
-
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo , Felix Tshisekedi ameitaka Nchi ya Marekani kununua madini moja kwa moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiitaja ndio "mmiliki halisi" wa rasilimali hizo na sio Nchi Rwanda .
Tshisekedi amesema kuwa anaanza kwa kutoa ofa hiyo kwa Marekani kwanza huku akitoa pendekezo hilo pia liko wazi kwa mataifa ya Umoja Ulaya (EU) na wanunuzi wengine wanaotafuta na kununua madini kutoka Nchini Rwanda kwa sasa.
Rais huyo amewaonya Mataifa yanayonunua madini kutoka Nchini Rwanda kuwa wanachukua madini yaliyoibwa kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kwahiyo wanatakiwa kununua kwa mmiliki halali. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Rwanda ni moja ya kati ya Nchi zinauza madini mengi barani Afrika kwa Mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo 🇨🇩, Felix Tshisekedi ameitaka Nchi ya Marekani 🇺🇸 kununua madini moja kwa moja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiitaja ndio "mmiliki halisi" wa rasilimali hizo na sio Nchi Rwanda 🇷🇼. Tshisekedi amesema kuwa anaanza kwa kutoa ofa hiyo kwa Marekani kwanza huku akitoa pendekezo hilo pia liko wazi kwa mataifa ya Umoja Ulaya (EU) na wanunuzi wengine wanaotafuta na kununua madini kutoka Nchini Rwanda kwa sasa. Rais huyo amewaonya Mataifa yanayonunua madini kutoka Nchini Rwanda kuwa wanachukua madini yaliyoibwa kutoka Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kwahiyo wanatakiwa kununua kwa mmiliki halali. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Rwanda ni moja ya kati ya Nchi zinauza madini mengi barani Afrika kwa Mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia. -
-
Your life will never be the same
#motivationalQuoteYour life will never be the same #motivationalQuote -
-
-
PART 1
Miaka ishirini iliyopita, asubuhi ya Septemba 11, 2001 katika pwani ya mashariki mwa Marekani, ndege nne za abiria zilitekwa nyara kwa wakati mmoja na magaidi 19 na kusababisha vifo vya maelfu ya watu baada ya kugonga minara pacha ya kituo cha bisahara cha World Trade Center nchini Marekani.
PART 1 Miaka ishirini iliyopita, asubuhi ya Septemba 11, 2001 katika pwani ya mashariki mwa Marekani, ndege nne za abiria zilitekwa nyara kwa wakati mmoja na magaidi 19 na kusababisha vifo vya maelfu ya watu baada ya kugonga minara pacha ya kituo cha bisahara cha World Trade Center nchini Marekani. -
PART 2
Kwa mara ya pili katika historia yake, Marekani ilikumbwa na shambulio la ndani, hali ambayo ilishuwa wengi wakati Marekani ni mojawapo ya nchi zenye nguvu duniani ambapo ni vigumu kupenya na kufanya shambulizi kubwa kama hilo.
PART 2 Kwa mara ya pili katika historia yake, Marekani ilikumbwa na shambulio la ndani, hali ambayo ilishuwa wengi wakati Marekani ni mojawapo ya nchi zenye nguvu duniani ambapo ni vigumu kupenya na kufanya shambulizi kubwa kama hilo. -
PART 3
Chini ya saa mbili, majengo muhimu ya nchi hii yenye nguvu duniani yalishambuliwa, na kuua karibu watu 3,000 na kujeruhi maelfu kadhaa. Mashambulio haya, ambayo ni mabaya zaidi katika historia ya kisasa, yaliuacha ulimwengu wote kwa mshtuko mkubwa.
PART 3 Chini ya saa mbili, majengo muhimu ya nchi hii yenye nguvu duniani yalishambuliwa, na kuua karibu watu 3,000 na kujeruhi maelfu kadhaa. Mashambulio haya, ambayo ni mabaya zaidi katika historia ya kisasa, yaliuacha ulimwengu wote kwa mshtuko mkubwa. -
PART 4
2:46 asubuhi, ulimwengu wapigwa na bumbuwazi
Ilikuwa saa 2:46 asubuhi, saa zahuko New York, wakati Boeing 767 kutoka shirika la ndege la American Airlines Flight 11 ilipoanguka kwenye Mnara wa Kaskazini wa kituo cha Biashara cha World Trade Center , ikiwa na watu 92 , wakiwemo magaidi watano.
Dakika kumi na saba baadaye, saa 3:03 asubuhi, vituo kadhaa vya televisheni vilikuwa vikitangaza tukio hilo, watu waliona ndege ya shirika la ndege la United Airlines Flight 175 ikigonga Mnara wa Kusini wa jengo hilo la kibiashara. Watu 65 walikuemo, ikiwa ni pamoja na watekaji nyara watano. Wakati moto ukiharibu sakafu za juu za minara hiyo miwili, Andrew Card, mkurugenzi katika ofisi ya rais, alimfahamisha rais George W. Bush: “Ndege ya pili imegonga mnara mwingine na Marekani sasa inashambuliwa. "
PART 4 2:46 asubuhi, ulimwengu wapigwa na bumbuwazi Ilikuwa saa 2:46 asubuhi, saa zahuko New York, wakati Boeing 767 kutoka shirika la ndege la American Airlines Flight 11 ilipoanguka kwenye Mnara wa Kaskazini wa kituo cha Biashara cha World Trade Center , ikiwa na watu 92 , wakiwemo magaidi watano. Dakika kumi na saba baadaye, saa 3:03 asubuhi, vituo kadhaa vya televisheni vilikuwa vikitangaza tukio hilo, watu waliona ndege ya shirika la ndege la United Airlines Flight 175 ikigonga Mnara wa Kusini wa jengo hilo la kibiashara. Watu 65 walikuemo, ikiwa ni pamoja na watekaji nyara watano. Wakati moto ukiharibu sakafu za juu za minara hiyo miwili, Andrew Card, mkurugenzi katika ofisi ya rais, alimfahamisha rais George W. Bush: “Ndege ya pili imegonga mnara mwingine na Marekani sasa inashambuliwa. "