0 Comments
·0 Shares
·1 Views
-
🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Man City bado inafikiria RODRYGO… iwapo Savinho ataondoka 👀🇧🇷 #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·2 Views
-
Moja ya mafundi wa Kibrazil Walioyeyuka Ghafla
Philippe Coutinho na Thiago Alcântara walitazamwa kama almasi za kisasa kwenye soka wenye vipaji vya kipekee, akili ya uwanjani na mguso wa hatari. Waliwahi kung'aa Ulaya kwa kiwango kikubwa, lakini ghafla moto wao ukapoa.
Coutinho alizimika Barcelona, Thiago akaelemewa na majeraha Liverpool. Sasa, wanabaki kuwa kumbukumbu tamu za vipaji vilivyo kadiliwa makubwa lakini vikatoweka kabla ya wakati.
Nadhani Coutinho mnalijua kosa lake
#SportsElite🚨🚨Moja ya mafundi wa Kibrazil Walioyeyuka Ghafla ✊🇧🇷 🌀Philippe Coutinho na Thiago Alcântara walitazamwa kama almasi za kisasa kwenye soka wenye vipaji vya kipekee, akili ya uwanjani na mguso wa hatari. Waliwahi kung'aa Ulaya kwa kiwango kikubwa, lakini ghafla moto wao ukapoa. Coutinho alizimika Barcelona, Thiago akaelemewa na majeraha Liverpool. Sasa, wanabaki kuwa kumbukumbu tamu za vipaji vilivyo kadiliwa makubwa lakini vikatoweka kabla ya wakati. 💔✨ Nadhani Coutinho mnalijua kosa lake 😀 #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·5 Views -
Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote... Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu
Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani🌀Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote...✊ Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu😀 Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani ❔❓😀0 Comments ·0 Shares ·7 Views -
-
Tottenham Hotspur imeonesha nia ya kumuhitaji Piero Hincapié leave) wa Bayer Leverkusen.
Leverkusen wanahitaji ofa ya €60M kumuachia mchezaji huyo.
(Source: Florian Plettenberg)
#SportsElite🚨Tottenham Hotspur imeonesha nia ya kumuhitaji Piero Hincapié leave) wa Bayer Leverkusen. Leverkusen wanahitaji ofa ya €60M kumuachia mchezaji huyo. (Source: Florian Plettenberg) #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·6 Views -
-
0 Comments ·0 Shares ·3 Views
-
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wolverhampton Wanderers imetuma ofa ya €20m kwa Getafe ikimuhitaji Christantus Uche, na uhamisho huo unaweza ukakamilika siku za hivi usoni.
#SportsElite🚨🇳🇬💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wolverhampton Wanderers imetuma ofa ya €20m kwa Getafe ikimuhitaji Christantus Uche, na uhamisho huo unaweza ukakamilika siku za hivi usoni. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·3 Views -
Golikipa wa Paris Saint-Germain Gianluigi Donnarumma tayari amefikia makubaliano binafsi ya mkataba na Manchester City,
na tayari mazungumzo ya Vilabu yanaendelea..
(Source: Fabrizio Romano)
#SportsElite🚨Golikipa wa Paris Saint-Germain Gianluigi Donnarumma tayari amefikia makubaliano binafsi ya mkataba na Manchester City, na tayari mazungumzo ya Vilabu yanaendelea.. (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·3 Views