• Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·112 Views
  • Chukua hii

    Toleo jipya la mtandao wa WhatsApp ya iOS toleo la 25.1.10.73 imeanza kuweka sehemu ya kuchagua miziki katika sehemu ya WhatsApp Status. Mabadiliko haya yameanza kama sehemu ya majaribio na tayari Watumiaji wa mfumo wa Android toleo la 2.25.2.5 kuna majaribio haya.

    WhatsApp bado inafanya majaribio ya kuweka mfumo wa kuweka miziki katika WhatsApp Status kama vile ilivyo katika Instagram Stories na Facebook Stories. Watumiaji wataweza kutafuta miziki na kuiweka katika sehemu ya Status.

    Chukua hii Toleo jipya la mtandao wa WhatsApp ya iOS toleo la 25.1.10.73 imeanza kuweka sehemu ya kuchagua miziki katika sehemu ya WhatsApp Status. Mabadiliko haya yameanza kama sehemu ya majaribio na tayari Watumiaji wa mfumo wa Android toleo la 2.25.2.5 kuna majaribio haya. WhatsApp bado inafanya majaribio ya kuweka mfumo wa kuweka miziki katika WhatsApp Status kama vile ilivyo katika Instagram Stories na Facebook Stories. Watumiaji wataweza kutafuta miziki na kuiweka katika sehemu ya Status.
    Like
    Love
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·484 Views
  • Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·116 Views
  • Kwa faida ya wengi ambao wanahoji kuhusu Kibu Denis na Uraia, ikawaje picha akacheza timu ya Taifa na FIFA wakapitisha, mkapitie kwenye website ya FIFA kuhusu “Guide to submitting a request for eligibility or change of association “

    Hapo FIFA wana mambo mawili kubadili Mashirikisho ama kuomba uhalali wa kucheza timu ya taifa, mfano Pacome akitaka kucheza Tanzania anaangukia kigezo cha kubadili Mashirikisho (Change of association) ila KIBU wakati anataka kucheza Tanzania, tuliomba uhalali ambapo tukaangukia kigezo cha “Request for eligibility “ kwakuwa Kibu ni Mkimbizi na hakuwa Raia wa Congo na hata angekuwa Raia bado ni rahisi kwakuwa ana haki ya Ukimbizi FIFA wanaitambua.

    Sasa FIFA kwenye eneo hilo kwa mujibu wa RGAS, kifungu cha saba (7) ambapo KIBU kukimbilia Tanzania haikuwa kwasababu za Kimpira bali kusaka Hifadhi hivyo ilihitajika cheti chake cha Ukimbizi na sababu za Kibinadamu, hiyo haina mlolongo wowote mrefu, anakidhi vigezo kwa haraka na anatwanga timu ya Taifa.

    Hivyo KIBU ni kesi tofauti na hii ya Wachezaji wa Singida.
    (Farhan JR)

    Kwa faida ya wengi ambao wanahoji kuhusu Kibu Denis na Uraia, ikawaje picha akacheza timu ya Taifa na FIFA wakapitisha, mkapitie kwenye website ya FIFA kuhusu “Guide to submitting a request for eligibility or change of association “ Hapo FIFA wana mambo mawili kubadili Mashirikisho ama kuomba uhalali wa kucheza timu ya taifa, mfano Pacome akitaka kucheza Tanzania anaangukia kigezo cha kubadili Mashirikisho (Change of association) ila KIBU wakati anataka kucheza Tanzania, tuliomba uhalali ambapo tukaangukia kigezo cha “Request for eligibility “ kwakuwa Kibu ni Mkimbizi na hakuwa Raia wa Congo na hata angekuwa Raia bado ni rahisi kwakuwa ana haki ya Ukimbizi FIFA wanaitambua. Sasa FIFA kwenye eneo hilo kwa mujibu wa RGAS, kifungu cha saba (7) ambapo KIBU kukimbilia Tanzania haikuwa kwasababu za Kimpira bali kusaka Hifadhi hivyo ilihitajika cheti chake cha Ukimbizi na sababu za Kibinadamu, hiyo haina mlolongo wowote mrefu, anakidhi vigezo kwa haraka na anatwanga timu ya Taifa. Hivyo KIBU ni kesi tofauti na hii ya Wachezaji wa Singida. (Farhan JR)
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·622 Views
  • Klabu ya Singida Black Stars imetoa Wachezaji wake (16) kwa mkopo kwenda kwenye klabu zingine kulinda vipaji vyao.

    Ni klabu tano (5) pekee ambazo hazijapata Mchezaji kutoka katika klabu ya Singida Black Stars, klabu zilizobakia zote zimewahi kupokea mchezaji wa Singida kwa mkopo ikiwemo klabu za Simba SC, Azam FC, KMC,...

    Klabu ya Singida Black Stars imetoa Wachezaji wake (16) kwa mkopo kwenda kwenye klabu zingine kulinda vipaji vyao. Ni klabu tano (5) pekee ambazo hazijapata Mchezaji kutoka katika klabu ya Singida Black Stars, klabu zilizobakia zote zimewahi kupokea mchezaji wa Singida kwa mkopo ikiwemo klabu za Simba SC, Azam FC, KMC,...
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·337 Views
  • Like
    Haha
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·210 Views
  • Klabu ya Singida Black Stars imetoa Wachezaji wake (16) kwa mkopo kwenda kwenye klabu zingine kulinda vipaji vyao.

    Ni klabu tano (5) pekee ambazo hazijapata Mchezaji kutoka katika klabu ya Singida Black Stars, klabu zilizobakia zote zimewahi kupokea mchezaji wa Singida kwa mkopo ikiwemo klabu za Simba SC, Azam FC, KMC,...

    Klabu ya Singida Black Stars imetoa Wachezaji wake (16) kwa mkopo kwenda kwenye klabu zingine kulinda vipaji vyao. Ni klabu tano (5) pekee ambazo hazijapata Mchezaji kutoka katika klabu ya Singida Black Stars, klabu zilizobakia zote zimewahi kupokea mchezaji wa Singida kwa mkopo ikiwemo klabu za Simba SC, Azam FC, KMC,...
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·375 Views
  • Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo:

    - Amezaliwa Tanzania
    - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania
    - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania
    - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10)

    - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5)

    - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.

    Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo: - Amezaliwa Tanzania - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10) - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5) - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.
    Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·488 Views
  • Like
    Haha
    3
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·117 Views
  • Wolfsburg Win and Over 2.5
    Odds 2.4
    Wolfsburg Win and Over 2.5 Odds 2.4
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·240 Views