0 Commenti
路0 condivisioni
路47 Views
-
-
0 Commenti 路0 condivisioni 路200 Views
-
Mwanaume huyo pichani, anaitwa Ho Van Lang na picha hizo zilipigwa mara baada ya kugunduliwa mwaka 2013, akiwa ameishi katika msitu wa mbali Nchini Vietnam kwa miaka 41 pamoja na Baba yake, Ho Van Thanh. Walikimbia kijiji chao mwaka 1972 kufuatia mashambulizi ya mabomu ya Marekani wakati wa Vita ya Vietnam ambayo yaliwaua baadhi ya Wanafamilia wao.
Kwa kuogopa usalama wao, Baba na Mwana walitoweka msituni katika mkoa wa Quang Ngai na wakabaki bila mawasiliano na Jamii kwa miongo kadhaa. Lang, ambaye alikuwa Mtoto mchanga walipotoweka, alitumia maisha yake yote akiwa katika hali ya kutengwa, bila kufahamu chochote kuhusu Dunia ya kisasa.
Hakuwa na dhana ya Jamii, teknolojia, wala hata uwepo wa Wanawake, jambo alilolielewa tu baada ya kurejeshwa kwenye Jamii. Hadithi yake inaonyesha kwa kina uimara wa Mwanadamu na athari za kutengwa kwa muda mrefu katika maendeleo ya mtu binafsi na mtazamo wake wa Dunia.
Mwanaume huyo pichani, anaitwa Ho Van Lang na picha hizo zilipigwa mara baada ya kugunduliwa mwaka 2013, akiwa ameishi katika msitu wa mbali Nchini Vietnam 馃嚮馃嚦 kwa miaka 41 pamoja na Baba yake, Ho Van Thanh. Walikimbia kijiji chao mwaka 1972 kufuatia mashambulizi ya mabomu ya Marekani 馃嚭馃嚫 wakati wa Vita ya Vietnam ambayo yaliwaua baadhi ya Wanafamilia wao. Kwa kuogopa usalama wao, Baba na Mwana walitoweka msituni katika mkoa wa Quang Ngai na wakabaki bila mawasiliano na Jamii kwa miongo kadhaa. Lang, ambaye alikuwa Mtoto mchanga walipotoweka, alitumia maisha yake yote akiwa katika hali ya kutengwa, bila kufahamu chochote kuhusu Dunia ya kisasa. Hakuwa na dhana ya Jamii, teknolojia, wala hata uwepo wa Wanawake, jambo alilolielewa tu baada ya kurejeshwa kwenye Jamii. Hadithi yake inaonyesha kwa kina uimara wa Mwanadamu na athari za kutengwa kwa muda mrefu katika maendeleo ya mtu binafsi na mtazamo wake wa Dunia. -
-
Rais wa zamani wa Marekani , Barack Obama katika mahojiano na chuo cha Hamilton College Nchini humo aliongea kuhusu hali ya Nchi chini ya muhula wa pili wa Rais wa sasa Donald Trump na alikosoa vikali hatua za hivi karibuni za utawala huo.
Rais huyo Mstaafu ambaye alitangulia muhula wa kwanza wa Trump, alimkosoa vikali Trump kwa juhudi zake za kubadilisha mfumo wa Serikali ya Shirikisho, kukandamiza uhamiaji na upinzani, pamoja na kuwatisha Wanahabari na Taasisi ya sheria.
“Hivyo basi, hii ndio mara yangu ya kwanza kuzungumza hadharani kwa muda sasa,” Obama alisema wakati wa mahojiano jukwaani katika Chuo cha Hamilton. “Nimekuwa nikitazama kwa muda.”
"Hebu fikiria kama ningekuwa nimefanya chochote kati ya haya,”
“Ni jambo lisilowezekana kufikirika kwamba vyama vilevile vinavyonyamaza sasa vingevumilia tabia kama hiyo kutoka kwangu, au hata kutoka kwa baadhi ya walionitangulia.” alisema Obama
Obama aliendelea kusema kuwa haamini tangazo jipya la ushuru lililotolewa na Trump “litakuwa zuri kwa Marekani.” Hata hivyo, alieleza kuwa anahofia zaidi kile alichokiita kama uvunjaji wa haki unaofanywa na Ikulu.
Rais wa zamani wa Marekani 馃嚭馃嚫, Barack Obama katika mahojiano na chuo cha Hamilton College Nchini humo aliongea kuhusu hali ya Nchi chini ya muhula wa pili wa Rais wa sasa Donald Trump na alikosoa vikali hatua za hivi karibuni za utawala huo. Rais huyo Mstaafu ambaye alitangulia muhula wa kwanza wa Trump, alimkosoa vikali Trump kwa juhudi zake za kubadilisha mfumo wa Serikali ya Shirikisho, kukandamiza uhamiaji na upinzani, pamoja na kuwatisha Wanahabari na Taasisi ya sheria. “Hivyo basi, hii ndio mara yangu ya kwanza kuzungumza hadharani kwa muda sasa,” Obama alisema wakati wa mahojiano jukwaani katika Chuo cha Hamilton. “Nimekuwa nikitazama kwa muda.” "Hebu fikiria kama ningekuwa nimefanya chochote kati ya haya,” “Ni jambo lisilowezekana kufikirika kwamba vyama vilevile vinavyonyamaza sasa vingevumilia tabia kama hiyo kutoka kwangu, au hata kutoka kwa baadhi ya walionitangulia.” alisema Obama Obama aliendelea kusema kuwa haamini tangazo jipya la ushuru lililotolewa na Trump “litakuwa zuri kwa Marekani.” Hata hivyo, alieleza kuwa anahofia zaidi kile alichokiita kama uvunjaji wa haki unaofanywa na Ikulu. -
-
-
-
NUSU FAINALI KLABU BINGWA
Mamelody Vs Al Ahly
Orlando Vs Pyramids
NB; South Africa Vs MisriNUSU FAINALI KLABU BINGWA Mamelody Vs Al Ahly Orlando Vs Pyramids NB; South Africa Vs Misri