0 Commentaires
·0 Parts
·343 Vue
-
-
0 Commentaires ·0 Parts ·411 Vue
-
-
-
-
-
-
Tottenham inavutiwa na Illia Zabarnyi na wako tayari kuzungumza na Bournemouth na thamani yake ni €70M —
Lakini Zabarnyi ameipa kipaumbele PSG.
(Source: @DiMarzio)
#SportsElite🚨 Tottenham inavutiwa na Illia Zabarnyi na wako tayari kuzungumza na Bournemouth na thamani yake ni €70M — Lakini Zabarnyi ameipa kipaumbele PSG. 💰🤯 (Source: @DiMarzio) #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·277 Vue -
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens
Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5..
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens ❤️💛🇲🇦 Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5.. #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·337 Vue