0 Comments
·0 Shares
·178 Views
-
-
-
Beki wa kushoto wa Manchester United Tyrell Malacia anapanga kuondoka klabuni hapo na kujiunga Elche kwa mkopo wa mda mrefu baada ya kuchagua kwenda La Liga akiitupilia ofa ya Lille.
(Source: Voetbal International)
#SportsElite🚨 Beki wa kushoto wa Manchester United Tyrell Malacia anapanga kuondoka klabuni hapo na kujiunga Elche kwa mkopo wa mda mrefu baada ya kuchagua kwenda La Liga akiitupilia ofa ya Lille. (Source: Voetbal International) #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·126 Views -
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Tottenham Hotspur imefikia makubaliano ya £51.8M kama ada ya uhamisho wa Xavi Simons kutoka RB Leipzig .
Ofa hiyo imekubaliwa baada ya mchezaji kukubali kwenda Spurs
(Source: Fabrizio Romano)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Tottenham Hotspur imefikia makubaliano ya £51.8M kama ada ya uhamisho wa Xavi Simons kutoka RB Leipzig . Ofa hiyo imekubaliwa baada ya mchezaji kukubali kwenda Spurs (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·124 Views -
Paris Saint-Germain pamoja na Aston Villa FC zipo mbioni kufikia makubaliano juu ya uhamisho wa Marco Asensio.
Awali Villa ilituma ofa ya €15M lakini PSG imeomba €20M na uhamisho huo upo mbioni kukamilika.
(Source: Tanziloic)
#SportsElite🚨 Paris Saint-Germain pamoja na Aston Villa FC zipo mbioni kufikia makubaliano juu ya uhamisho wa Marco Asensio. Awali Villa ilituma ofa ya €15M lakini PSG imeomba €20M na uhamisho huo upo mbioni kukamilika. (Source: Tanziloic) #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·200 Views -
-
Amazing Benefits of Mitolyn: Natural Fat-Burning Support in 2025
Website: https://yourhealthrights.com/amazing-benefits-of-mitolyn/
#FatBurning #NaturalSupplements #WeightLoss2025 #HealthyLiving
Amazing Benefits of Mitolyn: Natural Fat-Burning Support in 2025 Website: https://yourhealthrights.com/amazing-benefits-of-mitolyn/ #FatBurning #NaturalSupplements #WeightLoss2025 #HealthyLiving0 Comments ·0 Shares ·714 Views -
Kerassentials Oil: A Complete Solution for Nail & Skin Wellness
Website: https://yourhealthrights.com/kerassentials-oil/
#NailCare #SkinCare #Wellness #HealthyNails #NaturalOil #SkinWellness #NailHealth #BeautyCare #SelfCare #OrganicSkincare #NailTreatment #HealthySkin #EssentialOil #GlowUp
Kerassentials Oil: A Complete Solution for Nail & Skin Wellness Website: https://yourhealthrights.com/kerassentials-oil/ #NailCare #SkinCare #Wellness #HealthyNails #NaturalOil #SkinWellness #NailHealth #BeautyCare #SelfCare #OrganicSkincare #NailTreatment #HealthySkin #EssentialOil #GlowUp0 Comments ·0 Shares ·724 Views -
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Xavi Simons amekamilisha uhamisho kwenda Tottenham kwa kandarasi hadi 2030 na nyongeza ya miaka 2 mbele.
€60m ndio RB Leipzig watavuna.
#SportsElite🚨🏴 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Xavi Simons amekamilisha uhamisho kwenda Tottenham kwa kandarasi hadi 2030 na nyongeza ya miaka 2 mbele. €60m ndio RB Leipzig watavuna. #SportsElite0 Comments ·0 Shares ·147 Views