• Art
    Art
    Like
    4
    Β· 4 Commentarios Β·0 Acciones Β·41 Views
  • Like
    Love
    6
    Β· 4 Commentarios Β·0 Acciones Β·42 Views
  • Kawaida ya wanadamu wakishindwa kukutumia kama walivyotegemea basi hukugeuza kua adui.
    Kawaida ya wanadamu wakishindwa kukutumia kama walivyotegemea basi hukugeuza kua adui.πŸ“ŒπŸ“Œ
    Like
    3
    Β· 0 Commentarios Β·0 Acciones Β·38 Views
  • Kawaida ya wanadamu wakishindwa kukutumia kama walivyotegemea basi hukugeuza kua adui.
    Kawaida ya wanadamu wakishindwa kukutumia kama walivyotegemea basi hukugeuza kua adui.πŸ“ŒπŸ“Œ
    Like
    4
    Β· 1 Commentarios Β·0 Acciones Β·39 Views
  • Usilipe ubaya kwa ubaya bali lipa wema kwa wema.
    Usilipe ubaya kwa ubaya bali lipa wema kwa wema.
    Like
    Love
    4
    Β· 1 Commentarios Β·0 Acciones Β·39 Views
  • Muda mwingine kua mtu poa sana nayo nitatizo haswa ukizungukwa na watu wanaoshindwa kuthamini uwepo wako
    Muda mwingine kua mtu poa sana nayo nitatizo haswa ukizungukwa na watu wanaoshindwa kuthamini uwepo wako
    Love
    Like
    4
    Β· 0 Commentarios Β·0 Acciones Β·37 Views
  • Nidhamu binafsi uanzia kwenye mawazo yako kama huwezi kudhibiti
    Unacho fikiria basi hautaweza kudhibiti unacho kifanya
    Nidhamu binafsi uanzia kwenye mawazo yako kama huwezi kudhibiti Unacho fikiria basi hautaweza kudhibiti unacho kifanya
    Like
    Love
    4
    Β· 0 Commentarios Β·0 Acciones Β·38 Views
  • 𝗣π—₯π—˜π—¦π—¦ π—–π—’π—‘π—™π—˜π—₯π—˜π—‘π—–π—˜ 𝗬𝗔 π—”π—Ÿπ—œπ—žπ—”π— π—ͺπ—˜

    𝗣𝗔π—₯𝗧𝗬 𝗬𝗔 π—¨π—•π—œπ—‘π—šπ—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—žπ—¨π—π—”

    “NBC benki bora Tanzania kwa kushirikiana na bodi ya ligi wametuandalia sherehe ya ubingwa. Kama inakuuma na wewe kapambane nawe uwe bingwa kama unahisi ni rahisi. Tunasherehe kubwa haijawahi kutokea party kubwa ya ubingwa barani AFRIKA”

    Ally Kamwe

    𝗑𝗕𝗖 π—ͺ𝗔π—ͺ𝗔𝗣𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖 π—›π—˜π—Ÿπ—œπ—žπ—’π—£π—§π—” 𝗬𝗔 π—¨π—•π—œπ—‘π—šπ—ͺ𝗔

    “Sisi Yanga kwa upande wa sherehe tunapenda sifa. NBC wameamua kutuongezea sifa. Safari hii NBC wameamua kusimamisha AFRIKA, wameandaa helikopta maalumu ya kufanya parade ya ubingwa. Tunafanya parade ardhini na angani”

    Ally Kamwe

    π—¨π—žπ—œπ—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—žπ—”π——π—œ 𝗬𝗔 𝗨𝗔𝗑𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖 π—¨π—§π—”π—œπ—‘π—šπ—œπ—” 𝗨π—ͺπ—”π—‘π—π—”π—‘π—œ π—•π—œπ—Ÿπ—” π—žπ—¨π—§π—¨π— π—œπ—” 𝗑-𝗖𝗔π—₯𝗗

    “Ukiwa na kadi ya uanachama wa Yanga SC ya NBC inakupa nafasi ya kuingia uwanjani bila kutumia card ya N-card. Huhitaji kuwa na kadi nyingi sana mfukoni kwako, zaidi ya kadi ya uanachama ya NBC”

    Ally Kamwe

    π—ͺπ—”π—¦π—”π—‘π—œπ—œ π—žπ—¨π—‘π—’π—šπ—˜π—¦π—›π—” π—¦π—›π—˜π—₯π—˜π—›π—˜ 𝗭𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖

    “NBC wametuandalia burudani kubwa kwenye mkesha wa ubingwa. Kuna majina mengi ya wasanii bora Afrika Mashariki na kati ambao watakuja kutumbuiza Benjamin Mkapa siku ya jumamosi. Baada ya mechi ya leo tutatangaza majina ya wasanii hao”

    Ally Kamwe

    π—¦π—œπ—žπ—¨ 𝗬𝗔 π—œπ—π—¨π— π—”π— π—’π—¦π—œ π—‘π—œ π— π—žπ—˜π—¦π—›π—”

    “Ukiondoka jumamosi asubuhi, aga kabisa familia yako kuwa utarudi jumapili usiku. Kwahiyo ujiandae kabisa, waambie unaenda kwenye sherehe za ubingwa za Yanga SC. Muage mkeo, Muage mumeo mwambie naenda kwenye mkesha”

    Ally Kamwe

    π—•π—”π—¦π—œ π—Ÿπ—” 𝗣𝗔π—₯π—”π——π—˜ π—Ÿπ—” π—¨π—•π—œπ—‘π—šπ—ͺ𝗔 π—‘π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—¦π—”π—¦π—”

    “Gari la parade lipo njiani linakuja nchini. Awamu hii tumechukua basi za kisasa zaidi. Nimemuomba Rais wa Yanga, hili basi lianzie safari yake kule Mbagala.”

    Ally Kamwe

    #NBCPremierLeague Godfrey Mwaisengela
    πŸŽ™οΈπ—£π—₯π—˜π—¦π—¦ π—–π—’π—‘π—™π—˜π—₯π—˜π—‘π—–π—˜ 𝗬𝗔 π—”π—Ÿπ—œπ—žπ—”π— π—ͺπ—˜ πŸš¨π—£π—”π—₯𝗧𝗬 𝗬𝗔 π—¨π—•π—œπ—‘π—šπ—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—žπ—¨π—π—” “NBC benki bora Tanzania kwa kushirikiana na bodi ya ligi wametuandalia sherehe ya ubingwa. Kama inakuuma na wewe kapambane nawe uwe bingwa kama unahisi ni rahisi. Tunasherehe kubwa haijawahi kutokea party kubwa ya ubingwa barani AFRIKA” ©οΈAlly Kamwe πŸš¨π—‘π—•π—– π—ͺ𝗔π—ͺ𝗔𝗣𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖 π—›π—˜π—Ÿπ—œπ—žπ—’π—£π—§π—” 𝗬𝗔 π—¨π—•π—œπ—‘π—šπ—ͺ𝗔 “Sisi Yanga kwa upande wa sherehe tunapenda sifa. NBC wameamua kutuongezea sifa. Safari hii NBC wameamua kusimamisha AFRIKA, wameandaa helikopta maalumu ya kufanya parade ya ubingwa. Tunafanya parade ardhini na angani” ©οΈAlly Kamwe πŸš¨π—¨π—žπ—œπ—ͺ𝗔 𝗑𝗔 π—žπ—”π——π—œ 𝗬𝗔 𝗨𝗔𝗑𝗔𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖 π—¨π—§π—”π—œπ—‘π—šπ—œπ—” 𝗨π—ͺπ—”π—‘π—π—”π—‘π—œ π—•π—œπ—Ÿπ—” π—žπ—¨π—§π—¨π— π—œπ—” 𝗑-𝗖𝗔π—₯𝗗 “Ukiwa na kadi ya uanachama wa Yanga SC ya NBC inakupa nafasi ya kuingia uwanjani bila kutumia card ya N-card. Huhitaji kuwa na kadi nyingi sana mfukoni kwako, zaidi ya kadi ya uanachama ya NBC” ©οΈAlly Kamwe 🚨π—ͺπ—”π—¦π—”π—‘π—œπ—œ π—žπ—¨π—‘π—’π—šπ—˜π—¦π—›π—” π—¦π—›π—˜π—₯π—˜π—›π—˜ 𝗭𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖 “NBC wametuandalia burudani kubwa kwenye mkesha wa ubingwa. Kuna majina mengi ya wasanii bora Afrika Mashariki na kati ambao watakuja kutumbuiza Benjamin Mkapa siku ya jumamosi. Baada ya mechi ya leo tutatangaza majina ya wasanii hao” ©οΈAlly Kamwe πŸš¨π—¦π—œπ—žπ—¨ 𝗬𝗔 π—œπ—π—¨π— π—”π— π—’π—¦π—œ π—‘π—œ π— π—žπ—˜π—¦π—›π—” “Ukiondoka jumamosi asubuhi, aga kabisa familia yako kuwa utarudi jumapili usiku. Kwahiyo ujiandae kabisa, waambie unaenda kwenye sherehe za ubingwa za Yanga SC. Muage mkeo, Muage mumeo mwambie naenda kwenye mkesha” ©οΈAlly Kamwe πŸš¨π—•π—”π—¦π—œ π—Ÿπ—” 𝗣𝗔π—₯π—”π——π—˜ π—Ÿπ—” π—¨π—•π—œπ—‘π—šπ—ͺ𝗔 π—‘π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—¦π—”π—¦π—” “Gari la parade lipo njiani linakuja nchini. Awamu hii tumechukua basi za kisasa zaidi. Nimemuomba Rais wa Yanga, hili basi lianzie safari yake kule Mbagala.” ©οΈAlly Kamwe #NBCPremierLeague Godfrey Mwaisengela
    Like
    Haha
    4
    Β· 3 Commentarios Β·0 Acciones Β·1K Views
  • Tupo kwenye ulimwengu wenye vita ya nafsi usiache kuomba
    Tupo kwenye ulimwengu wenye vita ya nafsi usiache kuombaπŸ™πŸ™
    Like
    Love
    4
    Β· 0 Commentarios Β·0 Acciones Β·233 Views
  • Usijali nini wataongea we pambana kulingana na hali yako manake wao hawatakupa chakula ukiwa na njaa
    Usijali nini wataongea we pambana kulingana na hali yako manake wao hawatakupa chakula ukiwa na njaaπŸ“ŒπŸ“Œ
    Like
    Love
    4
    Β· 0 Commentarios Β·0 Acciones Β·39 Views