• Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo linaendelea kupambana na Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Jeshi la Rwanda (Japo Rwanda imeshalikanusha mara nyingi tu). Raia watano pia wameripotiwa kuuawa huko Gisenyi Nchini Rwanda.

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais wa Kenya William Ruto, ameitisha mkutano wa Marais wa Jumuiya hiyo hapo kesho Jumatano wa kuutafutia suluhu mzozo huo wa mashariki mwa Kongo licha ya Kigali na Kinshasa kutotoa taarifa rasmi kuwa watashiriki mkutano huo.

    Umoja wa Mataifa ambao umetahadharisha kuwa mzozo huo unaweza kuzusha vita vya kikanda na umeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya mbaya ya kibinadamu huko Goma ambako mwezi huu pekee, karibu Watu 500,000 wameyahama makazi yao.

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo linaendelea kupambana na Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Jeshi la Rwanda (Japo Rwanda imeshalikanusha mara nyingi tu). Raia watano pia wameripotiwa kuuawa huko Gisenyi Nchini Rwanda. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais wa Kenya William Ruto, ameitisha mkutano wa Marais wa Jumuiya hiyo hapo kesho Jumatano wa kuutafutia suluhu mzozo huo wa mashariki mwa Kongo licha ya Kigali na Kinshasa kutotoa taarifa rasmi kuwa watashiriki mkutano huo. Umoja wa Mataifa ambao umetahadharisha kuwa mzozo huo unaweza kuzusha vita vya kikanda na umeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya mbaya ya kibinadamu huko Goma ambako mwezi huu pekee, karibu Watu 500,000 wameyahama makazi yao.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·610 Views
  • Hawa ni Maafisa wa usalama wa Rwanda wakiwasindikiza Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC), waliojisalimisha kutoka Mjini Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia mapigano kati ya Waasi wa M23 na FARDC, huko Gisenyi, Rwanda.

    Hii ilikuwa jana Januari 27, 2025.

    Hawa ni Maafisa wa usalama wa Rwanda wakiwasindikiza Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC), waliojisalimisha kutoka Mjini Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia mapigano kati ya Waasi wa M23 na FARDC, huko Gisenyi, Rwanda. Hii ilikuwa jana Januari 27, 2025.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·233 Views
  • Mamlaka ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema vikosi vya serikali na washirika wao wanaopigana katika eneo la Mashariki ya nchi hiyo bado wana udhibiti wa baadhi ya maeneo huko Goma, licha ya kuingia kwa M23 jijini siku ya Jumatatu.

    Rais Felix Tshisekedi alifanya mkutano na viongozi wa taasisi kadhaa za serikali mwishoni mwa Jumatatu, ili kutathmini hali ilivyo huko Goma ambo ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini ambao kikundi cha M23 kinadai kuwa imeuteka.

    "Wanajeshi wetu na Wazalendo wanaendelea kushikilia maeneo fulani jijini" alisema Vital Kamerhe, msemaji wa Bunge la Kitaifa la DRC baada ya mkutano na rais.

    Serikali ya Kongo ilisema wanajeshi walifanya mashambulizi ya kujilinda kushinikiza waasi kurejea nyuma ambayo bado inasisitiza kuwa, waliungwa mkono na vikosi vya Rwanda.

    Ndani ya DRC, shutuma dhidi ya mashambulizi ya M23 huko Goma zimeongezeka. Chama cha vikundi tofauti vya asasi za kiraia viliwasihi watu kote nchini humo kutofika mjini leo, wakati kiongozi wa upinzaji Martin Fayulu akitaka wananchi kuandamana siku ya Jumamosi kukemea vitendo vya M23.

    Kupitia mazungumzo ya simu hapo awali, Waziri mpya wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio "alilaani mashambulizi katika mji wa Goma yanayotekelezwa na M23 yenye kuungwa mkono na Rwanda na kudhibitisha kuwa Marekani inaheshimu uhuru wa DRC," kulingana na taarifa kutoka kwa msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Tammy Bruce.

    Kikao cha pili cha Baraza la Usalama la UN juu ya hali ya mashariki mwa DRC kitafanyika leo, pamoja na mkutano tofauti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika.
    (Cc: BBC Swahili)

    Mamlaka ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema vikosi vya serikali na washirika wao wanaopigana katika eneo la Mashariki ya nchi hiyo bado wana udhibiti wa baadhi ya maeneo huko Goma, licha ya kuingia kwa M23 jijini siku ya Jumatatu. Rais Felix Tshisekedi alifanya mkutano na viongozi wa taasisi kadhaa za serikali mwishoni mwa Jumatatu, ili kutathmini hali ilivyo huko Goma ambo ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini ambao kikundi cha M23 kinadai kuwa imeuteka. "Wanajeshi wetu na Wazalendo wanaendelea kushikilia maeneo fulani jijini" alisema Vital Kamerhe, msemaji wa Bunge la Kitaifa la DRC baada ya mkutano na rais. Serikali ya Kongo ilisema wanajeshi walifanya mashambulizi ya kujilinda kushinikiza waasi kurejea nyuma ambayo bado inasisitiza kuwa, waliungwa mkono na vikosi vya Rwanda. Ndani ya DRC, shutuma dhidi ya mashambulizi ya M23 huko Goma zimeongezeka. Chama cha vikundi tofauti vya asasi za kiraia viliwasihi watu kote nchini humo kutofika mjini leo, wakati kiongozi wa upinzaji Martin Fayulu akitaka wananchi kuandamana siku ya Jumamosi kukemea vitendo vya M23. Kupitia mazungumzo ya simu hapo awali, Waziri mpya wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio "alilaani mashambulizi katika mji wa Goma yanayotekelezwa na M23 yenye kuungwa mkono na Rwanda na kudhibitisha kuwa Marekani inaheshimu uhuru wa DRC," kulingana na taarifa kutoka kwa msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Tammy Bruce. Kikao cha pili cha Baraza la Usalama la UN juu ya hali ya mashariki mwa DRC kitafanyika leo, pamoja na mkutano tofauti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika. (Cc: BBC Swahili)
    0 Commenti ·0 condivisioni ·626 Views
  • Like
    Love
    4
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·337 Views
  • Love
    Like
    3
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·257 Views
  • Love
    1
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·204 Views
  • 150k
    150k
    0 Commenti ·0 condivisioni ·183 Views
  • Inauzwa inphinix smart 6
    bei 150k
    GB 32
    Inauzwa inphinix smart 6 bei 150k GB 32
    0 Commenti ·0 condivisioni ·319 Views
  • "Faida ya kwanza ya Eng. Hersi na ACA ni kuwa sauti ya VILABU kwenye Mkutano wa Kamati Tendaji ya CAF

    Na moja ya Kilio kikubwa cha VILABU hapa Afrika ni kukosa Hela ya maandalizi kushiriki LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO

    Unapambana kupata nafasi kwenye Ligi, kisha upambane wapi utapata Hela ili ukashiriki HATUA 2 ZA AWALI ili baadae ukapate hela ya CAF kuanzia Hatua ya Makundi

    Timu nyingi ndogo Tanzania zilipata Tabu ya kushiriki michuano hii, Mfano wa wazi BIASHARA UNITED Kutoka Mara

    ENG Hersi amefika na kuhakikisha Timu zote za Hatua ya awali zinapata Fedha.

    Msimu huu ZAIDI YA BILIONI 13 kutoka CAF zimetoka kwa VILABU vilivyoshiriki Hatua ya awali.

    Makofi Mengi kwa Eng. Hersi Said" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

    "Faida ya kwanza ya Eng. Hersi na ACA ni kuwa sauti ya VILABU kwenye Mkutano wa Kamati Tendaji ya CAF Na moja ya Kilio kikubwa cha VILABU hapa Afrika ni kukosa Hela ya maandalizi kushiriki LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO Unapambana kupata nafasi kwenye Ligi, kisha upambane wapi utapata Hela ili ukashiriki HATUA 2 ZA AWALI ili baadae ukapate hela ya CAF kuanzia Hatua ya Makundi Timu nyingi ndogo Tanzania zilipata Tabu ya kushiriki michuano hii, Mfano wa wazi BIASHARA UNITED Kutoka Mara ENG Hersi amefika na kuhakikisha Timu zote za Hatua ya awali zinapata Fedha. Msimu huu ZAIDI YA BILIONI 13 kutoka CAF zimetoka kwa VILABU vilivyoshiriki Hatua ya awali. Makofi Mengi kwa Eng. Hersi Said👏👏" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·374 Views
  • 0 Commenti ·0 condivisioni ·130 Views