-
...||TANZANIA NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025.
Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025,
KUNDI A
Morocco
Comoros
Zambia
Mali
KUNDI B
Zimbabwe
Angola
South Africa
Egypt
KUNDI C
Tanzania
Uganda
Tunisia
Nigeria
KUNDI D
Botswana
Benin
Dr Congo
Senegal
KUNDI E
Sudan
Equatorial Guinea
Burkina Faso
Algeria
KUNDI F
Cameroon
Mozambique
Gabon
Cotê D'Ivoire 🇨🇮
Kila la kheri Tanzania🚨...||TANZANIA 🇹🇿 NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025. 💎Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025, KUNDI A Morocco🇲🇦 Comoros🇰🇲 Zambia🇿🇲 Mali🇲🇱 KUNDI B Zimbabwe 🇿🇼 Angola🇦🇴 South Africa🇿🇦 Egypt🇪🇬 KUNDI C Tanzania🇹🇿 Uganda🇺🇬 Tunisia🇹🇳 Nigeria🇳🇬 KUNDI D Botswana🇧🇼 Benin🇧🇯 Dr Congo🇨🇩 Senegal🇸🇳 KUNDI E Sudan🇸🇸 Equatorial Guinea🇬🇶 Burkina Faso🇧🇫 Algeria🇩🇿 KUNDI F Cameroon🇨🇲 Mozambique🇲🇿 Gabon🇬🇦 Cotê D'Ivoire 🇨🇮 💎Kila la kheri Tanzania 🇹🇿🇹🇿🙏👊💪💙🤍🖤 -
-
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufuzu #AFCON2025. Mengine tuwe wapole kwa sasa na tujipange kwa kilicho mbele yetu. Kwenye football lolote lawezekana.
#aulswaiTumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufuzu #AFCON2025. Mengine tuwe wapole kwa sasa na tujipange kwa kilicho mbele yetu. Kwenye football lolote lawezekana. #aulswai -
-
-
Unazani kundi gani la mauji ❓❗ #paulswai
-
-
Idara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump.
Uamuzi huo umefuata baada ya Kaimu Mwanasheria Mkuu, James McHenry kusema kwamba maafisa hao hawawezi kuaminiwa katika kutekeleza ajenda ya Rais Trump kwa uaminifu.
Idara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump. Uamuzi huo umefuata baada ya Kaimu Mwanasheria Mkuu, James McHenry kusema kwamba maafisa hao hawawezi kuaminiwa katika kutekeleza ajenda ya Rais Trump kwa uaminifu.0 Commentarii ·0 Distribuiri ·68 Views -