• Like
    1
    0 Comments 0 Shares 163 Views
  • Nchi ya Rwanda imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo.

    Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".

    Nchi ya Rwanda 馃嚪馃嚰 imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛 ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo. Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 833 Views
  • Waziri wa Madini na Petroli wa Afrika Kusini , Gwede Mantashe, amesema katika kongamano la madini linaloendelea Nchini humo:

    "Kwa kweli, Marekani inachukua madini ya Afrika lakini inadai itaondoa ufadhili. Tuna madini katika bara hili, kwa hivyo tuna rasilimali—sisi si ombaomba." - amesema Mantashe

    Kauli hii inakuja kufuatia tamko la Rais wa Marekani , Donald Trump, aliyesema kuwa serikali yake itasitisha ufadhili kwa Afrika Kusini katika siku zijazo, akidai kuwa Nchi hiyo inanyakua ardhi na kunyanyasa Watu wa tabaka fulani.

    Waziri wa Madini na Petroli wa Afrika Kusini 馃嚳馃嚘 , Gwede Mantashe, amesema katika kongamano la madini linaloendelea Nchini humo: "Kwa kweli, Marekani inachukua madini ya Afrika lakini inadai itaondoa ufadhili. Tuna madini katika bara hili, kwa hivyo tuna rasilimali—sisi si ombaomba." - amesema Mantashe Kauli hii inakuja kufuatia tamko la Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump, aliyesema kuwa serikali yake itasitisha ufadhili kwa Afrika Kusini katika siku zijazo, akidai kuwa Nchi hiyo inanyakua ardhi na kunyanyasa Watu wa tabaka fulani.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 248 Views
  • “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.”

    “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.

    “Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.” “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 572 Views

    0 Comments 0 Shares 568 Views
  • Like
    Love
    Angry
    7
    2 Comments 0 Shares 366 Views
  • Holy spirit my strength
    Holy spirit my strength 鉁濓笍馃檹馃挆
    0 Comments 0 Shares 315 Views
  • 0 Comments 0 Shares 167 Views
  • Taarifa kwa umma kutoka katika klabu ya Yanga SC ikithibitisha kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wao S. Ramovic kwa makubaliano ya pande zote mbili.

    Taarifa kwa umma kutoka katika klabu ya Yanga SC ikithibitisha kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wao S. Ramovic kwa makubaliano ya pande zote mbili.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 309 Views
  • 0 Comments 0 Shares 168 Views