Rezultatele cautarii
Vedeti tot
Socialpop Socialpop Socialpop
Home
Grupuri
Pagini
Marketplace
Arata mai mult
Grupuri Pagini Marketplace Events Blogs Funding Offers Jobs Courses Forums Movies
Conecteaza-te
Conecteaza-te Inscrie-te
Theme Switcher
Night Mode
Director
Utilizatori
Postari
Pagini
Grupuri
Events
  • Buildneweden Ministry @sikilizaS
    2025-05-26 02:43:59 ·
    Sefania 1:15,17-18
    [15]Siku ile ni siku ya ghadhabu,
    Siku ya fadhaa na dhiki,
    Siku ya uharibifu na ukiwa,
    Siku ya giza na utusitusi,
    Siku ya mawingu na giza kuu,

    [17]Nami nitawaletea wanadamu dhiki, hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda BWANA dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama mavi.
    .
    [18]Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, ukomo wa kutisha.

    Siku ngumu sana siku ile kila mwanadamu atalipwa kadiri ya matendo yake .

    Siku ile inayozungumzwa hapo ni siku ya mwisho ambayo ipo katika nafasi tofauti siku ya kutwaliwa kwako kama ukutenda wema ni siku ya dhiki na giza kwako kwani hakuta hakuta kuwa na nafasi nyingine ya kutengeneza.

    Mungu hutoa nafasi ya kutengeneza mara moja tu ambayo ni kipindi uko hai matendo yako ndo ufunguo wa nuru yako au giza yako.

    Mwanadamu anajivunia fedha na uchumi wake au vitu vyake siku ile havita kuokoa badala yake utaviacha wakati wewe unaishi katika giza nene la kutisha na uku ukiteseka kuzimu kisha ukiusubiri moto.

    Mpokeee Yesu leo , tengeneza maisha yako kabla hii siku ya dhiki na uovu haijafika kwa maisha yako ili ukapumzike kifuani pa Ibrahimu umwakati ukisubiri ile siku kuu.

    Yoeli 2:3
    [3]Moto unakula mbele yao; na nyuma yao miali ya moto inateketeza; hiyo nchi inafanana na bustani ya Adeni mbele yao, na nyuma yao imekuwa jangwa tupu; naam, hakuna aliyeokoka asipatikane nao.

    Dhambi itasababisha nchi kuwa giza nene na kila mtu atalia kilio kikuu sababu tu ya uovu.

    Siku hiyo iko karibu mno badili maisha yako leo hii Yesu aingie kwako ili siku ile ya dhiki na giza Bwana awe msaada wako tele na upumzike kwa wema wako.

    Ufunuo wa Yohana 22:11
    [11]Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.

    Badilisha njia zako asubui hii na Yesu akupe kushinda sawa sawa na neno lake

    Ufunuo wa Yohana 16:15
    [15](Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)

    Shika sana ulicho nacho ndugu yangu usije ukaikosa mbingu.

    Tunza sana karama ns huduma yako usije ukaingia katika ile siku ya dhiki badala yako iwe siku ya ushindi.

    Ufunuo wa Yohana 22:12,14
    [12]Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.

    [14]Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.

    Zidi kujitakasa kila siku ili siku ile ikikute umefua na uko na mavazi safi kwa sjiri ya kwenda na Bwana.

    Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new ede )

    #build new eden
    #restore men position
    Sefania 1:15,17-18 [15]Siku ile ni siku ya ghadhabu, Siku ya fadhaa na dhiki, Siku ya uharibifu na ukiwa, Siku ya giza na utusitusi, Siku ya mawingu na giza kuu, [17]Nami nitawaletea wanadamu dhiki, hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda BWANA dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama mavi. . [18]Fedha yao wala dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku ile ya ghadhabu ya BWANA; bali nchi yote pia itateketezwa kwa moto wa wivu wake; maana atawakomesha watu wote wakaao katika nchi hii, naam, ukomo wa kutisha. Siku ngumu sana siku ile kila mwanadamu atalipwa kadiri ya matendo yake . Siku ile inayozungumzwa hapo ni siku ya mwisho ambayo ipo katika nafasi tofauti siku ya kutwaliwa kwako kama ukutenda wema ni siku ya dhiki na giza kwako kwani hakuta hakuta kuwa na nafasi nyingine ya kutengeneza. Mungu hutoa nafasi ya kutengeneza mara moja tu ambayo ni kipindi uko hai matendo yako ndo ufunguo wa nuru yako au giza yako. Mwanadamu anajivunia fedha na uchumi wake au vitu vyake siku ile havita kuokoa badala yake utaviacha wakati wewe unaishi katika giza nene la kutisha na uku ukiteseka kuzimu kisha ukiusubiri moto. Mpokeee Yesu leo , tengeneza maisha yako kabla hii siku ya dhiki na uovu haijafika kwa maisha yako ili ukapumzike kifuani pa Ibrahimu umwakati ukisubiri ile siku kuu. Yoeli 2:3 [3]Moto unakula mbele yao; na nyuma yao miali ya moto inateketeza; hiyo nchi inafanana na bustani ya Adeni mbele yao, na nyuma yao imekuwa jangwa tupu; naam, hakuna aliyeokoka asipatikane nao. Dhambi itasababisha nchi kuwa giza nene na kila mtu atalia kilio kikuu sababu tu ya uovu. Siku hiyo iko karibu mno badili maisha yako leo hii Yesu aingie kwako ili siku ile ya dhiki na giza Bwana awe msaada wako tele na upumzike kwa wema wako. Ufunuo wa Yohana 22:11 [11]Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa. Badilisha njia zako asubui hii na Yesu akupe kushinda sawa sawa na neno lake Ufunuo wa Yohana 16:15 [15](Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.) Shika sana ulicho nacho ndugu yangu usije ukaikosa mbingu. Tunza sana karama ns huduma yako usije ukaingia katika ile siku ya dhiki badala yako iwe siku ya ushindi. Ufunuo wa Yohana 22:12,14 [12]Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. [14]Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake. Zidi kujitakasa kila siku ili siku ile ikikute umefua na uko na mavazi safi kwa sjiri ya kwenda na Bwana. Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new ede ) #build new eden #restore men position
    Love
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·905 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Shakira Nantambalele @Miss_nantambalele2 a adăugat o fotografie
    2025-05-26 04:28:46 ·
    IDD AL ADHA
    CHARITY TOUR
    Awamu hii tutatembelea watoto wetu yatima siku ya tarehe 7/6/2025


    Activity
    1) KUPIKA
    2) Kula na kusherehekea idd nao
    2) Kupeleka zawadi (vifaa shule) na mavazi


    MAHITAJI
    MCHELE
    NYAMA
    MAFUTA
    SUKARI
    UNGA
    MAHARAGE
    NGANO

    :_ MADAFTARI
    UNFORM
    KALAM NA PENI
    BAGS NA RANGI



    ENEO (MBEZI MALAMBA MAWILI)
    KITUO : MACHO KWA JAMII


    NAMBA YA KUCHANGIA NA WHATSAPP
    0655987549
    MIXBYYAS
    MOZA MOHAMED

    KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI
    IDD AL ADHA CHARITY TOUR‼️ Awamu hii tutatembelea watoto wetu yatima siku ya tarehe 7/6/2025 Activity 1) KUPIKA 2) Kula na kusherehekea idd nao 2) Kupeleka zawadi (vifaa shule) na mavazi MAHITAJI MCHELE NYAMA MAFUTA SUKARI UNGA MAHARAGE NGANO :_ MADAFTARI UNFORM KALAM NA PENI BAGS NA RANGI ENEO (MBEZI MALAMBA MAWILI) KITUO : MACHO KWA JAMII NAMBA YA KUCHANGIA NA WHATSAPP 0655987549 MIXBYYAS MOZA MOHAMED KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI 📌
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·543 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Mysore Cab @mysorecab updated the profile picture
    2025-05-26 05:05:59 ·
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·235 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Mysore Cab @mysorecab a adăugat un sunet in Alte
    2025-05-26 05:15:08 ·
    Book Your Ride: Mysore to Coorg One Way Taxi for Hassle-Free Transfers
    Traveling from Mysore to Coorg is one of the most popular road journeys in Karnataka. Whether you're escaping into nature, heading to a cozy resort, or visiting family, the easiest way to make this trip stress-free is by booking a Mysore to Coorg one way taxi. It’s not just about convenience — it’s about saving time, money, and ensuring a comfortable experience from start to...
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·528 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-05-26 06:24:26 ·
    Matheus Cunha anatarajiwa kutia saini ndani ya wiki bio Old Trafford kwa mkataba wa miaka 5
    Fabrizio!
    ❤️🇧🇷 Matheus Cunha anatarajiwa kutia saini ndani ya wiki bio Old Trafford kwa mkataba wa miaka 5 Fabrizio! 🤩
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·152 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Sports Elite @baraka24 a adăugat o fotografie
    2025-05-26 06:29:12 ·
    𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Victor Lindelof anaondoka ndani ya viunga vya Old Trafford kama mchezaji huru

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Victor Lindelof anaondoka ndani ya viunga vya Old Trafford kama mchezaji huru #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·235 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Robin Sehgal @emilywilsonau updated the profile picture
    2025-05-26 06:55:40 ·
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·249 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Robin Sehgal @emilywilsonau
    2025-05-26 07:07:02 ·
    Make Your Big Day Unforgettable with iCanvas Booth!
    Looking for the best Wedding Photobooth Hire in Sydney? iCanvas Booth brings elegance, entertainment, and timeless memories to your wedding day with stylish photo booths, creative props, GIF and 360° video options, and stunning backdrops. Let your guests enjoy fun-filled moments they can take home instantly!

    iCanvas Booth
    9-11 Wollongong Rd, Arncliffe, NSW 2205
    468 568 044
    [email protected]
    https://icanvasbooth.com.au
    Monday – Friday: 9am – 8pm
    Saturday – Sunday: 10am – 2pm

    #WeddingPhotoboothHireSydney #iCanvasBooth #SydneyEvents #WeddingPhotoFun #360Booth #CaptureTheMoment #PhotoBoothSydney
    💍 Make Your Big Day Unforgettable with iCanvas Booth! Looking for the best Wedding Photobooth Hire in Sydney? 🎉 iCanvas Booth brings elegance, entertainment, and timeless memories to your wedding day with stylish photo booths, creative props, GIF and 360° video options, and stunning backdrops. Let your guests enjoy fun-filled moments they can take home instantly! 📍 iCanvas Booth 9-11 Wollongong Rd, Arncliffe, NSW 2205 📞 468 568 044 📧 [email protected] 🌐 https://icanvasbooth.com.au 🕘 Monday – Friday: 9am – 8pm 🕙 Saturday – Sunday: 10am – 2pm #WeddingPhotoboothHireSydney #iCanvasBooth #SydneyEvents #WeddingPhotoFun #360Booth #CaptureTheMoment #PhotoBoothSydney
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Paul Swai @paulswai a adăugat o fotografie
    2025-05-26 07:11:53 ·
    #paulswai
    #paulswai
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·676 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Salman Ansari @salmantalk2angel a adăugat un sunet in Health
    2025-05-26 08:07:42 ·
    How Can Occupational Therapy Improve Quality of Life for Seniors?
    As we age, daily tasks that once seemed simple can gradually become challenging. From getting dressed to preparing meals or even socializing, seniors may experience a decline in independence, mobility, and overall well-being. This is where occupational therapy (OT) steps in—a crucial yet often overlooked form of care that can significantly improve the quality of life for older adults....
    Wow
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·828 Views
    Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
  • Afiseaza (24451-24460 de 28884)
  • «
  • Anterior
  • 2444
  • 2445
  • 2446
  • 2447
  • 2448
  • Următor
  • »
Upgrade to Pro
Alege planul care ți se potrivește
Upgrade
© 2025 Socialpop
Romaian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
About Termeni Confidențialitate Contacteaza-ne Director Developers