-
-
-
-
-
Moto mwingine mkubwa umezuka hapo jana na kuteketeza eneo lenya ukubwa wa takribani ekari 9400 katika eneo la Castaic, Kaskazini mwa Mji wa Los Angeles, California Nchini Marekani .
Moto huo uliopewa jina la The Hughes Fire, unatajwa kuwa mkubwa kwa theluthi mbili ukilinganishwa na Moto wa Eaton ulioiteketeza vibaya Los Angeles. Zaidi ya watu 31,000 wametakiwa kuyahama makazi yao haraka iwezekanavyo wakati vikosi vya askari wa zimamoto na uokoaji zaidi ya 4000 wakiendelea kupambana na moto huo unaowaka umbali wa takribani kilometa 80, Kaskazini mwa Los Angeles.
Tangu kuzuka kwa jangala moto Mjini Los Angeles, vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuidhibiti mioto miwili tu huku juhudi zikiendelea usiku na mchana.
Moto mwingine mkubwa umezuka hapo jana na kuteketeza eneo lenya ukubwa wa takribani ekari 9400 katika eneo la Castaic, Kaskazini mwa Mji wa Los Angeles, California Nchini Marekani 馃嚭馃嚫. Moto huo uliopewa jina la The Hughes Fire, unatajwa kuwa mkubwa kwa theluthi mbili ukilinganishwa na Moto wa Eaton ulioiteketeza vibaya Los Angeles. Zaidi ya watu 31,000 wametakiwa kuyahama makazi yao haraka iwezekanavyo wakati vikosi vya askari wa zimamoto na uokoaji zaidi ya 4000 wakiendelea kupambana na moto huo unaowaka umbali wa takribani kilometa 80, Kaskazini mwa Los Angeles. Tangu kuzuka kwa jangala moto Mjini Los Angeles, vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuidhibiti mioto miwili tu huku juhudi zikiendelea usiku na mchana. -
Rais wa Marekani , Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo:
“Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo.
Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo:
“Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani .
Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo: “Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo. Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo: “Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫. Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana. -
-
-
Moto mwingine mkubwa umezuka hapo jana na kuteketeza eneo lenya ukubwa wa takribani ekari 9400 katika eneo la Castaic, Kaskazini mwa Mji wa Los Angeles, California Nchini Marekani .
Moto huo uliopewa jina la The Hughes Fire, unatajwa kuwa mkubwa kwa theluthi mbili ukilinganishwa na Moto wa Eaton ulioiteketeza vibaya Los Angeles. Zaidi ya watu 31,000 wametakiwa kuyahama makazi yao haraka iwezekanavyo wakati vikosi vya askari wa zimamoto na uokoaji zaidi ya 4000 wakiendelea kupambana na moto huo unaowaka umbali wa takribani kilometa 80, Kaskazini mwa Los Angeles.
Tangu kuzuka kwa jangala moto Mjini Los Angeles, vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuidhibiti mioto miwili tu huku juhudi zikiendelea usiku na mchana.
Moto mwingine mkubwa umezuka hapo jana na kuteketeza eneo lenya ukubwa wa takribani ekari 9400 katika eneo la Castaic, Kaskazini mwa Mji wa Los Angeles, California Nchini Marekani 馃嚭馃嚫. Moto huo uliopewa jina la The Hughes Fire, unatajwa kuwa mkubwa kwa theluthi mbili ukilinganishwa na Moto wa Eaton ulioiteketeza vibaya Los Angeles. Zaidi ya watu 31,000 wametakiwa kuyahama makazi yao haraka iwezekanavyo wakati vikosi vya askari wa zimamoto na uokoaji zaidi ya 4000 wakiendelea kupambana na moto huo unaowaka umbali wa takribani kilometa 80, Kaskazini mwa Los Angeles. Tangu kuzuka kwa jangala moto Mjini Los Angeles, vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuidhibiti mioto miwili tu huku juhudi zikiendelea usiku na mchana.0 Commentarios 路0 Acciones 路441 Views