0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·40 Visualizações
-
-
BREAKING NEWS: Karim Benzema anataka kuondoka Al Ittihad.
Sababu kubwa za Karim Benzema’s kutaka kuondoka ni hizi hapa .
• kiwango Cha chini Cha mpira
• ukosefu wa vifaa maalumu vya mazoezi
• ukosefu wa watu maalumu wanaojua mpira ,mazoezi na afya .
Sports viewBREAKING NEWS: Karim Benzema anataka kuondoka Al Ittihad. Sababu kubwa za Karim Benzema’s kutaka kuondoka ni hizi hapa 🙄. • kiwango Cha chini Cha mpira • ukosefu wa vifaa maalumu vya mazoezi • ukosefu wa watu maalumu wanaojua mpira ,mazoezi na afya .😳 📰 Sports view -
-
Upendo Bila hisia ni bureUpendo Bila hisia ni bure0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·38 Visualizações
-
-
-
OFFICIAL: Kiungo wa Kijerumani wa klabu ya Real Madrid Toni Kroos ametangaza kwamba anastaafu kandanda baada ya mashindano ya Euro 2024
Na huu ndio unakuwa msimu wake wa mwisho ndani ya Real madrid baada ya miaka 10 tangu alipotua hapo akitokea Bayern Munich mwaka 2014 kwa dau la Pauni Milioni 25 .
Source : @fabriziorom
LEGEND : THE SNIPER
Page; Sports viewOFFICIAL: Kiungo wa Kijerumani wa klabu ya Real Madrid Toni Kroos ametangaza kwamba anastaafu kandanda baada ya mashindano ya Euro 2024 Na huu ndio unakuwa msimu wake wa mwisho ndani ya Real madrid baada ya miaka 10 tangu alipotua hapo akitokea Bayern Munich mwaka 2014 kwa dau la Pauni Milioni 25 . Source : @fabriziorom LEGEND : THE SNIPER Page; Sports view -
NILIMPENDA KWA MUDA ILA SIWEZI KUMUACHA KWA UJINGA WA WATUNILIMPENDA KWA MUDA ILA SIWEZI KUMUACHA KWA UJINGA WA WATU0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·36 Visualizações