• Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott.

    Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott....

    (Source: Sun Sport)

    #SportsElite
    🚨 Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott. Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott.... (Source: Sun Sport) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·79 Просмотры
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Yoane Wissa huwenda akaukosa mchezo wa ufunguzi wa Premier League kati ya Brentford na Nottingham Forest after baada ya kutaka kuondoka klabuni hapo..

    (Source: BBC Sport)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Yoane Wissa huwenda akaukosa mchezo wa ufunguzi wa Premier League kati ya Brentford na Nottingham Forest after baada ya kutaka kuondoka klabuni hapo.. ❌ (Source: BBC Sport) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·66 Просмотры
  • Vilabu vya Aston Villa, Chelsea, Newcastle United na Tottenham vinahusishwa na kumsajili Rico Lewis lakini huwenda kaongeza mkataba mpya Manchester City.

    (Source: ManCityNews)

    #SportsElite
    🚨Vilabu vya Aston Villa, Chelsea, Newcastle United na Tottenham vinahusishwa na kumsajili Rico Lewis lakini huwenda kaongeza mkataba mpya Manchester City. (Source: ManCityNews) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·48 Просмотры
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Huwenda Marcus Rashford asicheze kwenye mchezo wa ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorcais kutokana bado hajasajiriwa kwenye mfumo unao watambua wachezaji wa timu flani..

    (Source: MARCA)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚:Huwenda Marcus Rashford asicheze kwenye mchezo wa ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorcais kutokana bado hajasajiriwa kwenye mfumo unao watambua wachezaji wa timu flani.. (Source: MARCA) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·63 Просмотры
  • Newcastle United tayari wamefikia makubaliano ya £45M dhidi ya Aston Villa ili kumsajiri Jacob Ramsey.

    £38M na nyongeza £5M zaidi

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Newcastle United tayari wamefikia makubaliano ya £45M dhidi ya Aston Villa ili kumsajiri Jacob Ramsey. £38M na nyongeza £5M zaidi (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·54 Просмотры
  • | BREAKING: Barcelona wanahaha kuhakikisha kuwa Joan Garcia na Marcus Rashford wamesajiliwa kwa wakati kabla ya mechi yao ya ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorca !

    #SportsElite
    🚨🚨 | BREAKING: Barcelona wanahaha kuhakikisha kuwa Joan Garcia na Marcus Rashford wamesajiliwa kwa wakati kabla ya mechi yao ya ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorca ! 🔥 #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·67 Просмотры
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester United imefungua mazungumzo na Brighton juu ya uwezekano wa kumpata Baleba!!

    (@JacobsBen)

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester United imefungua mazungumzo na Brighton juu ya uwezekano wa kumpata Baleba!! (@JacobsBen) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·65 Просмотры
  • Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita.

    Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana.

    Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita. Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana. Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    0 Комментарии ·0 Поделились ·103 Просмотры
  • 0 Комментарии ·0 Поделились ·5 Просмотры
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kombe la UEFA Super Cup sasa linaenda kuwa la Timu nne na kipute hicho kitapigwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati au Marekani,
    inaripoti Telegraph.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kombe la UEFA Super Cup sasa linaenda kuwa la Timu nne na kipute hicho kitapigwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati au Marekani, inaripoti Telegraph. 🏆👀 #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·72 Просмотры