0 Reacties
·0 aandelen
·27 Views
-
Klabu ya Al Ahli SC wapo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 15 ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele Kalala "Cyborg" .
Klabu iyo kutokea nchini Saudia Arabia wapo tayari kumpa Mayele mshahara wa euro milioni 3 kwa mwaka !🚨 Klabu ya Al Ahli SC 🇸🇦 wapo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 15 ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele Kalala "Cyborg" 🇨🇩. Klabu iyo kutokea nchini Saudia Arabia wapo tayari kumpa Mayele mshahara wa euro milioni 3 kwa mwaka ! 💵0 Reacties ·0 aandelen ·26 Views -
OFFICIAL Kocha Wa Real Madrid Xabi Alonso amesema Dean Huijsen, Trent Alexander-Arnold, Dani Carvajal na Dani Ceballos wote wako tayari kwa mchezo wa El Clasco.
Alonso amesema wachezaji pekee wataukosa mchezo wa El Clasco ni Antonio Rudiger na David Alaba wengine wapo.🚨 OFFICIAL Kocha Wa Real Madrid Xabi Alonso amesema Dean Huijsen, Trent Alexander-Arnold, Dani Carvajal na Dani Ceballos wote wako tayari kwa mchezo wa El Clasco. Alonso amesema wachezaji pekee wataukosa mchezo wa El Clasco ni Antonio Rudiger na David Alaba wengine wapo.0 Reacties ·0 aandelen ·23 Views -
-
0 Reacties ·0 aandelen ·21 Views
-
-
0 Reacties ·0 aandelen ·5 Views
-
-
-
0 Reacties ·0 aandelen ·6 Views