BREAKING: Mazungumzo sasa yapo keenye hatua za juu kati ya Man United na Napoli kwa mkataba wa mkopo na ada ya mkopo yenye thamani ya € 5m pamoja na chaguo la € 45m kununua.
Napoli wako tayari kulipa mshahara mzima wa Rasmus Højlund.
Napoli inaamini kushiriki kwao Ligi ya Mabingwa kunaweza kumshawishi Højlund kujiunga nao.
Source the athletic
#SportsElite

🚨 BREAKING: Mazungumzo sasa yapo keenye hatua za juu kati ya Man United na Napoli kwa mkataba wa mkopo na ada ya mkopo yenye thamani ya € 5m pamoja na chaguo la € 45m kununua.
Napoli wako tayari kulipa mshahara mzima wa Rasmus Højlund.
Napoli inaamini kushiriki kwao Ligi ya Mabingwa kunaweza kumshawishi Højlund kujiunga nao.
Source the athletic
#SportsElite
0 Comments
·0 Shares
·4 Views