0 Commentaires
·0 Parts
·8 Vue
-
đđ„đđđđđĄđ: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .
(Source: Sky Sports)
#SportsEliteđš đđ„đđđđđĄđ: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·4 Vue -
Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea.
Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United .
(Source: Fabrizio Romano)
#SportsEliteđš Alejandro Garnacho anahitaji kujiunga na Chelsea. Na tayari hayuko kwenye mipango ya Meneja wa Manchester United . (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·3 Vue -
Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.
(Source: Daily Mail Sport)
#SportsEliteđš Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·6 Vue -
đđđđđđđđ Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz
Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake
#SportsEliteđš đđđđđđđđ Mshambuliaji wa Arsenal Kai Havertz Atakuwa njee kwa muda usiojulikana kwa jeraha la Goti. Arsenal inaingia sokoni kutafuta mbadala wake #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·7 Vue -
AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho.
(Source: La Gazzetta dello Sport)
#SportsEliteđš AS Roma wako tayari kutoa £7.8M kwa mwaka kama mshahara wa Jadon Sancho. (Source: La Gazzetta dello Sport) #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·3 Vue -
BREAKING
Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.
Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.
Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.
Mkataba uheshimiwe
Source {David Ornstein}.
#SportsEliteđš BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiweđ Source {David Ornstein}. #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·7 Vue -
VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending.
The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer.
(Source: Mirror Football)đš VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending. The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer. (Source: Mirror Football)0 Commentaires ·0 Parts ·10 Vue -
Napoli wanasajili kwa akili kubwa sana...
Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa.
Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji.
Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao
#SportsEliteđšđšNapoli wanasajili kwa akili kubwa sana... Baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kwamba Lukaku hatokuwa sehemu ya kikosi hadi mwezi November kwa sababu ya majeraha, Napoli wamemuibukia Jamie Vardy ambaye ni mchezaji huru kwa sasa. Kama dili litakamilika naona hapa Napoli watakuwa wamepata mbadala sahihi kwa kipindi hiki cha mpito ukizingatia hata Vardy ana ufanisi mkubwa sana kwenye umaliziaji. Sasa upande KDB af McTomminay na Zambo Anguissa hapo basi akiongezeka Vardy wanaweza kuwa na timu imara ya kupambana kuwania taji la Scudetto tena msimu ujao đ #SportsElite0 Commentaires ·0 Parts ·9 Vue -
Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka
Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.
Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.
Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.
Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
đšVan Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.0 Commentaires ·0 Parts ·9 Vue