0 Kommentare
·0 Anteile
·2 Ansichten
-
Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam....
Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda....
Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF...
#SportsElite🚨🚨Gori Keeper Mpya wa Azam FC Issa Fofana na Beki wa Kati Zitoun Tayeb tayari wamejiunga na Kikosi cha Azam.... Wachezaji hao wameanza mazoezi ya peke yao kabra ya kujumuika na wenzao huko Rwanda.... Azam FC wenyewe wanakwambia msimu ujao 2025/2026 watakayekutananaye itakuwa ni mali yao🤣 kwa maana kikosi walichonacho si cha kutwaa ubingwa wa LIGI tu bali wanautaka hata ubingwa wa CAF... #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·12 Ansichten -
Marseille inavutiwa na usajili wa Kostas Tsimikas, ambae anatarajiwa kuondoka Liverpool dilisha hili.
(Source: Foot Mercato)
#SportsElite🚨 Marseille inavutiwa na usajili wa Kostas Tsimikas, ambae anatarajiwa kuondoka Liverpool dilisha hili. 💙🤍 (Source: Foot Mercato) #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·11 Ansichten -
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka.
Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo.
(Source: x/JacobsBen)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Juventus imefanya mazungumzo na Chelsea kumsajili Carney Chukwuemeka. Blues wanahitaji uhamisho wa jumla na sio mkopo. (Source: x/JacobsBen) #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·12 Ansichten -
MICHAEL OWEN KUHUSU METHIUS CUNHA
"Swali langu pekee juu ya Cunha ni tabia yake. Alipewa kadi nyekundu mara nyingi, anarusha sana mikono, na tayari una mtu kama huyo ambaye ni Bruno Fernandes. Labda kuwa Man United, kuwa katika klabu kubwa kama hii, inaweza kumuongezea Cunha kuwa na baadhi ya tabia mbaya zingine."
#SportsElite🚨🚨MICHAEL OWEN KUHUSU METHIUS CUNHA "Swali langu pekee juu ya Cunha ni tabia yake. Alipewa kadi nyekundu mara nyingi, anarusha sana mikono, na tayari una mtu kama huyo ambaye ni Bruno Fernandes. Labda kuwa Man United, kuwa katika klabu kubwa kama hii, inaweza kumuongezea Cunha kuwa na baadhi ya tabia mbaya zingine." #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·11 Ansichten -
-
-
-
0 Kommentare ·0 Anteile ·2 Ansichten
-
0 Kommentare ·0 Anteile ·2 Ansichten