·11 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon aliyewahi kucheza klabu ya FC Barcelona ya Hispania Samuel Eto’o (43) akiwa na Klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi, aliweka rekodi ya Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Duniani kati ya mwaka 2011 na 2013.
Eto’o alikuwa akilipwa pauni 365,000 kwa wiki ambazo ni takribani Shilingi Bilioni 1.1 za Kitanzania na alipewa Ndege binafsi (Private Jet) ambayo aliweza kusafiri kila siku kutoka Makhachkala kwenda Moscow ambapo ni umbali wa (1,910 KM) kwa mujibu wa Mkataba wake.
Samuel Eto’o hadi anaachana na Klabu hiyo, alikuwa kacheza jumla ya mechi (73), kafunga mabao (36), Pasi saidizi (assist) 16. Cha kushangaza zaidi kwa sasa Klabu hiyo haipo kabisa imefilisika na Juni 2022 ilipoteza rasmi leseni ya Klabu baada ya kupitia matatizo ya kifedha na kushindwa kucheza mchezo wowote.
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon aliyewahi kucheza klabu ya FC Barcelona ya Hispania Samuel Eto’o (43) akiwa na Klabu ya Anzhi Makhachkala ya Urusi, aliweka rekodi ya Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Duniani kati ya mwaka 2011 na 2013. Eto’o alikuwa akilipwa pauni 365,000 kwa wiki ambazo ni takribani Shilingi Bilioni 1.1 za Kitanzania na alipewa Ndege binafsi (Private Jet) ambayo aliweza kusafiri kila siku kutoka Makhachkala kwenda Moscow ambapo ni umbali wa (1,910 KM) kwa mujibu wa Mkataba wake. Samuel Eto’o hadi anaachana na Klabu hiyo, alikuwa kacheza jumla ya mechi (73), kafunga mabao (36), Pasi saidizi (assist) 16. Cha kushangaza zaidi kwa sasa Klabu hiyo haipo kabisa imefilisika na Juni 2022 ilipoteza rasmi leseni ya Klabu baada ya kupitia matatizo ya kifedha na kushindwa kucheza mchezo wowote.·18 Views -