• Kwenye mahojiano na waandishi wa Habari , Fadlu alisema kuna uwezekano wa kuanza na washambuliaji wawili wa kati " UWEZEKANO " lakini akaona kama kikombe hakijpasuka kwanini ukitengeneze ? Kocha anajua muundo wake hauna shida bali ilibaki utekelezaji kwa wachezaji wake katika nyakati sahihi .

    Sehemu ambayo Fadlu alibadilisha ni ndogo sana katika muundo wake timu hasa ikiwa inashumbulia :

    1: Ni Position ya Kibu na Mpanzu . Mara nyingi huwa wanaombea mpira kwenye halfspace kabisa karibu na mabeki wa kati wa timu pinzani lakini leo walikuwa wanaanzia kupokea mpira katikati ya wingbacks na mabeki wa kati wa pembeni ( Outside CBs ) kwanini ?

    2: Ili kutengeneza sintofahamu kubwa ya kimaamuzi baina ya hao mabeki wa kati wa pembeni na wingbacks wao , kwa maana wingbacks wa Al Masry hofu yao ni fullbacks wa Simba wanaopanda juu .

    3: Fadlu alifanya hivyo ili kuwapa Kibu na Mpanzu " Shooting spaces" wawe katika nafasi bora za kupiga golini . Hii iliwezekana pia kwasababu ..

    4: Ahoua alikuwa anajaribu sana kuwa karibu na Mukwala asimuache peke yake dhidi ya beki wa kati wa Al Masry .

    5: Nafikiri hiki alichofanya Fadlu leo kimbinu kimeathiriwa sana na hali ya uwanja , vinginevyo ingekuwa jioni ndefu kwa Al Masry

    Al Masry mpango wao ulikuwa ambao umezoeleka

    1: Poteza sana muda kwa kucheza mechi ya taratibu

    2. Zuia sana kulinda mtaji wake

    3: Subiria , counter attack na mipira iliyokufa kupata goli la ugenini

    鉁嶐煆籏ipindi cha pili , kasi ya mchezo ilipungua hasa kutoka kwa mwenyeji nafikiri pia ndio iliwapa Al Masry fursa na wao kuanza angalau kuunganisha hata pasi zao ( hapo nafikiri Simba walikuwa wanacheza moto , ni nafasi na kosa moja tu linaumua taswira nzima ya mechi )

    NOTE

    1: Siamini kama Al Masry waliamua kutaka penati bali hali ya mchezo iliwalazimisha , waliona kufunga kwao ngumu

    2: Hamza anacheza kwenye " GIA " yake mwenyewe anayotaka na hakuna kitu unamfanya

    3: Mukwala . Soma namba ya jezi ya beki basi beki yupo matatizoni

    4: Mpanzu , sio kwamba hawakufanya Homework yao Al Masry bali vitu vingine unakubali yaishe

    5: CAMARA. Unamuona tu golini hali ya kujiamini kubwa kwenye matuta

    FT: Simba 2-0 Al Masry
    (G. Ambangile )


    Kwenye mahojiano na waandishi wa Habari , Fadlu alisema kuna uwezekano wa kuanza na washambuliaji wawili wa kati " UWEZEKANO " lakini akaona kama kikombe hakijpasuka kwanini ukitengeneze ? Kocha anajua muundo wake hauna shida bali ilibaki utekelezaji kwa wachezaji wake katika nyakati sahihi . Sehemu ambayo Fadlu alibadilisha ni ndogo sana katika muundo wake timu hasa ikiwa inashumbulia : 1: Ni Position ya Kibu na Mpanzu . Mara nyingi huwa wanaombea mpira kwenye halfspace kabisa karibu na mabeki wa kati wa timu pinzani lakini leo walikuwa wanaanzia kupokea mpira katikati ya wingbacks na mabeki wa kati wa pembeni ( Outside CBs ) kwanini ? 2: Ili kutengeneza sintofahamu kubwa ya kimaamuzi baina ya hao mabeki wa kati wa pembeni na wingbacks wao , kwa maana wingbacks wa Al Masry hofu yao ni fullbacks wa Simba wanaopanda juu . 3: Fadlu alifanya hivyo ili kuwapa Kibu na Mpanzu " Shooting spaces" wawe katika nafasi bora za kupiga golini . Hii iliwezekana pia kwasababu .. 4: Ahoua alikuwa anajaribu sana kuwa karibu na Mukwala asimuache peke yake dhidi ya beki wa kati wa Al Masry . 5: Nafikiri hiki alichofanya Fadlu leo kimbinu kimeathiriwa sana na hali ya uwanja , vinginevyo ingekuwa jioni ndefu kwa Al Masry Al Masry mpango wao ulikuwa ambao umezoeleka 1: Poteza sana muda kwa kucheza mechi ya taratibu 2. Zuia sana kulinda mtaji wake 3: Subiria , counter attack na mipira iliyokufa kupata goli la ugenini 鉁嶐煆籏ipindi cha pili , kasi ya mchezo ilipungua hasa kutoka kwa mwenyeji nafikiri pia ndio iliwapa Al Masry fursa na wao kuanza angalau kuunganisha hata pasi zao ( hapo nafikiri Simba walikuwa wanacheza moto , ni nafasi na kosa moja tu linaumua taswira nzima ya mechi ) NOTE 1: Siamini kama Al Masry waliamua kutaka penati bali hali ya mchezo iliwalazimisha , waliona kufunga kwao ngumu 2: Hamza anacheza kwenye " GIA " yake mwenyewe anayotaka na hakuna kitu unamfanya 3: Mukwala . Soma namba ya jezi ya beki basi beki yupo matatizoni 馃敟 4: Mpanzu , sio kwamba hawakufanya Homework yao Al Masry bali vitu vingine unakubali yaishe 5: CAMARA. Unamuona tu golini hali ya kujiamini kubwa kwenye matuta FT: Simba 2-0 Al Masry (G. Ambangile 鉁嶏笍)
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 533 Views
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 69 Views
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 71 Views
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 72 Views
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 70 Views
  • Tunaambiwa Uwanja wa klabu ya Real Madrid (饾棪饾棶饾椈饾榿饾椂饾棶饾棿饾椉 饾棔饾棽饾椏饾椈饾棶饾棷饾棽虂饾槀) unaandaliwa vyema kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya Arsenal FC ambao iliitwanga Real Madrid mabao matatu kwa sifuri (0-3).

    Klabu ya Real Madrid inatakiwa kufunga angalau mabao matatu ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) ilihali klabu ya Arsenal FC ina rekodi ya kutokufungwa mabao matatu katika mchezo mmoja tangu Desemba 2023 yaani mechi 83 zimepita kwa klabu ya Arsenal FC bila kuruhusu mabao matatu.

    Tunaambiwa Uwanja wa klabu ya Real Madrid (饾棪饾棶饾椈饾榿饾椂饾棶饾棿饾椉 饾棔饾棽饾椏饾椈饾棶饾棷饾棽虂饾槀) unaandaliwa vyema kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya Arsenal FC ambao iliitwanga Real Madrid mabao matatu kwa sifuri (0-3). Klabu ya Real Madrid inatakiwa kufunga angalau mabao matatu ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) ilihali klabu ya Arsenal FC ina rekodi ya kutokufungwa mabao matatu katika mchezo mmoja tangu Desemba 2023 yaani mechi 83 zimepita kwa klabu ya Arsenal FC bila kuruhusu mabao matatu.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 334 Views
  • Wamarekani watatu waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kushiriki katika jaribio la mapinduzi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , sasa wamekabidhiwa kwa mamlaka za Marekani na kurejea Nchini kwao ili kutumikia adhabu yao maisha Jela baada ya kupata msamaha wa Rais kufuatia mazungumzo kati ya Serekali ya DR Congo na Marekani.

    Msemaji wa Rais wa DRC,Tina Salama, amethibitisha kuwa Raia hao waliondoka Kinshasa siku ya Jana Jumanne majira ya asubuhi, kufuatia jitihada za kidiplomasia zilizoongozwa na Ubalozi wa Marekani Nchini humo. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya adhabu zao za kifo kubadilishwa na kuwa kifungo cha maisha jela.

    Miongoni mwa waliorejeshwa ni Marcel Malanga, kijana mwenye umri wa miaka 21, ambaye ni Mtoto wa marehemu Christian Malanga ambaye ni Kiongozi wa upinzani aliyepanga jaribio la mapinduzi dhidi ya Serikali ya Rais Félix Tshisekedi mwaka jana. Hata hivyo, jaribio hilo lilishindikana, na Christian Malanga aliuawa wakati wa makabiliano na Maafisa wa usalama. Kwa mujibu wa taarifa, Marcel alidai kuwa alishinikizwa na Baba yake kushiriki katika tukio hilo, akieleza kuwa hakufanya hivyo kwa hiari yake.

    Kurejeshwa kwa Raia hao kumetokea wakati ambapo Serikali ya DR Congo inashughulikia makubaliano ya ushirikiano wa kimataifa kuhusu madini na msaada wa kijeshi na Marekani, lengo likiwa ni kuimarisha usalama hususan katika maeneo ya mashariki ya nchi ambayo yamekuwa yakikumbwa na machafuko ya mara kwa mara.

    Wamarekani watatu waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kushiriki katika jaribio la mapinduzi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, sasa wamekabidhiwa kwa mamlaka za Marekani 馃嚭馃嚫 na kurejea Nchini kwao ili kutumikia adhabu yao maisha Jela baada ya kupata msamaha wa Rais kufuatia mazungumzo kati ya Serekali ya DR Congo na Marekani. Msemaji wa Rais wa DRC,Tina Salama, amethibitisha kuwa Raia hao waliondoka Kinshasa siku ya Jana Jumanne majira ya asubuhi, kufuatia jitihada za kidiplomasia zilizoongozwa na Ubalozi wa Marekani Nchini humo. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya adhabu zao za kifo kubadilishwa na kuwa kifungo cha maisha jela. Miongoni mwa waliorejeshwa ni Marcel Malanga, kijana mwenye umri wa miaka 21, ambaye ni Mtoto wa marehemu Christian Malanga ambaye ni Kiongozi wa upinzani aliyepanga jaribio la mapinduzi dhidi ya Serikali ya Rais Félix Tshisekedi mwaka jana. Hata hivyo, jaribio hilo lilishindikana, na Christian Malanga aliuawa wakati wa makabiliano na Maafisa wa usalama. Kwa mujibu wa taarifa, Marcel alidai kuwa alishinikizwa na Baba yake kushiriki katika tukio hilo, akieleza kuwa hakufanya hivyo kwa hiari yake. Kurejeshwa kwa Raia hao kumetokea wakati ambapo Serikali ya DR Congo inashughulikia makubaliano ya ushirikiano wa kimataifa kuhusu madini na msaada wa kijeshi na Marekani, lengo likiwa ni kuimarisha usalama hususan katika maeneo ya mashariki ya nchi ambayo yamekuwa yakikumbwa na machafuko ya mara kwa mara.
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 413 Views
  • Like
    1
    0 Comments 0 Shares 70 Views
  • Habari wanayanga wenzangu wote twendeni tukaujaze uwanja wa chamazi Leo saa Moja kuwa shangilia wanajeshi wetu Ili kuchukua pointi tatu muhimu sana Leo, Ili kuendelea kukaa juuu kwa ajili ya kuchukua ubingwa wetu, manake mwaka huu Kila mechi kwetu ni muhimu sana kushinda, manake tuna maadui wengi sana wanatufatilia sana, nasi tunatakiwa kuipambania sana klabu yetu Ili kutetea ubingwa wetu kwa mara ya nne mfulilizo,
    Habari wanayanga wenzangu wote twendeni tukaujaze uwanja wa chamazi Leo saa Moja kuwa shangilia wanajeshi wetu Ili kuchukua pointi tatu muhimu sana Leo, Ili kuendelea kukaa juuu kwa ajili ya kuchukua ubingwa wetu, manake mwaka huu Kila mechi kwetu ni muhimu sana kushinda, manake tuna maadui wengi sana wanatufatilia sana, nasi tunatakiwa kuipambania sana klabu yetu Ili kutetea ubingwa wetu kwa mara ya nne mfulilizo,
    0 Comments 0 Shares 276 Views
  • # king
    @ ema
    # king @ ema
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 141 Views 0