0 Commentarios
·0 Acciones
·34 Views
-
Fc Barcelona wana nia ya dhati ya kumsajili nyota wa Marseille, Mason Greenwood na wameanza kufuatilia maendeleo yake tokea alipokuwa Getafe kwa mkopo .
Taarifa zilizopo maskauti wa Fc Barcelona walikuwepo kwenye mchezo wa Marseille dhidi ya Le Havre uliopigwa weekend hii wakifuatilia kwa ukaribu maendeleo ya Mason Greenwood.
Kwenye mchezo huo Greenwood aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 6-2 huku akifunga magoli 4.
#SportsEliteFc Barcelona wana nia ya dhati ya kumsajili nyota wa Marseille, Mason Greenwood na wameanza kufuatilia maendeleo yake tokea alipokuwa Getafe kwa mkopo . Taarifa zilizopo maskauti wa Fc Barcelona walikuwepo kwenye mchezo wa Marseille dhidi ya Le Havre uliopigwa weekend hii wakifuatilia kwa ukaribu maendeleo ya Mason Greenwood. Kwenye mchezo huo Greenwood aliisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa goli 6-2 huku akifunga magoli 4. #SportsElite0 Commentarios ·0 Acciones ·58 Views -
BREAKING:
Wachezaji wa Atlético Madrid waliondoka kwenye uwanja wa Emirates bila kuoga kutokana na kukosekana kwa maji ya moto.
Wachezaji walikuwa wametokwa jasho na wakakimbilia hotelini kuoga kwa sababu hakukuwa na maji ya moto baada ya kumaliza mazoezi rasmi.
Msafara wa Atlético umekasirishwa sana na tayari umepeleka malalamiko UEFA kuhusu ukosefu wa huduma muhimu katika uwanja wa Emirates.
Source [ Carusselderpotivo]
BREAKING: Wachezaji wa Atlético Madrid waliondoka kwenye uwanja wa Emirates bila kuoga kutokana na kukosekana kwa maji ya moto. Wachezaji walikuwa wametokwa jasho na wakakimbilia hotelini kuoga kwa sababu hakukuwa na maji ya moto baada ya kumaliza mazoezi rasmi. Msafara wa Atlético umekasirishwa sana na tayari umepeleka malalamiko UEFA kuhusu ukosefu wa huduma muhimu katika uwanja wa Emirates. Source [ Carusselderpotivo]0 Commentarios ·0 Acciones ·57 Views -
0 Commentarios ·0 Acciones ·31 Views
-
-
-
-
-
-