Wilson Orumo Vs Privaldinho
"Prince Dube akiwa Azam alitumia michezo 54 kufunga magoli 34, wastani wa bao moja kila baada ya mchezo mmoja na dakika 30. Hapo hatujaongelea alivyokuwa ana struggle na mazoezi au kucheza timu ndogo kama Azam.
Turudi sasa kwenye msimu wake ambao tunaambiwa ameshuka.
So far amefunga magoli 7 kwenye ligi akiwa ndiye mchezaji pekee mwenye hat trick huku akizidiwa mabao mawili tu na kinara wa mabao.
Dube amecheza dakika 1042 akihusika magoli 11 sawa kuhusika na goli kila baada ya dakika 94.
Dube anafunga dhidi ya timu dhaifu miongoni mwa hoja za kipuuzi
Dube msimu huu kwenye ngao alifunga bao dhidi ya Azam je Azam ni timu dhaifu?
Dube amefunga magoli dhidi ya Mazembe, ligi ya mabingwa goli muhimu na la dakika za jioni, chance moja muhimu na ngumu.
Huyu kijeba wao amefunga magoli nane, amekosa nafasi kibao lakini huwezi kusikia akijadiliwa. Kwa mfano leo kijeba amekosa nafasi ya wazi, mechi na Pamba kijeba alikosa nafasi dakika za majeruhi.
Tuambieni ni mshambuliaji yupi ambaye amehusika magoli mengi kuliko Dube kutoka Ukoloni ?
Kwa kifupi tuwasaidia takwimu za Dube
Ligi ya Mabingwa: Magoli - 4, Assists 3
Ligi kuu: Magoli 7, assists 4,
Ngao goli 1 vs Azam na assist moja vs Makolo
Amehusika magoli 20 ndani ya miezi sita halafu anatoke mvimba macho mmoja anaibu agenda za kijinga?
Wakati akiwa Azam walimuita JANAUME la KOLO, mara Henry leo wanambeza? Shame on You" - Privaldinho.