0 التعليقات
·0 المشاركات
·142 مشاهدة
-
"This world needs more kindness,more smiles, and more people who lift other up""This world needs more kindness,more smiles, and more people who lift other up"0 التعليقات ·0 المشاركات ·253 مشاهدة
-
Manchester United imeripotiwa kuwasilisha ombi la kupata taarifa kuhusu mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Šeško, ambaye huenda akaondoka katika klabu hiyo msimu huu.
#SportsEliteManchester United imeripotiwa kuwasilisha ombi la kupata taarifa kuhusu mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Šeško, ambaye huenda akaondoka katika klabu hiyo msimu huu. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·170 مشاهدة -
mabadiilishano ni mazuri jackson na Aradibioyo siyo mbaya kwa Aston Villa wakimuachia Morgan
#SportsElitemabadiilishano ni mazuri jackson na Aradibioyo siyo mbaya kwa Aston Villa wakimuachia Morgan #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·181 مشاهدة -
Rasmi club ya As Roma wamekamilisha usajili wa straiker wa Brighton Albion ya Uingereza Evan Ferguson
#SportsEliteRasmi club ya As Roma wamekamilisha usajili wa straiker wa Brighton Albion ya Uingereza Evan Ferguson #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·172 مشاهدة -
AS Roma imemsajili kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens kwa dau la €23 milioni. Mchezaji huyo atavaa jezi nambari 8.
#SportsEliteAS Roma imemsajili kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens kwa dau la €23 milioni. Mchezaji huyo atavaa jezi nambari 8. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·129 مشاهدة -
Kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya stoke city kipindi cha kwanza pekee kimetosha Kwa Nunez kufunga Hat-trick 8',12',14'.
#SportsEliteKwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya stoke city kipindi cha kwanza pekee kimetosha Kwa Nunez kufunga Hat-trick 8',12',14'. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·154 مشاهدة -
Marcus Rashford ameanza safari kuelekea Spain kukamilisha taratibu zote za uhamisho wake kujiunga na Fc Barcelona.
Rashford
#SportsEliteMarcus Rashford ameanza safari kuelekea Spain kukamilisha taratibu zote za uhamisho wake kujiunga na Fc Barcelona. Rashford ✈️ #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·241 مشاهدة -
0 التعليقات ·0 المشاركات ·361 مشاهدة
-