• 0 Commentarii 0 Distribuiri 8 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    馃毃 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 4 Views
  • Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea.

    Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United .

    (Source: Fabrizio Romano)

    #SportsElite
    馃毃 Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea. Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United . (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 3 Views
  • Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.

    (Source: Daily Mail Sport)

    #SportsElite
    馃毃 Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 6 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz
    Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake

    #SportsElite
    馃毃 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊 Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 7 Views
  • AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho.


    (Source: La Gazzetta dello Sport)

    #SportsElite
    馃毃 AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho. (Source: La Gazzetta dello Sport) #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 3 Views
  • BREAKING

    Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.

    Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.

    Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.

    Mkataba uheshimiwe

    Source {David Ornstein}.

    #SportsElite
    馃毃 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe馃槄 Source {David Ornstein}. #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 7 Views
  • VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending.

    The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer.

    (Source: Mirror Football)
    馃毃 VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending. The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer. (Source: Mirror Football)
    0 Commentarii 0 Distribuiri 10 Views
  • Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana...

    Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa.

    Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji.

    Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao

    #SportsElite
    馃毃馃毃Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana... Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa. Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji. Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao 馃搶 #SportsElite
    0 Commentarii 0 Distribuiri 9 Views
  • Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka

    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.

    Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.

    Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.

    Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.

    馃毃Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
    0 Commentarii 0 Distribuiri 9 Views