• 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Noni Madueke kutoka Chelsea kwa ada ya £50M. Mkataba hadi 2030.

    (Source: Arsenal)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Noni Madueke kutoka Chelsea kwa ada ya £50M. Mkataba hadi 2030. (Source: Arsenal) #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·12 Views
  • Hata Kama wakiwa na pesa lakini hawawezi
    Hata Kama wakiwa na pesa lakini hawawezi
    0 Commenti ·0 condivisioni ·4 Views
  • Liverpool inaweza kumuuza Luis Diaz iwapo Bayern itafikia dau la £80M.

    Na Liverpool bado wako kwenye majadiliano na Rodrygo kama mbadala wake...

    (Source: talkSPORT)

    #SportsElite
    🚨 Liverpool inaweza kumuuza Luis Diaz iwapo Bayern itafikia dau la £80M. Na Liverpool bado wako kwenye majadiliano na Rodrygo kama mbadala wake... (Source: talkSPORT) #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·11 Views
  • CONFIRMED

    Sunderland imekamilisha usajili wa winga hatari wa kifaransa kutokea Sassuolo, Armand Lauriente mwenye umri wa miaka 26.

    Armand Lauriente amejiunga na miamba hiyo ya uingereza kwa ada ya uhamisho ya €20M.

    Sunderland wapo sokoni kuhemea

    #SportsElite
    CONFIRMED ✅ Sunderland imekamilisha usajili wa winga hatari wa kifaransa kutokea Sassuolo, Armand Lauriente mwenye umri wa miaka 26. Armand Lauriente amejiunga na miamba hiyo ya uingereza kwa ada ya uhamisho ya €20M. Sunderland wapo sokoni kuhemea✍️ #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·18 Views
  • West Bromwich Albion wamemsajili beki wa kati George Campbell kutoka CF Montreal kwa ada ya pauni milioni 1 (£1m).

    #SportsElite
    West Bromwich Albion wamemsajili beki wa kati George Campbell kutoka CF Montreal kwa ada ya pauni milioni 1 (£1m). #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·10 Views
  • RASMI:

    Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan.

    Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake.

    #SportsElite
    🔴🔵 RASMI: Genoa imemsajili kiungo Valentín Carboni(20) kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Inter Milan. ✍️📆 Nyota huyo chipukizi wa Argentina atakuwa sehemu ya kikosi cha Genoa kwa msimu wa 2025/26 ili kupata muda zaidi wa kucheza na kukuza kipaji chake. 🇦🇷🔥 #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·10 Views
  • BREAKING:

    Manchester United iko tayari kutuma ofa kwa golikipa wa Royal Antwerp Senne Lammens.

    Antwerp tayari wametoa thamani ya golikipa huyo ambayo ni £17M.
    🚨 BREAKING: Manchester United iko tayari kutuma ofa kwa golikipa wa Royal Antwerp Senne Lammens. Antwerp tayari wametoa thamani ya golikipa huyo ambayo ni £17M.
    0 Commenti ·0 condivisioni ·9 Views
  • Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi.

    Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025
    Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029

    Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo.

    Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025.
    Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa:

    Lionel Messi

    Jordi Alba

    Sergio Busquets

    Chanzo: GIVEMESPORT

    ---

    Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi.

    #SportsElite
    💣 Kutokana na “Sheria ya Beckham” – ambayo inaruhusu vilabu vya MLS (Major League Soccer) kusaini hadi wachezaji watatu walioko nje ya kiwango cha mshahara kilichowekwa (yaani wanaweza kulipwa zaidi au kusajiliwa kwa ada ya uhamisho) – Rodrigo De Paul atajiunga na Inter Miami kwa mkopo wa miezi 6, ukiambatana na kifungu cha lazima cha kumnunua kwa €15 milioni pamoja na bonasi. 🔹 Mkopo huo utaendelea hadi mwisho wa mwaka 2025 🔹 Kuanzia mwaka 2026, atakuwa mchezaji wa kudumu hadi mwaka 2029 🔹 Atlético Madrid watatumia kipengele cha kuongeza mkataba wa De Paul kwa mwaka mmoja hadi katikati ya 2027 ili kuwezesha mkopo huo. 🇦🇷🦩 ℹ️ Mpango uliopo kwa sasa, uliowasilishwa kwa MLS, ni kwamba De Paul hatakuwa mmoja wa wachezaji walioteuliwa kama “Designated Player (DP)” wakati wa mkopo mwaka 2025. Hii ina maana kuwa wachezaji watatu waliopo kwenye nafasi za DP katika Inter Miami watabaki kuwa: Lionel Messi Jordi Alba Sergio Busquets 🔗 Chanzo: GIVEMESPORT --- Hii ni dili kubwa kwa Inter Miami na inaonyesha jinsi wanavyoendelea kujenga kikosi chenye nguvu huku wakizingatia sheria za mshahara wa MLS kwa ustadi. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·19 Views
  • *RASMI:* Klabu ya Como imekamilisha taratibu zote za kumsajili Máximo Perrone kutoka Manchester City kwa mkataba wa kudumu.

    Ada ya uhamisho ni €13 milioni na mchezaji atasaini mkataba hadi Juni 2029.

    #SportsElite
    🔵🇦🇷 *RASMI:* Klabu ya Como imekamilisha taratibu zote za kumsajili Máximo Perrone kutoka Manchester City kwa mkataba wa kudumu. 📝 Ada ya uhamisho ni €13 milioni na mchezaji atasaini mkataba hadi Juni 2029. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·9 Views
  • Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi.

    Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi. Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa. #SportsElite
    0 Commenti ·0 condivisioni ·10 Views