
-
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufuzu #AFCON2025. Mengine tuwe wapole kwa sasa na tujipange kwa kilicho mbele yetu. Kwenye football lolote lawezekana.
#aulswaiTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufuzu #AFCON2025. Mengine tuwe wapole kwa sasa na tujipange kwa kilicho mbele yetu. Kwenye football lolote lawezekana. #aulswai -
-
-
Unazani kundi gani la mauji ❓❗ #paulswai
-
-
Idara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump.
Uamuzi huo umefuata baada ya Kaimu Mwanasheria Mkuu, James McHenry kusema kwamba maafisa hao hawawezi kuaminiwa katika kutekeleza ajenda ya Rais Trump kwa uaminifu.
Idara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump. Uamuzi huo umefuata baada ya Kaimu Mwanasheria Mkuu, James McHenry kusema kwamba maafisa hao hawawezi kuaminiwa katika kutekeleza ajenda ya Rais Trump kwa uaminifu.0 Comments ·0 Shares ·372 Views -
-
Msako mkali wa wahamiaji wasio na vibali uliofanyika siku ya Jumapili nchini Marekani umekamata watu 956 ikiwa ni idadi kubwa zaidi tangu Rais Donald Trump arejee madarakani.
Kamata kamata hiyo iliyofanywa na mashirika kadhaa ya serikali, imehusisha miji kaadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami.
Msako mkali wa wahamiaji wasio na vibali uliofanyika siku ya Jumapili nchini Marekani umekamata watu 956 ikiwa ni idadi kubwa zaidi tangu Rais Donald Trump arejee madarakani. Kamata kamata hiyo iliyofanywa na mashirika kadhaa ya serikali, imehusisha miji kaadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami.0 Comments ·0 Shares ·242 Views -
Zile Post za Telegram kuhusu Free Internet tuzifute au ziendelee Kuwa Hewani?Zile Post za Telegram kuhusu Free Internet tuzifute au ziendelee Kuwa Hewani?0 Comments ·0 Shares ·777 Views