• another day
    another day
    Like
    Love
    3
    0 Reacties 0 aandelen 443 Views
  • Mfugooo
    Mfugooo
    Like
    Wow
    2
    2 Reacties 0 aandelen 409 Views
  • Jifunze matumiz ya emonj
    Jifunze matumiz ya emonj
    Like
    Yay
    2
    1 Reacties 0 aandelen 455 Views
  • Icon wallpaper
    Icon wallpaper
    Love
    1
    0 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • 0 Reacties 0 aandelen 196 Views
  • "Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.

    Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi

    Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo.

    This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’

    Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu.

    Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika.

    Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa.

    Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

    "Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo. Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo. This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’ Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu. Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika. Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa. Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 744 Views
  • Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 201 Views
  • Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda, wanatarajia kukutana Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Februari 8, 2025 kujadili mustakabali wa hali ya usalama inayoendelea eneo la Mashariki mwa DR Congo.

    Taarifa iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, wawili hao watakutana katika mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuridhia Nchi yake ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo.

    Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda, wanatarajia kukutana Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Februari 8, 2025 kujadili mustakabali wa hali ya usalama inayoendelea eneo la Mashariki mwa DR Congo. Taarifa iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, wawili hao watakutana katika mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuridhia Nchi yake ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo.
    Like
    2
    0 Reacties 0 aandelen 811 Views
  • Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 193 Views
  • Rais Kagame anasema Rais Tshisekedi anataka kuivamia Rwanda na kupindua serikali yake!!! Na Rais Tshisekedi anasema Rais Kagame ameivamia Congo na lengo ni kuipindua serikali yake, kupitia vikundi vya waasi ikiwemo M23!

    Umeelewa nini ?
    Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali ya DR Congo na wapiganaji wa FDLR, kwa kujiandaa kuvamia ardhi yake.

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Rwanda imesema kwamba uchunguzi uliofanywa baada ya M23 kuchukua mji wa Goma ulionyesha kuwa lengo la vikosi vya waasi "halikuwa tu kupigana na M23, lakini pia ni pamoja na kushambulia Rwanda ".
    (Zungu)

    Rais Kagame anasema Rais Tshisekedi anataka kuivamia Rwanda na kupindua serikali yake!!! Na Rais Tshisekedi anasema Rais Kagame ameivamia Congo na lengo ni kuipindua serikali yake, kupitia vikundi vya waasi ikiwemo M23! Umeelewa nini ? Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali ya DR Congo na wapiganaji wa FDLR, kwa kujiandaa kuvamia ardhi yake. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Rwanda imesema kwamba uchunguzi uliofanywa baada ya M23 kuchukua mji wa Goma ulionyesha kuwa lengo la vikosi vya waasi "halikuwa tu kupigana na M23, lakini pia ni pamoja na kushambulia Rwanda ". (Zungu)
    Like
    2
    0 Reacties 0 aandelen 281 Views