Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?
Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! ⚪️
Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos.
#SportsElite

Endrick kutaka kuondoka Real Madrid?👀
📰 Ripoti kutoka COPE zasema kuwa kambi ya Endrick 🇧🇷 tayari imezungumza na uongozi wa Real Madrid kuhusu uwezekano wa kuondoka klabuni msimu huu wa joto! 😳⚪️
➡️ Mpaka sasa hakuna uamuzi rasmi uliochukuliwa, lakini hali inaonekana kuwa na sintofahamu juu ya nafasi yake ndani ya kikosi cha Los Blancos. ⏳🤍
#SportsElite
0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·3 Views