0 Commentarios
路0 Acciones
路1K Views
-
-
-
-
-
-
Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Nchi ya Uganda (UPDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa (24) vikosi vyote vilivyopo katika Mji wa Bunia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kuuwa Raia wa kabila la Bahima (ambalo asili yake ni kutoka Nchini Uganda) lasivyo Jeshi lake litashambulia Mji huo.
Kainerugaba ametoa kauli hiyo Februari 15 katika mtandao wake wa X. Huku akielezwa kuwa na historia ya kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu sera za kigeni mara kwa mara. Alisema ana mamlaka ya Rais Yoweri Museveni, ambaye pia ni Baba yake Mzazi ambako hata hivyo, alipotafutwa Msemaji wa Jeshi la Uganda alisema hawezi kuzungumzia suala hilo.
Hata hivyo, kabla ya kusasisha ujumbe huo kwenye mtandao wa X, Jenerali huyo alikuwa alieleza bila kutoa ushahidi, kwamba Watu kutoka kabila la Bahima walikuwa wakiuawa huko Nchini DR Congo.
Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Nchi ya Uganda 馃嚭馃嚞 (UPDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa (24) vikosi vyote vilivyopo katika Mji wa Bunia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛 kuacha kuuwa Raia wa kabila la Bahima (ambalo asili yake ni kutoka Nchini Uganda) lasivyo Jeshi lake litashambulia Mji huo. Kainerugaba ametoa kauli hiyo Februari 15 katika mtandao wake wa X. Huku akielezwa kuwa na historia ya kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu sera za kigeni mara kwa mara. Alisema ana mamlaka ya Rais Yoweri Museveni, ambaye pia ni Baba yake Mzazi ambako hata hivyo, alipotafutwa Msemaji wa Jeshi la Uganda alisema hawezi kuzungumzia suala hilo. Hata hivyo, kabla ya kusasisha ujumbe huo kwenye mtandao wa X, Jenerali huyo alikuwa alieleza bila kutoa ushahidi, kwamba Watu kutoka kabila la Bahima walikuwa wakiuawa huko Nchini DR Congo. -
TSHISEKEDI JIFUNZE KWA NETANYAHU
"Mnakumbuka kauli ya Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba hata iweje hata zungumza na Hamas ?
Tena Netanyahu akajitapa akisema kamwe Israel haitazungumza na magaidi, Netanyahu alisema hayo akijua fika ana sapoti kubwa ya Marekani inayompa nguvu na uwezo wa kila aina unaohitajika wa kijeshi!!
Lakini mwisho wa siku Netanyahu alikaa chini na Hamas na kuzungumza baada ya hapo mateka pamoja na wafungwa wanaachiwa amani imerudi kiasi Gaza
Somo kwa Tshisekedi kaa chini uzungumze na M23 vinginevyo unaenda kutengeneza serikali ndani ya serikali, jeshi la Congo ni ungaa halina uwezo wa kukabiliana na M23, Tshisekedi unatoa wapi kiburi cha kukataa kuzungumza na M23?
Washirika wa Congo nao kila siku vikao vingii lakini hatua za kukabiliana na M23 zimekuwa chache!! Tshisekedi kubali mazungumzo na M23 jifunze kwa Netanyahu!!!" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
TSHISEKEDI JIFUNZE KWA NETANYAHU "Mnakumbuka kauli ya Waziri mkuu wa Israel馃嚠馃嚤 Benjamin Netanyahu kwamba hata iweje hata zungumza na Hamas ? Tena Netanyahu akajitapa akisema kamwe Israel haitazungumza na magaidi, Netanyahu alisema hayo akijua fika ana sapoti kubwa ya Marekani inayompa nguvu na uwezo wa kila aina unaohitajika wa kijeshi!! Lakini mwisho wa siku Netanyahu alikaa chini na Hamas na kuzungumza baada ya hapo mateka pamoja na wafungwa wanaachiwa amani imerudi kiasi Gaza Somo kwa Tshisekedi kaa chini uzungumze na M23 vinginevyo unaenda kutengeneza serikali ndani ya serikali, jeshi la Congo ni ungaa halina uwezo wa kukabiliana na M23, Tshisekedi unatoa wapi kiburi cha kukataa kuzungumza na M23? Washirika wa Congo nao kila siku vikao vingii lakini hatua za kukabiliana na M23 zimekuwa chache!! Tshisekedi kubali mazungumzo na M23 jifunze kwa Netanyahu!!!" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa. -
-