• Mmeamkaje Mabest zangu wa social pop
    Mmeamkaje Mabest zangu wa social pop鉂わ笍鉂わ笍
    Like
    Love
    13
    4 Commentarios 0 Acciones 445 Views
  • Semeni ila mimi nitataendelea kuishi nae
    Yanini nimkatae Kwa mazaifu yake
    Semeni ila mimi nitataendelea kuishi nae Yanini nimkatae Kwa mazaifu yake
    Like
    3
    0 Commentarios 0 Acciones 55 Views
  • Nimechagua sikulazimishwa
    Nimechagua sikulazimishwa
    Like
    3
    0 Commentarios 0 Acciones 54 Views
  • Mmmh!! Eti Wasukuma ndo wanakulaga hivi??
    Mmmh!! Eti Wasukuma ndo wanakulaga hivi??
    Like
    2
    0 Commentarios 0 Acciones 47 Views 62
  • #Paulswai
    https://www.threads.net/@paulswai_

    https://www.tiktok.com/@paul.swai?_t=8mbwX2ORNrh&_r=1
    #Paulswai https://www.threads.net/@paulswai_ https://www.tiktok.com/@paul.swai?_t=8mbwX2ORNrh&_r=1
    Like
    2
    0 Commentarios 0 Acciones 379 Views 60
  • Jifunze kuwa mkalimu,ukalimu ni mtaji tosha
    Jifunze kuwa mkalimu,ukalimu ni mtaji tosha
    Like
    1
    1 Commentarios 0 Acciones 387 Views
  • PARIS!!! FRANCE!!! YES! I am a Special Guest at @boumboum_club @spartaparis Tonight!!!! What a surprise come let’s party and Greet each other Çomment Çava!! 馃
    PARIS!!! FRANCE!!!馃嚝馃嚪 YES! I am a Special Guest at @boumboum_club @spartaparis Tonight!!!! What a surprise鈥硷笍 come let’s party and Greet each other Çomment Çava!! 馃馃ザ馃獝馃馃嚝馃嚪馃嚝馃嚪
    Like
    Love
    13
    0 Commentarios 0 Acciones 3K Views
  • Wapenda nini?
    Wapenda nini? 馃嚬馃嚳馃敟馃敟
    Like
    Love
    Haha
    40
    827 Commentarios 0 Acciones 935 Views
  • *TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)*

    Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.


    NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

    1: UMRI MKUBWA
    Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

    2: KISUKARI
    Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

    3: DAMU NZITO
    Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia

    *TIBA YA GANZI*

    MICRO2CYCLE

    • Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara.

    • Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili.

    • Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi.

    • Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri.

    ZAMINOCAL

    • Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro2cycle.

    • Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi.

    • Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa

    Usisite kuwasiliana nami kwa nambari
    0745693900.
    #socialpop #afya#tiba#bfsuma
    *TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)* Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote. NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI 1: UMRI MKUBWA Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea. 2: KISUKARI Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi. 3: DAMU NZITO Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia *TIBA YA GANZI* 鈻讹笍 MICRO2CYCLE • Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara. • Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili. • Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi. • Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri. 鈻讹笍 ZAMINOCAL • Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro2cycle. • Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi. • Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa Usisite kuwasiliana nami kwa nambari 鈽庯笍0745693900. #socialpop #afya#tiba#bfsuma
    Like
    Love
    3
    2 Commentarios 0 Acciones 868 Views
  • Good morning socialpop family?
    Good morning socialpop family?
    Like
    Love
    5
    1 Commentarios 0 Acciones 170 Views