• Leo, tuungane pamoja kuwaombea wamama wajawazito.Wajifungue salama.
    Leo, tuungane pamoja kuwaombea wamama wajawazito.Wajifungue salama.🙏
    Like
    Love
    8
    · 1 Kommentare ·1 Anteile ·655 Ansichten
  • Kama niliwahi kusema Simba SC Tanzania atamfunga Yanga jumamosi.. Nilikuwa nimejizima data.. Kiukweli naiogopa hiyo mechi, maana Aibu yake ni kubwa
    Kama niliwahi kusema Simba SC Tanzania atamfunga Yanga jumamosi.. Nilikuwa nimejizima data.. Kiukweli naiogopa hiyo mechi, maana Aibu yake ni kubwa 🙌🙌
    Like
    Love
    Haha
    9
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·687 Ansichten
  • Like
    Love
    Haha
    4
    · 3 Kommentare ·0 Anteile ·485 Ansichten
  • Endelea Kupumzika kwa Kwa amani
    Tunamiss uwepo Wako sana
    Endelea Kupumzika kwa Kwa amani😥😢😥 Tunamiss uwepo Wako sana😥😥🙏
    Like
    Sad
    Love
    Haha
    8
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·610 Ansichten
  • Mathayo 5:28 NEN
    Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
    ● Nina swali: Je, mwanamke anayemtamani mwanaume inakuwaje?
    Mathayo 5:28 NEN Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. ● Nina swali: Je, mwanamke anayemtamani mwanaume inakuwaje?
    Like
    Love
    6
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·680 Ansichten
  • Naanzaje kukucheat, nakifata kipi?
    Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
    Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii
    Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh)
    Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu daktari
    Kukupenda, ni wajibu nisiulizwe maswali
    Baby, nipe taratibu huo utamu asali
    Kukupenda ni wajibu nisiulizwe no, no
    #LoveConnectsUs
    Naanzaje kukucheat, nakifata kipi? Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh) Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu daktari Kukupenda, ni wajibu nisiulizwe maswali Baby, nipe taratibu huo utamu asali Kukupenda ni wajibu nisiulizwe no, no #LoveConnectsUs
    Like
    Love
    7
    · 4 Kommentare ·0 Anteile ·963 Ansichten
  • Mimi na wao hatuna Bifu nao, Lakini mibaraka ninayoipata ndio chanzo cha chuki zao Kwangu.
    #loveconectus
    Mimi na wao hatuna Bifu nao, Lakini mibaraka ninayoipata ndio chanzo cha chuki zao Kwangu. #loveconectus
    Like
    Love
    7
    · 3 Kommentare ·0 Anteile ·855 Ansichten
  • Nilimuona Mama yangu akihangaika, lakini sikuwahi kumuona akikata tamaa. Ninaheshimu sana hilo
    Nilimuona Mama yangu akihangaika, lakini sikuwahi kumuona akikata tamaa. Ninaheshimu sana hilo 🙏
    Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·802 Ansichten
  • Nilimuona Mama yangu akihangaika, lakini sikuwahi kumuona akikata tamaa. Ninaheshimu sana hilo
    Nilimuona Mama yangu akihangaika, lakini sikuwahi kumuona akikata tamaa. Ninaheshimu sana hilo 🙏
    Like
    Love
    4
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·789 Ansichten
  • Mke anafanya kazi anarudi jioni,Mume hafanyi kazi yupo tu nyumbani, nani anatakiwa kupika na kuosha vyombo?
    Mke anafanya kazi anarudi jioni,Mume hafanyi kazi yupo tu nyumbani, nani anatakiwa kupika na kuosha vyombo?
    Like
    Love
    5
    · 3 Kommentare ·0 Anteile ·693 Ansichten