• 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham imemujumulisha Richarlison kama ofa ya kumpata Eberechi Eze wa Brentford pamoja na Yoane Wissa.. according to @CraigHope_DM

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham imemujumulisha Richarlison kama ofa ya kumpata Eberechi Eze wa Brentford pamoja na Yoane Wissa.. according to @CraigHope_DM #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·80 Ansichten
  • Fans wa Spurs tujuane.....
    Fans wa Spurs tujuane.....
    0 Kommentare ·0 Anteile ·68 Ansichten
  • "tunayo furaha na kuwa habarisha kuwa Cristian Romero ameongeza mkataba mpya kusalia White Heart"
    "tunayo furaha na kuwa habarisha kuwa Cristian Romero ameongeza mkataba mpya kusalia White Heart" ✍️
    0 Kommentare ·0 Anteile ·383 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·123 Ansichten
  • Klabu ya Yanga imetangaza rasmi tarehe ya siku ya kilele cha Wananchi ambapo itakuwa ni Semptemba 12 mwezi ujao ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

    #SportsElite
    Klabu ya Yanga imetangaza rasmi tarehe ya siku ya kilele cha Wananchi ambapo itakuwa ni Semptemba 12 mwezi ujao ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·268 Ansichten
  • Jorgen Strand-Larsen ametajwa kuwa kwenye tageti ya klabu ya Newcastle United

    Mshambuliaji huyo raia wa Norway anatazamiwa kuwa mrithi wa Alexander Isac anayetarajiwa kutimka klabuni hapo

    #SportsElite
    🚨🚨Jorgen Strand-Larsen ametajwa kuwa kwenye tageti ya klabu ya Newcastle United 🙌 Mshambuliaji huyo raia wa Norway 🇳🇴 anatazamiwa kuwa mrithi wa Alexander Isac 🇸🇪 anayetarajiwa kutimka klabuni hapo 🙌 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·128 Ansichten
  • CHAN
    CHAN
    0 Kommentare ·0 Anteile ·57 Ansichten
  • USAJILI

    #CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki.

    Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja.

    #SportsElite
    USAJILI 🚨#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki. Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·355 Ansichten
  • Pichani ni Luis Javier Suarez mshambuliaji mpya wa Sporting Lisbon aliesajiliwa pale kama mbadala wa Victor Gyokeres alietimkia Arsenal.

    Suarez ameendeleza pale pale alipoishia Gyokeres akiwa na Lisbon na jana kwenye ushindi wa goli 6 walioupata ametupia kamba 2 na kufungua njia yake ya magoli rasmi.

    Kifupi tu ni kuwa Sporting Lisbon hawajapata hasara kwenye dili la Gyokeres na saizi hawapokei simu za watu wanakula mafao ya Gyokeres kwanza.

    #SportsElite
    🚨🚨Pichani ni Luis Javier Suarez mshambuliaji mpya wa Sporting Lisbon aliesajiliwa pale kama mbadala wa Victor Gyokeres alietimkia Arsenal. Suarez ameendeleza pale pale alipoishia Gyokeres akiwa na Lisbon na jana kwenye ushindi wa goli 6 walioupata ametupia kamba 2 na kufungua njia yake ya magoli rasmi. Kifupi tu ni kuwa Sporting Lisbon hawajapata hasara kwenye dili la Gyokeres na saizi hawapokei simu za watu wanakula mafao ya Gyokeres kwanza. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·227 Ansichten
  • Mshambuliaji wa Atalanta Ademola Lookman amerudi kwenye uwanja wa mazoezi katika klabu yake ya Atalanta baada ya dili lake la kwenda Inter Milan kufeli.

    Mnigeria huyo alitaka kujiunga na Inter lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa na Atalanta, hivyo hatua hiyo imeshindikana.

    Lookman sasa amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Atalanta na itabidi azungumze na klabu na kocha kurekebisha uhusiano uliokuwepo hapo awali kwani aligomea mazoezi akishinikiza kuondoka klabuni hapo.

    (Chanzo Sky Sport)


    #SportsElite
    🚨🔵⚪Mshambuliaji wa Atalanta Ademola Lookman amerudi kwenye uwanja wa mazoezi katika klabu yake ya Atalanta baada ya dili lake la kwenda Inter Milan kufeli. Mnigeria huyo alitaka kujiunga na Inter lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa na Atalanta, hivyo hatua hiyo imeshindikana. ❌ Lookman sasa amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Atalanta na itabidi azungumze na klabu na kocha kurekebisha uhusiano uliokuwepo hapo awali kwani aligomea mazoezi akishinikiza kuondoka klabuni hapo. (Chanzo Sky Sport) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·183 Ansichten