Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Cricket News @cricketnews ενημερώθηκε η φωτογραφία εξώφυλλου
    2025-10-05 12:52:32 ·
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·3 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Prashant Dhadse @mrpd123 σε πρόσθεσε στο in άλλο
    2025-10-05 14:03:39 ·
    Kerala India Tours – Explore God’s Own Country & Scenic Beauty
    Kerala, fondly known as God’s Own Country, is one of India’s most captivating travel destinations, drawing visitors with its lush greenery, serene backwaters, golden beaches, and vibrant culture. Whether you’re seeking relaxation, adventure, or cultural exploration, Kerala India tours offer a perfect mix of experiences that capture the very essence of South India. From misty...
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·2 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Mehndi Seoo @mehndi1 σε πρόσθεσε στο in Art
    2025-10-05 15:09:32 ·
    The Timeless Beauty of Mehndi in Modern Celebrations
    From ancient traditions to modern-day fashion, Mehndi has held a special place in cultural celebrations across South Asia and the Middle East. Known for its beautiful designs and rich symbolism, Mehndi is more than just a decorative art—it’s a cherished tradition that connects generations through beauty, ritual, and joy. The word Mehndi refers to both...
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·4 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:21:29 ·
    Achraf Hakimi baada ya ushindi dhidi ya Barcelona:

    "Inawezekana tumeshinda usiku wa leo, lakini kilichonivutia zaidi hakikuwa matokeo, bali mchezaji mmoja anayeitwa Pedri. Sijawahi kuona mchezaji kama yeye hapo kabla… Anaweza kudhibiti kasi na mwelekeo wa mechi, alitufanya tuhangaike kwa kila mpira, kama vile alikuwa na rimoti ya kuendesha kila kitu uwanjani. Nilishtuka sana kocha wao, Flick, alipoamua kumtoa. Kwangu mimi, alikuwa mchezaji bora zaidi uwanjani kuliko wote, kutoka pande zote mbili. Ana akili ya miaka ishirini ya uzoefu ndani ya mwili wa kijana mdogo."

    "Hata Vitinha baada ya mechi aliniambia: Sijawahi kuona kitu kama hiki kabla, na hiyo ni kweli kabisa. Pedri hafanyi tu kazi ya kuunda nafasi, anakulazimisha kumkimbiza bila mafanikio. Sijui aliwezaje kushika nafasi ya 11 kwenye Ballon d’Or, lakini kwangu, kile anachokifanya uwanjani kinathibitisha kwamba atakuwa mmoja wa magwiji wa mpira wa miguu. Pedri ni akili na moyo halisi wa Barcelona. Na licha ya kushindwa kwao leo… hakuna anayeweza kupinga kwamba wao ni miongoni mwa wagombea wakuu wa ubingwa wa UEFA msimu huu.

    #SportsElite
    Achraf Hakimi baada ya ushindi dhidi ya Barcelona: 🗣️ "Inawezekana tumeshinda usiku wa leo, lakini kilichonivutia zaidi hakikuwa matokeo, bali mchezaji mmoja anayeitwa Pedri. Sijawahi kuona mchezaji kama yeye hapo kabla… Anaweza kudhibiti kasi na mwelekeo wa mechi, alitufanya tuhangaike kwa kila mpira, kama vile alikuwa na rimoti ya kuendesha kila kitu uwanjani. Nilishtuka sana kocha wao, Flick, alipoamua kumtoa. Kwangu mimi, alikuwa mchezaji bora zaidi uwanjani kuliko wote, kutoka pande zote mbili. Ana akili ya miaka ishirini ya uzoefu ndani ya mwili wa kijana mdogo."🤯❤️ 🗣️ "Hata Vitinha baada ya mechi aliniambia: Sijawahi kuona kitu kama hiki kabla, na hiyo ni kweli kabisa. Pedri hafanyi tu kazi ya kuunda nafasi, anakulazimisha kumkimbiza bila mafanikio. Sijui aliwezaje kushika nafasi ya 11 kwenye Ballon d’Or, lakini kwangu, kile anachokifanya uwanjani kinathibitisha kwamba atakuwa mmoja wa magwiji wa mpira wa miguu. Pedri ni akili na moyo halisi wa Barcelona. Na licha ya kushindwa kwao leo… hakuna anayeweza kupinga kwamba wao ni miongoni mwa wagombea wakuu wa ubingwa wa UEFA msimu huu. #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·4 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:23:09 ·
    Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili .

    Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji .

    Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi"

    Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema .

    Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake

    #SportsElite
    Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili 😎. Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji . Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi" Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema 😅😅. Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·3 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:28:44 ·
    RASHFORD!!!! RASHFORD!!!! RASHFORD!!! MARCUS RASHFORD,,,. Ameifungulia bao la kuendelae kuongea (2-1) mchezo ukiwa ni mapumziko ameendelea Kuwa boraaa katika kikosi cha Barcelona
    💣 RASHFORD!!!! RASHFORD!!!! RASHFORD!!! MARCUS RASHFORD,,,. Ameifungulia bao la kuendelae kuongea (2-1) mchezo ukiwa ni mapumziko ameendelea Kuwa boraaa katika kikosi cha Barcelona
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·2 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:32:17 ·
    Viwanjani : Kutokana na kuwepo kwa baadhi ya taarifa za Kocha wa Simba kutokuwa na leseni ya Kuifundisha simba kama Kocha mkuu hili ndilo la Kocha Dimitr Puntev, Meneja Mkuu wa Simba akijibu swali la Waandishi wa habari jana Airport.

    “Kama kisheria sina leseni ya kukidhi kufundisha kama Kocha Mkuu basi huenda wakanitumia kama Mtunza Vifaa sijui sana ila nadhani hilo swali aulizwe Rais wa Klabu”

    #SportsElite
    Viwanjani ⚽ 📸: Kutokana na kuwepo kwa baadhi ya taarifa za Kocha wa Simba kutokuwa na leseni ya Kuifundisha simba kama Kocha mkuu hili ndilo la Kocha Dimitr Puntev, Meneja Mkuu wa Simba akijibu swali la Waandishi wa habari jana Airport. “Kama kisheria sina leseni ya kukidhi kufundisha kama Kocha Mkuu basi huenda wakanitumia kama Mtunza Vifaa sijui sana ila nadhani hilo swali aulizwe Rais wa Klabu” #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·3 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:42:37 ·
    Leonardo Bonucci : " Nilipokabiliana na Messi kwenye Fainali ya 2022, nilimpongeza kwa kushinda Copa America na nikamwambia, "Messi, unastahili. Ulijitolea kwa ajili ya Argentina. Sasa huna chochote cha kuthibitisha kwa ulimwengu. Umeshinda kila kitu kwenye soka. Unaweza kustaafu ukiwa na amani ya akili.”

    Alitabasamu na kuniambia, "Nilifanya hivi kwa ajili ya nchi yangu, si kwa ajili yangu mwenyewe. Ni hayo tu. Sifikirii kuhusu mafanikio ya mtu binafsi zaidi ya mataji ya nchi yangu, lakini ikiwa sitashinda Kombe la Dunia, sitastaafu." [Anacheka] Kwa hivyo nikamwambia, "Umefanya kila kitu kwenye soka. Hata kama hutashinda Kombe la Dunia, wewe ni mchezaji bora zaidi katika historia."

    Lakini baada ya Messi kushinda Kombe la Dunia, niliiambia familia yangu, "Hii ni haki ya mpira wa miguu. Messi anastahili kuwa na Kombe la Dunia zaidi ya moja kwa sababu ya muujiza wa soka aliofanya na jinsi ulimwengu ulivyofurahia kile alichokifanya. Nikikutana naye tena, nitamwambia, "Sasa unaweza kustaafu na utulivu wa akili." Hata neno bora katika historia halitoshi kwa Messi."

    #SportsElite
    🎙️Leonardo Bonucci🇮🇹 : " Nilipokabiliana na Messi kwenye Fainali ya 2022, nilimpongeza kwa kushinda Copa America na nikamwambia, "Messi, unastahili. Ulijitolea kwa ajili ya Argentina. Sasa huna chochote cha kuthibitisha kwa ulimwengu. Umeshinda kila kitu kwenye soka. Unaweza kustaafu ukiwa na amani ya akili.” Alitabasamu na kuniambia, "Nilifanya hivi kwa ajili ya nchi yangu, si kwa ajili yangu mwenyewe. Ni hayo tu. Sifikirii kuhusu mafanikio ya mtu binafsi zaidi ya mataji ya nchi yangu, lakini ikiwa sitashinda Kombe la Dunia, sitastaafu." [Anacheka] Kwa hivyo nikamwambia, "Umefanya kila kitu kwenye soka. Hata kama hutashinda Kombe la Dunia, wewe ni mchezaji bora zaidi katika historia." Lakini baada ya Messi kushinda Kombe la Dunia, niliiambia familia yangu, "Hii ni haki ya mpira wa miguu. Messi anastahili kuwa na Kombe la Dunia zaidi ya moja kwa sababu ya muujiza wa soka aliofanya na jinsi ulimwengu ulivyofurahia kile alichokifanya. Nikikutana naye tena, nitamwambia, "Sasa unaweza kustaafu na utulivu wa akili." Hata neno bora katika historia halitoshi kwa Messi." #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·5 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:47:35 ·
    Timu ya Argentina's wamezindua jezi ya ugenini itakayotumika katika kombe la dunia 2026


    #SportsElite
    🚨🚨 🇦🇷Timu ya Argentina's wamezindua jezi ya ugenini itakayotumika katika kombe la dunia 2026 #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·4 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Sports Elite @baraka24 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2025-10-05 15:49:59 ·
    Alexander Isak akizungumza baada ya mchezo:

    “Nadhani hatukuanza mchezo vizuri, lakini tulijaribu kurejea taratibu na kuingia kwenye mchezo. Tuliporejea kipindi cha pili, tulijitahidi kwa nguvu zote kutafuta matokeo. Mwishowe, ni jambo gumu kukubali kufungwa dakika za mwisho namna hiyo.”

    #SportsElite
    Alexander Isak akizungumza baada ya mchezo: “Nadhani hatukuanza mchezo vizuri, lakini tulijaribu kurejea taratibu na kuingia kwenye mchezo. Tuliporejea kipindi cha pili, tulijitahidi kwa nguvu zote kutafuta matokeo. Mwishowe, ni jambo gumu kukubali kufungwa dakika za mwisho namna hiyo.” #SportsElite
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·3 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (29911-29920 από 29925)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 2989
  • 2990
  • 2991
  • 2992
  • 2993
  • Επόμενο
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers