0 Kommentare
·0 Anteile
·62 Ansichten
-
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe.
Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena
Source Mike Keagan
#SportsElite🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe. Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena Source Mike Keagan #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·278 Ansichten -
-
OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.
#SportsElite🚨 OFFICIAL - Klabu y Bournemouth imethibitisha kukamilisha usajili Amine Adli kutoka Leverkusen kwa ada ya £29m na mkataba hadi June 20230.🇲🇦🔴 #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·203 Ansichten -
BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..
Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.
Source Fabrizio Romano
#SportsElite🏴🚨 BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·516 Ansichten -
Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032
Source Fabrizio Romano
#SportsElite🚨 Winga wa Brighton Julio Enciso sasa yuko njiani kuelekea Uingereza kukamilisha usajili wa kujiunga na BlueCo kisha msimu ujao atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2031 na nyongeza hadi June 2032 Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·230 Ansichten -
Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.
Source Cahe Mota.
#SportsElite🚨 Tottenham sasa wako tayari kuwasilisha ofa mpya ya £80m kwa Manchester City ili kumsajili Savinho.💰 Source Cahe Mota. #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·126 Ansichten -
OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne.
Source Sky Sports
#SportsElite🚨 OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne. Source Sky Sports #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·284 Ansichten -
Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030.
Source Sacha Tavolieri
#SportsElite🚨Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030. Source Sacha Tavolieri #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·439 Ansichten -
𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea
Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.
Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.
Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego
Source Fabrizio Romano
#SportsElite🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea 🚨Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite0 Kommentare ·0 Anteile ·390 Ansichten