• 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Chelsea imefikia makubaliano ya kumsaini Alejandro Garnacho kutoka Man United!

    Garnacho ili hitaji kwenda Chelsea na atasaini miaka 7 kwa ada ya £40m 🤝🏻⚡️

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Chelsea imefikia makubaliano ya kumsaini Alejandro Garnacho kutoka Man United! 💙💣 Garnacho ili hitaji kwenda Chelsea na atasaini miaka 7 kwa ada ya £40m 🤝🏻⚡️🇦🇷 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·1 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Betis iko kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajiri wa Antony kutoka Manchester United

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Betis iko kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajiri wa Antony kutoka Manchester United 🇧🇷🟢 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·3 Ansichten
  • UCL
    UCL
    0 Kommentare ·0 Anteile ·2 Ansichten
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Newcastle United iko kwenye hatua nzuri zaidi ili kukamilisha uhamisho wa Fermín López kutoka Barcelona.

    Newcastle wako tayari kutoa kiasi cha €100M [£86M].

    (Source: Jose Alvarez)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Newcastle United iko kwenye hatua nzuri zaidi ili kukamilisha uhamisho wa Fermín López kutoka Barcelona. Newcastle wako tayari kutoa kiasi cha €100M [£86M]. (Source: Jose Alvarez) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·0 Ansichten
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Crystal Palace kwa mara ya kwanza inatinga Conference League!

    Palace wataanzia ngazi hatua rasmi European competition.

    #SportsElite
    🚨🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Crystal Palace kwa mara ya kwanza inatinga Conference League! 🔴🔵 Palace wataanzia ngazi hatua rasmi European competition. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·0 Ansichten
  • Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza

    Chelsea
    Paris Saint-Germain
    Eintracht Frankfurt
    Club Brugge
    Olympiacos
    Slavia Prague
    Copenhagen
    Newcastle

    Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu .

    #SportsElite
    🚨Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza ❤️💙 🔥 ✈️ Chelsea 🏠 Paris Saint-Germain 🏠 Eintracht Frankfurt ✈️ Club Brugge 🏠 Olympiacos ✈️ Slavia Prague 🏠 Copenhagen ✈️ Newcastle Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu 🥶. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·0 Ansichten
  • Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m.

    Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. ❎️

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    🚨 Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m. Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. ❎️🔵 Source The Touchline T #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·0 Ansichten