• Barcelona imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba kiungo wao #Frenkie_de_Jong, ambaye mkataba wake wa sasa unaisha mwaka 2026.
    Mchezaji huyo sasa anawakilishwa na wakala mpya na tayari amekutana na Deco kuzungumzia mustakabali wake. Klabu inataka kumpa nyongeza ya miaka miwili na chaguo la mwaka wa tatu, ingawa masharti ya kifedha ndiyo yatakayotoa mwelekeo wa mwisho.
    De Jong anaungwa mkono na rais Joan Laporta na kocha #Hansi Flick, jambo linaloonyesha nia ya kumweka Camp Nou kwa muda mrefu zaidi.

    Kifupi: Barça inataka kuongeza mkataba wa De Jong hadi baada ya 2026, na pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea pamoja.


    #SportsElite
    馃毃馃毃Barcelona imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba kiungo wao #Frenkie_de_Jong, ambaye mkataba wake wa sasa unaisha mwaka 2026. Mchezaji huyo sasa anawakilishwa na wakala mpya na tayari amekutana na Deco kuzungumzia mustakabali wake. Klabu inataka kumpa nyongeza ya miaka miwili na chaguo la mwaka wa tatu, ingawa masharti ya kifedha ndiyo yatakayotoa mwelekeo wa mwisho. De Jong anaungwa mkono na rais Joan Laporta na kocha #Hansi Flick, jambo linaloonyesha nia ya kumweka Camp Nou kwa muda mrefu zaidi. Kifupi: Barça inataka kuongeza mkataba wa De Jong hadi baada ya 2026, na pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea pamoja. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 6 Views
  • 饾棗饾棙饾棓饾棢 饾棗饾棦饾棥饾棙: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt.

    Kwa ada €1M.

    (Source: Paris FC)

    #SportsElite
    馃摑 饾棗饾棙饾棓饾棢 饾棗饾棦饾棥饾棙: Paris FC imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa PSG Trapp kutoka Eintracht Frankfurt. Kwa ada €1M. 馃Г馃嚛馃嚜 (Source: Paris FC) #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 9 Views
  • Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini?

    Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake.

    Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili.

    Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana

    #SportsElite
    馃毃馃毃Kuna asilimia nyingi za Marc Casado kuondoka Barcelona Kwanini? Barca inabanwa na sheria ya matumizi ya pesa nyingi hivyo kuondoka kwa Casado kutawapa Barca angalau ahueni kwenye sajili zake. Vilabu vya Como, Wolves na Real Betis vimeonesha nia ya kumsajili. 鉁嶏笍Isingekuwa hii sheria Barca wangekuwa na kikosi kimoja hatari sana馃 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 19 Views
  • Kambi ya Victor Boniface iko njiani kuelekea Italy Leo ili kufanya mazungumzo na AC Milan.

    Tayari AC Milan imekwisha kubaliana na Bayer Leverkusen na dili litagharimu €30M endapo watamnunua kabsa .

    (Source:
    @FabrizioRomano
    )

    #SportsElite
    馃毃 Kambi ya Victor Boniface iko njiani kuelekea Italy Leo ili kufanya mazungumzo na AC Milan. Tayari AC Milan imekwisha kubaliana na Bayer Leverkusen na dili litagharimu €30M endapo watamnunua kabsa . (Source: @FabrizioRomano ) #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 8 Views
  • Wachezaji wenye magoli na Assist Nyingi Karne ya 21

    Lionel Messi – 1264
    Cristiano Ronaldo – 1196
    Robert Lewandowski – 841
    Luis Suarez – 836
    Zlatan Ibrahimovic – 726
    Karim Benzema – 689
    馃毃馃毃Wachezaji wenye magoli na Assist Nyingi Karne ya 21 馃敟 馃嚘馃嚪 Lionel Messi – 1264 馃嚨馃嚬 Cristiano Ronaldo – 1196 馃嚨馃嚤 Robert Lewandowski – 841 馃嚭馃嚲 Luis Suarez – 836 馃嚫馃嚜 Zlatan Ibrahimovic – 726 馃嚝馃嚪 Karim Benzema – 689
    0 Comments 0 Shares 14 Views
  • Robert Lewandowski anatimiza miaka 37
    馃毃Robert Lewandowski anatimiza miaka 37
    0 Comments 0 Shares 6 Views
  • | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita.

    Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo.
    Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji .

    Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny

    Via (): @alexlunafut [MD]

    #FCBlive #Transfers

    #SportsElite
    馃毃馃嚜馃嚫 | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita. 馃數馃敶 Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo. 馃挵 Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji . 馃憠 Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny 馃搸 Via (馃煝): @alexlunafut [MD] #FCBlive #Transfers #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 12 Views
  • Liverpool FC inaendelea kuisisitiza Real Madrid haitaweza kumuuza beki wake Ibrahima Konaté chini ya kiasi cha €50M.

    (Source: AS)

    #SportsElite
    馃毃 Liverpool FC inaendelea kuisisitiza Real Madrid haitaweza kumuuza beki wake Ibrahima Konaté chini ya kiasi cha €50M. (Source: AS) #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 9 Views
  • 0 Comments 0 Shares 2 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe.

    Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena

    Source Mike Keagan

    #SportsElite
    馃毃饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe. Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena Source Mike Keagan #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 13 Views