Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo.
" Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo.
Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema
"Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea?
Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!!
Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"

Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo.
" Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo.
Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema
"Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea?
Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!!
Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"
0 Comments
路0 Shares
路36 Views