0 Reacties
·0 aandelen
·509 Views
-
Preston to Gatwick Airport Taxi | Reliable Airport Transfers – South Ribble Taxis
Book your Preston to Gatwick Airport taxi with South Ribble Taxis. Affordable rates, 24/7 service, and professional drivers for stress-free airport transfers. Visit us at https://www.southribbletaxis.co.uk/airport-taxi/preston-to-gatwick-airport-taxiPreston to Gatwick Airport Taxi | Reliable Airport Transfers – South Ribble Taxis Book your Preston to Gatwick Airport taxi with South Ribble Taxis. Affordable rates, 24/7 service, and professional drivers for stress-free airport transfers. Visit us at https://www.southribbletaxis.co.uk/airport-taxi/preston-to-gatwick-airport-taxi0 Reacties ·0 aandelen ·351 Views -
-
-
-
-
-
-
HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo.
Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.
#SportsElite🚨HERE WE GO! Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kinda mahiri kutoka Norway, Sverre Nypan, mwenye umri wa miaka 18. Licha ya kuwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa Ulaya, Nypan ameichagua City baada ya kuvutiwa na mpango wa maendeleo ya vijana wa klabu hiyo. 💰 Ada ya usajili inakadiriwa kufikia €15 milioni, ishara ya imani kubwa waliyonayo kwake. Usajili huu unaonekana kama uwekezaji wa muda mrefu kwa City huku wakitazamia kumkuza na kumwendeleza katika kiwango cha juu.✨ #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·335 Views -
Xavi Simons anatamani kurudi FC Barcelona.
Changamoto kwenye dili hilo ni ada yake ya uhamisho
(Source: @monfortcarlos)
#SportsElite🚨 Xavi Simons anatamani kurudi FC Barcelona. 💙❤️ Changamoto kwenye dili hilo ni ada yake ya uhamisho 💰 (Source: @monfortcarlos) #SportsElite0 Reacties ·0 aandelen ·173 Views