hamieni LEON bet hamtaki # 😄😄😄 #Photographchallenge#1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·431 Visualizações
-
-
-
-
"Mimi sasa hivi nimetimiza miaka 35, suala la kupata mtoto nimelikatia tamaa kwasababu nimesubiri mtoto kwa hamu nikiwa binti nimekosa sasa itakuwa vipi kwenye umri huu wa kuelekea uzeeni? Nimejikatia tamaa hata Mungu akinipa mtoto sasa hivi nitampokea lakini aaah!! sasa nitamlea vipi mtoto nitakayempata katika umri huu jamani"
"Mungu tu alinipangia niishi hivi na silaumu kwasababu huenda ningepata mtoto ningepata shida ndio maana kaamua kuniacha hivihivi. Na huyo mtoto ningempata angependwa mpaka achanganyikiwe, lakini Alhamdulillah nashukuru kwa yote nalea watoto wa dada zangu ba ndugu zangu wengine maana hao ni wangu pia"- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
"Mimi sasa hivi nimetimiza miaka 35, suala la kupata mtoto nimelikatia tamaa kwasababu nimesubiri mtoto kwa hamu nikiwa binti nimekosa sasa itakuwa vipi kwenye umri huu wa kuelekea uzeeni? Nimejikatia tamaa hata Mungu akinipa mtoto sasa hivi nitampokea lakini aaah!! sasa nitamlea vipi mtoto nitakayempata katika umri huu jamani" "Mungu tu alinipangia niishi hivi na silaumu kwasababu huenda ningepata mtoto ningepata shida ndio maana kaamua kuniacha hivihivi. Na huyo mtoto ningempata angependwa mpaka achanganyikiwe, lakini Alhamdulillah nashukuru kwa yote nalea watoto wa dada zangu ba ndugu zangu wengine maana hao ni wangu pia"- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·312 Visualizações -
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon aliyewahi kucheza klabu ya FC Barcelona ya Hispania Samuel Eto’o (43) akiwa na Klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi, aliweka rekodi ya Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Duniani kati ya mwaka 2011 na 2013.
Eto’o alikuwa akilipwa pauni 365,000 kwa wiki ambazo ni takribani Shilingi Bilioni 1.1 za Kitanzania na alipewa Ndege binafsi (Private Jet) ambayo aliweza kusafiri kila siku kutoka Makhachkala kwenda Moscow ambapo ni umbali wa (1,910 KM) kwa mujibu wa Mkataba wake.
Samuel Eto’o hadi anaachana na Klabu hiyo, alikuwa kacheza jumla ya mechi (73), kafunga mabao (36), Pasi saidizi (assist) 16. Cha kushangaza zaidi kwa sasa Klabu hiyo haipo kabisa imefilisika na Juni 2022 ilipoteza rasmi leseni ya Klabu baada ya kupitia matatizo ya kifedha na kushindwa kucheza mchezo wowote.
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon aliyewahi kucheza klabu ya FC Barcelona ya Hispania Samuel Eto’o (43) akiwa na Klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi, aliweka rekodi ya Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Duniani kati ya mwaka 2011 na 2013. Eto’o alikuwa akilipwa pauni 365,000 kwa wiki ambazo ni takribani Shilingi Bilioni 1.1 za Kitanzania na alipewa Ndege binafsi (Private Jet) ambayo aliweza kusafiri kila siku kutoka Makhachkala kwenda Moscow ambapo ni umbali wa (1,910 KM) kwa mujibu wa Mkataba wake. Samuel Eto’o hadi anaachana na Klabu hiyo, alikuwa kacheza jumla ya mechi (73), kafunga mabao (36), Pasi saidizi (assist) 16. Cha kushangaza zaidi kwa sasa Klabu hiyo haipo kabisa imefilisika na Juni 2022 ilipoteza rasmi leseni ya Klabu baada ya kupitia matatizo ya kifedha na kushindwa kucheza mchezo wowote.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·281 Visualizações