• 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Leeds United imekamilisha usajili wa Sebastiaan Bornauw (26) kutoka Wolfsburg! Kwa Ada £5.13m...
    🚨🇧🇪 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Leeds United imekamilisha usajili wa Sebastiaan Bornauw (26) kutoka Wolfsburg! Kwa Ada £5.13m...
    0 Commentarios ·0 Acciones ·1 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid inatarajia kukamilisha uhamisho wa Álvaro Carreras’ mwezi huu...

    @TheAthleticFC

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid inatarajia kukamilisha uhamisho wa Álvaro Carreras’ mwezi huu... @TheAthleticFC #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·2 Views
  • 0 Commentarios ·0 Acciones ·1 Views
  • "its not over yet,,,Jotaaa.....its Diogo Jotaaa 4:3"

    Sio shabiki wa Liverpool lakini huwa nakumbuka sana hiyo comeback na kwenye maiki alikuwa Peter Dury.

    Rest in peace Diogo Jota now is over
    😭😭"its not over yet,,,Jotaaa.....its Diogo Jotaaa 4:3" Sio shabiki wa Liverpool lakini huwa nakumbuka sana hiyo comeback na kwenye maiki alikuwa Peter Dury. Rest in peace Diogo Jota now is over 👋
    0 Commentarios ·0 Acciones ·3 Views
  • Kiungo wazamani wa FC Barcelona na Sevilla za Hispania ametangaza kustafu Soka akiwa na Umri wa miaka 37, Barcelona na Sevilla ndizo club alizo cheza Kwa mafanikio .

    Tutamkumbuka Kwa kua kiungo pekee wa Barcelona Alie kua ana uthubutu wa kupiga Mashuti nje ya box Kwa Ile Barcelona ya Tick-Tack .


    #SportsElite
    🚨✅Kiungo wazamani wa FC Barcelona na Sevilla za Hispania ametangaza kustafu Soka akiwa na Umri wa miaka 37, Barcelona na Sevilla ndizo club alizo cheza Kwa mafanikio .✅ Tutamkumbuka Kwa kua kiungo pekee wa Barcelona Alie kua ana uthubutu wa kupiga Mashuti nje ya box Kwa Ile Barcelona ya Tick-Tack ☑️. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·2 Views
  • RIP
    🎯RIP😭😭
    0 Commentarios ·0 Acciones ·1 Views
  • #SportsElite

    - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..!
    .
    .
    - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! 🥹!
    .
    .

    …Endelea kupumzika, Diogo Jota. 🕊
    #SportsElite - Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji hatari wa klabu ya Inter Miami pamoja Nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina, Leo Messi.. kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram (@leomessi) ‘FIFA BOY’ ame-share picha ya Diogo Jota, ikiwa ni ishara ya KUGUSWA moja kwa moja na msiba huu mzito katika soka. Kudos Legend..! 🤝 . . - Hakika kwa kuondokewa na mtu kama Diogo Jota, itoshe kusema familia ya mpira tumepata pigo kubwa haswa! 🥹! . . …Endelea kupumzika, Diogo Jota. 🕊
    0 Commentarios ·0 Acciones ·11 Views
  • Real Madrid pamoja na Bayern Munich ilitumia dakika chache kabla ya mazoezi kuanzia ili kuenzi kifo cha Diogo Jota.
    🚨 Real Madrid pamoja na Bayern Munich ilitumia dakika chache kabla ya mazoezi kuanzia ili kuenzi kifo cha Diogo Jota. 🤍❤️
    0 Commentarios ·0 Acciones ·1 Views