0 Kommentare
·0 Anteile
·4 Ansichten
-
𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Leeds United imekamilisha usajili wa golikipa Lucas Perri kutoka Lyon.
Ada ya €18M.
Mkataba 2029.
(Source: Leeds United)
#SportsElite📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Leeds United imekamilisha usajili wa golikipa Lucas Perri kutoka Lyon. 🔸 Ada ya €18M. 🔸 Mkataba 2029. (Source: Leeds United) #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·6 Ansichten -
Kuachana pombe sio shida kabisa issue, tunamuachia nani??Kuachana pombe sio shida kabisa issue, tunamuachia nani?? 🤣🤣0 Kommentare ·0 Anteile ·2 Ansichten
-
Everton Football Club inapanga kumsajili beki wa kati wa Adam Aznou kutoka Bayern Munich.
Ada ya uhamisho €9M na nyongeza ya €3M..
(Source: Paddy Boyland
#SportsElite🚨 Everton Football Club inapanga kumsajili beki wa kati wa Adam Aznou kutoka Bayern Munich. Ada ya uhamisho €9M na nyongeza ya €3M.. (Source: Paddy Boyland #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·5 Ansichten -
RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo.
Klabu ya Göztepe inahitaji €25M.
Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo..
(Source: @Plettigoal & @philipphinze24)
#SportsElite🚨 RB Leipzig imefikia makubaliano na mshambuliaji Romulo. Klabu ya Göztepe inahitaji €25M. Pamoja na hayo RB Leipzig inatarajia kumuuza Benjamin Sesko kwanza kabla ya kufanya uhamisho huo.. (Source: @Plettigoal & @philipphinze24) #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·7 Ansichten -
-