• Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka

    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.

    Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.

    Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.

    Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.

    🚨Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
    0 Комментарии ·0 Поделились ·579 Просмотры
  • ...Mshambuliaji wa Zambia Andrew Phiri (24) amekamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu ya *Singida Black Stars* kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea *FC Muza*.

    #SportsElite
    ✍️...Mshambuliaji wa Zambia Andrew Phiri (24) amekamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu ya *Singida Black Stars* kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea *FC Muza*. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·259 Просмотры
  • RASMI

    Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli.

    Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo.

    #SportsElite
    RASMI ✍️ Fainali ya Saudi Arabia super cup itakuwa ni kati ya Al Nasr dhidi ya Al Ahli. Al Nasr alifanikiwa kumuondoa Al ittihad kwenye mchezo wa nusu fainali huku Al Ahli akimuondoa Al Qadsiah hii Leo. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·260 Просмотры
  • Life is a game, just play to win
    Life is a game, just play to win ▶️
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·230 Просмотры
  • USAJILI MPYA: SINGIDA YAMSIGN KIUNGO IDRISS DIOMANDÉ 🇨🇮

    Singida Black Stars imethibitisha kumsajili kiungo Idriss Diomandé kutoka Zoman FC ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu.

    Diomandé tayari amejiunga na kikosi cha timu hiyo na ameanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 akiwa sehemu ya mipango ya kocha kwa msimu ujao.

    #SportsElite
    🔁 USAJILI MPYA: SINGIDA YAMSIGN KIUNGO IDRISS DIOMANDÉ 🇨🇮 Singida Black Stars 🇹🇿 imethibitisha kumsajili kiungo Idriss Diomandé kutoka Zoman FC ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka mitatu. Diomandé tayari amejiunga na kikosi cha timu hiyo na ameanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 akiwa sehemu ya mipango ya kocha kwa msimu ujao.✅ #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·271 Просмотры
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Villarreal imefikia makubaliano na Renato Veiga kutoka Chelsea

    Tayari Renato amekubali kujiunga Villarreal kwa ada ya €29.5M pamoja na bonasi kwa ujumla... ⭐️

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Villarreal imefikia makubaliano na Renato Veiga kutoka Chelsea 💛🧨 Tayari Renato amekubali kujiunga Villarreal kwa ada ya €29.5M pamoja na bonasi kwa ujumla... ⭐️🇵🇹 #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·148 Просмотры
  • Get up no body cares, Until you win
    Get up no body cares, Until you win 💪
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·193 Просмотры
  • Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc dhidi ya Al-Zulfi SFC ya nchini Saudia umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣.

    Goli la Simba limefungwa mapema kipindi cha kwanza na kiungo Jean Ahoua kwa faulo ya moja kwa moja.

    #SportsElite
    🚨🚨Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc dhidi ya Al-Zulfi SFC ya nchini Saudia umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣. Goli la Simba limefungwa mapema kipindi cha kwanza na kiungo Jean Ahoua kwa faulo ya moja kwa moja. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·261 Просмотры
  • UPADATE: Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.

    Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.

    #SportsElite
    🚨🚨UPADATE: Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida. Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·191 Просмотры
  • Nusu fainali CHAN.

    The #TotalEnergiesCHAN2024 Quarter-finals are locked in!

    Purchase your tickets here shorturl.at/h8NMe
    Nusu fainali CHAN. 🤩 The #TotalEnergiesCHAN2024 Quarter-finals are locked in! 🔒 Purchase your tickets here 👉 shorturl.at/h8NMe
    0 Комментарии ·0 Поделились ·167 Просмотры