• Rais wa Marekani , Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo:

    “Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo.

    Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo:

    “Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani .

    Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.

    Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo: “Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo. Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo: “Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani 🇺🇸. Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·673 Views
  • "Watoto wakike leo naongea nanyie, naomba mnisikilize kwa makini tena nisikilizeni vizuri kabisa, mueshimieni Wazazi wenu na kuwasikiliza, Mzazi akikuambia usifanye acha mara moja maana Mzazi akiondoka hakuna mwingine atakae kuelekeza, leo hii mimi nimeamua kumpa Wwanangu Wema Sepetu kanga kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake, yote ni kwasababu amejisahau, nilienda kwake nikamuomba anipe kanga akanipa mtandio, hii inaonesha ni kiasi gani hajitambui, heshima ya Mwanamke ni kanga sio hayo mavazi yenu" - Mama Mzazi w Sepetu.

    "Watoto wakike leo naongea nanyie, naomba mnisikilize kwa makini tena nisikilizeni vizuri kabisa, mueshimieni Wazazi wenu na kuwasikiliza, Mzazi akikuambia usifanye acha mara moja maana Mzazi akiondoka hakuna mwingine atakae kuelekeza, leo hii mimi nimeamua kumpa Wwanangu Wema Sepetu kanga kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake, yote ni kwasababu amejisahau, nilienda kwake nikamuomba anipe kanga akanipa mtandio, hii inaonesha ni kiasi gani hajitambui, heshima ya Mwanamke ni kanga sio hayo mavazi yenu" - Mama Mzazi w Sepetu.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·331 Views
  • #bernaldpeter
    #bernaldpeter
    Like
    Love
    4
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·240 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·161 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·169 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·151 Views
  • Ni wabishi sana hawa nyuma mwiko

    #paulswai
    Ni wabishi sana hawa nyuma mwiko #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    10
    · 5 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·458 Views
  • Wachambuzi siku hizi washakuwa watabiri, sasa endeleeni kutabiri hadi mwisho wa msimu.

    #paulswai
    Wachambuzi siku hizi washakuwa watabiri, sasa endeleeni kutabiri hadi mwisho wa msimu.😆😆 #paulswai
    Like
    Love
    8
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·468 Views
  • Hi🖐 nahitaji marafik wa kubadilishana mawazo humu kama uko tayari comment imoj yoyote 2ruke
    Hi🖐 nahitaji marafik wa kubadilishana mawazo humu kama uko tayari comment imoj yoyote 2ruke🙏🙏
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·509 Views
  • 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·138 Views